qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Hayo mageuza aliyafanya kabla ya kukamatwa na kuuwawa ambapo aliezea tukio zima na atakae msaliti,ni wapi imeandikwa pasaka ni kusherekea ujio wake na mateso yake?,pili ikiwa wayahudi walisherekea pasaka kwa kuchinja mwanakondoo kwa ishara ya damu Je sadaka ya Yesu ni ipi?,tatu swali langu hukumalizia kujibu yaani ufufuko wa Yesu Je mnaamini ilo?
Sadaka ya Yesu ni kufa msalabani na ndio Pasaka mpya... Kusulubiwa na kufa kwake ili akomboe ni agano jipya baada ya ile ya kuchinja kwa sababu ile ilikuwa pia ni ishara ya ukombozi kutoka Misri na mwanakondoo mpya ni Yesu.