Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Wewe umeokoka?? Ni kosa kubwa kusema umeokoka wakati bado unaishi katika dunia ya dhambi,Unaposema umeokoka ina maana wewe dhambi huna,kitu ambacho si kweli.Hao hao mnasema mmeoka huku mnakamatwa ugoni.kumbuka kama wewe umeokoka ina maana humwitaji tena YESU,kwa maana YESU alikuja kwa wenye dhambi na sio watakatifu kama nyie.Kama YESU mwenyewe alisema YEYE si mwema bali BABA WA MBINGUNI,Wewe ni nani sasa unaemzidi YESU.Ole wenu nyie wanafiki.

Mnafiki ni wewe farisayo wa kisabato usiyeyafahamu maandiko. Warumi 10:9 inasema nini kuhusu kuokoka? Ok kama hufahamu hili soma zaburi 16:3 inasemaje kuhusu watakatifu walioko duniani? Ndio maana Paulo akaandika habari hizi mapema kwenye
2 Timotheo 3:5 , " wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao." kuwahusu watu kama nyie mnaojidai mnamjua KRISTO huku mkikana nguvu zake yeye. Narudia tena usabato ni dini ya kishetani yenye kujificha chini ya mwavuli wa BWANA YESU.Okokeni leo maana neema ipo bure.
 
Kuna tofauti kati ya neno UTAOKOKA na UNAOKOKA,katika warumi 10:9 imesema UTAOKOKA that's means ni future tense

Pia neno linasema atakayevumilia mpaka mwisho Ataokoka...wokovu 2lionao kwa sasa ni ule wa kifo cha Yesu ambayo ni NEEMA tu ambayo kila mwanadamu anaipata

Barikiwa
 
Mtoa mada mwenyewe anaonekana ni msabato so yuko akifanya ile research ya namna ambavyo wasabato vile wanaeleweka katika society thats why baada ya kutoa mada ka-run away bila ku-turn back
 
utatofautisha vipi maajabu ya nguvu za shetani zitokazo "Nigeria" na maajabu ya nguvu za roho mtakatifu zitokazo mbinguni?ni kweli muda wote Yesu alihubiri kwa maajabu?hakuna muda alizungumza maneno matupu kwa ajili tu ya kufafanua bila maajabu?mitume wote na manabii walihubiri kwa maajabu?Leo hii wewe unajifunza Yesu "wa kusoma vitabuni",akiwa complete,wakati ule watu walijifunza Yesu mpya,ambaye hajawahi kuwako popote duniani,unafikiri kati yako wewe uliyeletewa Yesu complete vitabuni,na wale ambao hawakuwa na biblia iliyojaa mafundisho na miujiza ya Yesu,nani anahitaji msaada mkubwa wa kimafundisho ikiwemo maajabu ili kujenga imani ndogo ya punje ya haradali?fikiria sana swali hili mkuu,utafakari kwa kina.
Swali zuri na lina majibu mengi, lakini niongee kidogo.
Huyo Yesu ingawa alikuja kimwili kabisa hawakumwamini hats kipindi hicho,na walimuita mchwawi soma
Yohana 9 yote na hii yote ni ile miujiza aliyotenda.
Sisi tunaitaji mafundisho zaidi na nguvu zaidi kwani Yesu ilitabiri maajabu zaidi baada yake.
Hebu soma habari za Yesu na Thomas utajua suala la imani hata kwa wale waliomona kwa macho na kushuhudia miujiza yake hawakumwamini.
Mimi na wewe bado tunajifunza tu
 
Zipo lakini niliamua kutumia hiyo ya kiingereza maana hiyo inawezekana ku copy na ku paste wakati za kiswahili haiwezekani(kwa zile nilizonazo).

Zipo zinazowezekana

Unatakiwa ujue kuwa ujumbe unaouweka hapa ni wa watu wa kawaida kabisa ambao wengi wao hiyo lugha ni tatizo

Hivyo ni bora ukawawekea lugha ambayo wanaifahamu vyema

Halafu kutumia lugha ya watu wengine ni wakati yako ipo sio sawa kabisa

Hii hapa na utaweza kukopi: http://www.wordproject.org/bibles/sw/
 
Mnafiki ni wewe farisayo wa kisabato usiyeyafahamu maandiko. Warumi 10:9 inasema nini kuhusu kuokoka? Ok kama hufahamu hili soma zaburi 16:3 inasemaje kuhusu watakatifu walioko duniani? Ndio maana Paulo akaandika habari hizi mapema kwenye
2 Timotheo 3:5 , " wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao." kuwahusu watu kama nyie mnaojidai mnamjua KRISTO huku mkikana nguvu zake yeye. Narudia tena usabato ni dini ya kishetani yenye kujificha chini ya mwavuli wa BWANA YESU.Okokeni leo maana neema ipo bure.

Kwanza hata Yesu mwenyewe alishasema Aaminiye na kubatizwa ataokoka sasa kama umeshamkiri Yesu na ukabatizwa yanini usite au ukatae wokovu.
 
Kuna tofauti kati ya neno UTAOKOKA na UNAOKOKA,katika warumi 10:9 imesema UTAOKOKA that's means ni future tense

Pia neno linasema atakayevumilia mpaka mwisho Ataokoka...wokovu 2lionao kwa sasa ni ule wa kifo cha Yesu ambayo ni NEEMA tu ambayo kila mwanadamu anaipata

Barikiwa

Asante. Ila natamani utafakari sura nzima ya 10 ya warumi, na uielewe. Ukianzia tu mstari wa kwanza utaona maombi ya Paulo juu ya watu wenye mfano kama hawa wasabato. Wokovu ni leo/sasa haijalishi kwamba utakufa lini, soma hili neno Yohana 5:24. Je hapo inakuwaje? Na tena soma hili waebrania 9:27. Yote ni kuthibitisha kuwa wokovu ni duniani na si mbinguni. Ningependa pia usemee zaburi 16:3 uone ukweli wake. Karibu katika wokovu neema bado ipo bure.
Asante.
 
