Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Sabato ilioyopo kwasasa ni ya amri kumi.

sikuwa na habari kama kuna vitu hatustahili kuvifanya tena kipi kingine kilichofutwa, sina uhakika ila namna hii ya majibu ndio inayoleta shida tuliyonayo kwenye Ukristo na kutuongezea madhehebu.
 
Iko hivi Binti Sayuni, sabato licha ya kutolewa kama kumbukumhu ya uumbaji, lakini pia Mungu aliagiza iwe siku ya kupumzika. Kwa hiyo, si mara zote utakazoona neno sabato ukajua ni siku ya kukumbuka uumbaji, bali pia hutumika kuwakilisha pumziko. Ndio maana watumishi wana kitu kinaitwa sabatical leave. Kwa hiyo basi, waisraeli walikuwa na mapumziko mengi yaliyoitwa sabato, mfano sabato ya kupumzisha nchi baada ya kuilima kwa miaka sita wa saba inapumzishwa. Na ndio maana hata kuna sura zinaeleza sabato kama wingi(kwa kiingereza wakitumia neno Sabbaths).

Asante, kwa hiyo Sabato si lazima iwe siku ya Jumamosi.
 
unajua rafiki dunia ya leo watu wengi wanajua ukweli, ila maslahi ndo wameweka mbele zaidi. ukimpata padri au mchungaji wa kiprotestanti(acha na wale wa kilokole wasiosoma ha teolojia ya dini) wako wazi na kuwa imani ipi ni ya kweli. toka huko baleli na epuka mafundisho ya mama wa makahaba, kabla ya lile chukizo la uhalibifu la mwana wa kuasi halijafika sababu wakimaliza kwa waislam watahamia kwa wasabato baada ya kuikataa alama ya mnyama kwani watakuwa wamepigwa mhuri wa Mungu.
 
HIVI WAISLAM NAO NI WAKRISTO E, KWENYE ULE UMOJA WA MAMA WA MAKAHABA HAWAMO KWELI? Ebu angalia/google wcc (world chancelor churches) uone kama nao sio watu wa makanisa
 
Jana ulipotea ghafla! Au ulikwenda kuongeza elimu Kidogo?

Mbona hakuna ata fungu moja uloweka Zaidi ya story tu?

hapana Ntuzi.Jana nilienda kupumzika.Elewa kitu kimoja.Usije ukawa na nyumba nzuri kumbe iko juu ya mchanga.Ukristo bila Roho mt ni sawa na debe tupu.Mi nikushauri fanya maombi muulize Mungu juu ya utendaji kazi wa Roho mt.Jua kuwa Biblia imeandikwa kwa uvuvio wa Roho mt. Hivyo huwezi ielewa bila uongozi wake.
 
Kazi ya roho mtakatifu ni pamoja na kutuliza hasira na mapepo ya dhambi, omba sana uondoe hasira baada ya hapo soma neno la Mungu. Wengi wa wanaojiita kujazwa na roho mtakatifu hutumia mbinu hiyo kuteka na kupotosha. Nimepigia mstali wengi maana si wote wanaonena kwa lugha wanapotosha. Na wengi wetu tumemfuata shetani bila kujua tukidhani tunamfuata mtu aliyejazwa na roho myakatifu tukaishia kuduwazwa na anayoyafanya nyuma ya pazia (hapa makanisa mengi ya kilokole yanahusika). Hata hao wasabato siyo wote waliojazwa na roho mtakatifu....lisome neno likufumbua wala usimtumainie mwanadamu. Joshua 3:9 Joshua said to the Israelites, “Come here and listen to the words of the Lord your God.Ukishasikia na kujazwa na roho basi mtumikie huyo Mungu wa kweli na siyo hayo makanisa au watu.
 
Mkuu matusi si uungwana, alafu hivi lutheran seminaries huwa ni za wakatoliki?
Kama mtu hajui kitu alafu analazimisha utamwitaje,mpaka leo Tanzania tuna matatizo lukuki kwa sababu ya wapotoshaji kama hao,pili lutherani na Catholic kila mmoja anajiendesha kivyake,kkkt iliasi kutoka Catholic kwa hiyo hawafungamani katika uendeshaji..
 
Asante, kwa hiyo Sabato si lazima iwe siku ya Jumamosi.

Sabato ya amri ya nne katika amri kumi ambayo Mungu anaagiza kwa kusema ikumbuke siku ya saba uitakase. Hiyo ipo siku ya jumamosi, na sabato ya Jumamosi ya kila wiki inatukumbusha kuwa There is a source to our existance, kwa kifupi yatukumbusha kuhusu uumbaji wetu. Lakini sabato zile zilizoamriwa kama mapumziko matakatifu(kwa lugha nyingine ni sikukuu zilizoamriwa), hizo hazikuwa na ulazima wa kuwa jumamosi, maana mwaka huu yaweza angukia siku lets say jumnne na mwaka mwingine ikaangukia siku tofauti. Lakini SABATO YA SIKU YA SABA hiyo haina ubadilikaji wa siku, itaendelea kubaki jumamosi(according to the swahili name) hata milele na milele.
 
Hivi Wasabato masalia bado wapo?
 
Inategemea umeanzia kuhesabia wapi...
Ukianzia Wednesday kwa mfano, siku ya saba itakuwa Tuesday...
 
