Hizo za walokole si roho mtakatifu bali ni ROHO MTAKAFUJO.Ndio maana wanatumia viini macho kujifanya eti wanaponya watu kwa jina la YESU.Kwa hakika YEHOVA anaweza yote na laiti angetokea nabii wa kweli akaenda pale mhimbili akaingia Mochwari akamfufua mtu mmoja tu au aende moi amponye mtu mmoja tu alievunjika mguu na kutoka nae basi Tanzania nzima ingesadiki ila walokole ni wasanii tu 'eti misule imerudi'.
Akili yako,mwili na damu haviwezi kukufunulia mambo hayo;kwani mambo ya rohoni hutambulika kwa jinsi ya rohoni pia!