Matthew 3:16
[SUP]13 [/SUP]Then cometh Jesus from Galilee to Jordan unto John, to be baptized of him.
[SUP]14 [/SUP]But John forbad him, saying, I have need to be baptized of thee, and comest thou to me?
[SUP]15 [/SUP]And Jesus answering said unto him, Suffer it to be so now: for thus it becometh us to fulfil all righteousness. Then he suffered him.
[SUP]16 [/SUP]And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him:

Nimeweka hiyo red kukuonyesha ubatizo unaokubalika kibiblia. Ukisoma fungu la 13 hapo juu, utaona kwamba Yesu alipobatizwa katika mto Yordan hatimaye anatoka ndani ya maji kama ingekuwa amemwagiwa maji kichwani hiyo lugha iliyotumika hapo isingekuwa hivyo maana huwezi kuingia ndani ya kikombe au kibuyu. Hapa kumetajwa mto wa Yordan, hivyo basi Yesu aliingia ndani ya maji ya mto akabatizwa humo katika maji mengi! HUU NDIYO UBATIZO ALIOBATIZWA YESU AMBAO NI KIELELEZO KWA WAFUASI WAKE.(WAKRISTO)

Kuna watu wanaruka moto, wanapita chini ya bendera zao, wanaingia makanisani wakiwa uchi wake kwa waume, wanamwagiana vikombe vya maji kichwani n.k. wakiita ubatizo halisi, la hasha! huo si ubatizo wa Kristo! Hivo ninachagua kueleza ubatizo huu mmoja kwa vile ndio ubatizo kielelezo kwa Wakristo wote!

nimekuelewa kiasi kwa uliloandika, ukipata wasaa jibu swali zima, likiwa na nyongeza ya dodoso uliyotoa litakaloonyesha kwa nini Yesu hakufanya ubatizo wa japo kundi dogo, japo alitabiriwa kwamba atabatiza.
 
Nitakutajia kwa uchache kwani tunajua kwa kiasi.
1.Mombi 2.Utakatifu na Haki
1.Unaweza ukawa muombaji mzuri sana ila nafsi yako imejaa madhambi kibao,dhambi sio lazima ufanye uonekane zipo dhambi kibao unatenda kwa nafsi,mpaka hapo Mbingu itaiona kwa kushika KWELI na sio maombi.
2.Utakatifu unatokana na kuishika KWELI
3.Haki ulikwisha kuhesabiwa iwe kwa mema au maovu..
 
Asante kwa majibu yako!

Je wasabato wanaabudu Siku au wanatambua Kua Siku zote ni za Bwana? Au wanamuabudu Yule alieziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo na chemichemi za Maji?

Sio.siku zote ni za Bwana, bali siku sita alizitumia katika kuumba, kisha akachagua siku moja ya kukumbuka na kupumzikia uumbaji wake, ndio maana Yesu anasema yeye ni Bwana wa sabato.
 
Ivi mtu akisema Yesu ni Bwana Wa sabato Maana Yale ni nini? Kwamba sabato iliishia kwa Yesu au pale msalabani au vp?

Naomba Msaada wenu wake! Maana Nahisi kuna Watu wanashindwa kuelewa au wanapotezwa na wafasili wabaya Wa maandiko!

Cc: Blueband Basluma Original Eiyer etc all

Mkuu kabla sijaingia kwenye kukujibu hoja yako kwa kirefu naomba unijibu hili swali

Kabla ya Yesu kuja duniani Torati ilikuwa imehubiriwa sehemu nyingine za Dunia tofauti na Israel?
 
Teh teh teh tuwasubiri wenye dini yao... Ila me najiulizaga tu hivi wale Mitume walikuwa dini gani na Yesu mwenyewe je? Na wazazi/Walezi wake walikuwa dini gani.. Na hivi Mitume,manabii na Yesu mwenyewe walukuja kuleta dini?

Nimerudi mkuu. Yesu mwenyewe alisema hivi Msidhani nalikuja kuleta amani duniani, la sikuja kuleta amani bali upanga. Na pia akasema Nalikuja kumfitini mtu na ndugu zake. Na sehemu nyingine akasema alikuja kuleta mifarakano duniani. Yesu alikuwa anaabudu katika masinagogi na bila shaka alikuwa katika dini ya kiyahudi(lakini sijui kama alikuwa dhehebu la mafarisayo ama masadukayo). Lakini nadhani alifuata dhehebu la mafarisayo(maana waliamini katika uwepo wa malaika, na ufufuo wa wafu).
 
1.Unaweza ukawa muombaji mzuri sana ila nafsi yako imejaa madhambi kibao,dhambi sio lazima ufanye uonekane zipo dhambi kibao unatenda kwa nafsi,mpaka hapo Mbingu itaiona kwa kushika KWELI na sio maombi.
2.Utakatifu unatokana na kuishika KWELI
3.Haki ulikwisha kuhesabiwa iwe kwa mema au maovu..
Sema nilitumia lugha siyo ila nilimaanisha ulikuwa sahihi ila Pomoja na hayo kuna Mengi yakupasayo baada ya kuokoka au kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako.Ndio nikakutajia hayo matatu.
Nikimaanisha maisha ndani ya wokovu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom