Bwana Yesu anaposema yeye ni Bwana wa sabato hasemi hivyo kwa mara ya kwanza wakati akiwa hapa duniani. Ukisoma katika kitabu cha Kutoka 20:8... anasema hivi Ikumbuke siku ya sabato uitakase, siku sita fanya kazi yako, utende mambo yako yote, lakini siku ya saba ni sabato ya BWANA Mungu wako penye nyekundu panaonyesha kuwa yeye Mungu ndiye mmliki wa sabato na sio mwandamu anayeimiliki. Na ikumbukwe pia kuwa, Yesu kristo ni nafsi katika miongoni mwa nafsi tatu za uungu. Kwa hiyo Yesu kristo hapo anaposema yeye ni Bwana wa sabato anarudia tu kauli ya miaka mingi nyuma aliyoitoa katika mlima wa sinai wakati wa kutangaza amri kumi kwa waisraeli. Na anaonyesha umiliki wa siku hiyo ya sabato.
Vizuri Basluma Original nami pia niongezee kidogo kwa kuangalia katika historia ya uumbaji pale.
Hebu tusome hapa:
Genesis 2:1-3
Thus the heavens and the earth were finished, and all the host of them. [SUP]2 [/SUP]And on the
seventh day God ended his work which he had made; and
he rested on
the seventh day from all his work which he had made.
[SUP]3 [/SUP]And God
blessed the seventh day,
and sanctified it: because that
in it he had rested from all his work which God created and made.
Nimetumia red kuonyesha siku ya Saba (Sabato) kama ilivyotajwa wakati wa uumbaji. Nimetumia blue kuonyesha kile Mungu alichoifanyia(matendo) siku ya Saba.
Mungu anapoibariki siku hii ya Saba, anapoitakasa, anapopumzika anatenda akionyesha kwamba yeye ndiye mmiliki wa hiyo siku. Kwa hiyo anaposema yeye ndiye bwana wa Sabato maana ni kwamba yeye ndiye mmiliki wa hiyo.Hata sisi wanadamu ni mali yake pia. Kama sote tu mali yake, na Sabato ni mali yake kwa nini tusiitunze Sabato kwa vile wote yaani wanadamu na Sabato sote ni mali yake? Ikumbukwe kwamba hata Yesu alipokuwa hapa ulimwenguni aliitunza Sabato.
Luke 4:16
[SUP]16 [/SUP]And he came to Nazareth, where he had been brought up: and, as his custom was, he went into the synagogue on the sabbath day, and stood up for to read.
So Yesu ametuonyesha mfano katika hili la Sabato!