Inategemea umeanzia kuhesabia wapi...
Ukianzia Wednesday kwa mfano, siku ya saba itakuwa Tuesday...

Kulingana na utashi wa mwanadamu na sio kulingana na maagizo ya Mungu. Kama unasema inategemea sijui namna unavyohesabu(siku ya kuanzia), mbona leo hii siku za ibada ni tatu tu? i.e jumapili, ijumaa na jumamosi. Kwa nini kusiwe na watu waliohesabu na saba yao ikaangukia lets say jumanne, au jumatatu au jumatano? mbona wote wanaotetea hoja uliyotoa ukiwafuatilia sana wanaabudu jumapili(hata kuna watu nikawa nawauliza kama kuna uwezekano tuanzishe nasi dhehebu litakalooabudu mojawapo ya siku zisizofanyika ibada kwazo), lakini wanaishia kusema siku hiyo ya jumapili inamtosha.
Kwa kifupi, wokovu wa mwanadamu unatendeka kila siku, lakini Mungu anaomba kukusanyika na wanadamu siku moja tu katika juma.
 
hapana Ntuzi.Jana nilienda kupumzika.Elewa kitu kimoja.Usije ukawa na nyumba nzuri kumbe iko juu ya mchanga.Ukristo bila Roho mt ni sawa na debe tupu.Mi nikushauri fanya maombi muulize Mungu juu ya utendaji kazi wa Roho mt.Jua kuwa Biblia imeandikwa kwa uvuvio wa Roho mt. Hivyo huwezi ielewa bila uongozi wake.

Nafurahi sn kuona mada inavyokwenda na jinsi Watu wanavyojadilia!

Naam! Ktk swala lako la Roho mtakatifu Mimi sipingi na sisi wasabato hatupingi uwepo Wa Roho mtakatifu Na kz zake zote!

Kitu tunachopinga ni Zile dhana zenu za kuongea maneno yasioeleweka na kupiga mikelele eti kwa kusingizia Kua unanena kwa lugha na pia eti Roho mtakatifu kakuongoza Ktk Hilo!

Ni hapo tu! Maana mko kinyume kabisa na maandiko!

Ebu pitia post zetu hapo nyuma huenda ukaelewa nini tunasema!
 
Unazijua sifa na tabia za CULTS? kama huzijui ni hizi hapa

1. Identifying Feature #1: Cults have a single powerful leader who becomes the cult’s messiah.
The leader is a charismatic individual who focuses attention on himself and becomes more of a source for truth than God.

2. Identifying Feature #2:The cult leader’s word, his teachings, become absolute truth.
They overshadow the teachings of the Bible.

3. Identifying Feature #3:Cults manipulate.Cults use pressure tactics and deception to recruit members, and they coerce members into submission, into staying. Satan uses pressure, coercion, and force

4. Identifying Feature #4:Cults appeal to miracles as a sign of their “divine” credentials,especially when their teachings contradict Bible truth

5. Identifying Feature #5:Cults isolate.Cults isolate converts not only from the outside world but even from their families—a very dangerous thing.

Huyu tedo kuna Siku nilimuuliza kwamba anafahamu Maana ya neno CULT, hakunijibu akabaki kuotoa mineno ya ajabu tu!

Nafikiri Leo atakua kapata picha Kidogo!
 
Last edited by a moderator:
huo mstari naelewa kwa hyo wewe tu ndo unaelewa vifungu wengne ni hapana ndo mana tuna ambiwa usifungwe nira na wasio amini we ume kremisha sabato tu hamna tofauti na mafarisayo kisa mtu kaponywa sabato wanalalamika kwa hyo na wewe baki hvo hvo kwangu mimi Yesu ndo bwana wa sabato end of discusion

Teh Teh Teh Teh

Samahani kwa kucheka Lkn nimefurahi kuona hoja zako!
 
Ivi mtu akisema Yesu ni Bwana Wa sabato Maana Yale ni nini? Kwamba sabato iliishia kwa Yesu au pale msalabani au vp?

Naomba Msaada wenu wake! Maana Nahisi kuna Watu wanashindwa kuelewa au wanapotezwa na wafasili wabaya Wa maandiko!

Cc: Blueband Basluma Original Eiyer etc all
 
Last edited by a moderator:
Jamani wapendwa wote mnaosoma Uzi huu!

Ebu tuangalie kitabu cha Acts 2:1-13 Maana hapo Roho mtakatifu ndipo alipowashukia wale 12 na kuwafanya waongee lugha ambazo si zao za asili tena bible iko wazi kabisa kwamba waliweza kuongea Kilibya, Kimisri, Kiarabu na lugha zingine nyingi tu! Kitu ambacho Walokole mnalichukua hili Andiko vibaya Na Ktk dua zeno mnapiga makelele tu ya malugha ambayo hayajulikani! Na wakati kunena kwa Lugha Ktk Hiyo acts 2:1-13 ni mtu kuongea kwa lugha ingine ili habari njema isikike!

Ni sawa na Mimi ngosha kuhubiri kwa English ambayo sio lugha Yangu ya asili!

Kwa Hilo ndugu zangu Walokole mmepotea! Na mnamsingizia Roho mtakatifu Ktk uovu! Kumbuka dhambi ya kumkufuru Roho ni dhambi--------
Safi sana!!hapo namimi mkatoliki nimethibitisha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom