samahani mkuu najaribu kukuelewa ila imekuwa ngumu, sijui unamaanisha nini kwa hili, kabla ya ubatizo wa Yohana ulikuwepo wa Musa na mingine pia, kwa nini umechagua mmoja tu wa Yohana kama sahihi?
Ningeomba unipe ubatili wa ubatizo wa Musa na wengineo kabla na baada ya Yohana bila kusahau wa sasa kwa makanisa unayoyafahamu.
Matthew 3:16
[SUP]13 [/SUP]Then cometh Jesus from Galilee to Jordan unto John, to be baptized of him.
[SUP]14 [/SUP]But John forbad him, saying, I have need to be baptized of thee, and comest thou to me?
[SUP]15 [/SUP]And Jesus answering said unto him, Suffer it to be so now: for thus it becometh us to fulfil all righteousness. Then he suffered him.
[SUP]16 [/SUP]And Jesus, when he was baptized, went up straightway
out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him:
Nimeweka hiyo red kukuonyesha ubatizo unaokubalika kibiblia. Ukisoma fungu la 13 hapo juu, utaona kwamba Yesu alipobatizwa katika mto Yordan hatimaye
anatoka ndani ya maji kama ingekuwa amemwagiwa maji kichwani hiyo lugha iliyotumika hapo isingekuwa hivyo maana huwezi kuingia ndani ya kikombe au kibuyu. Hapa kumetajwa mto wa Yordan, hivyo basi Yesu aliingia ndani ya maji ya mto akabatizwa humo katika maji mengi! HUU NDIYO UBATIZO ALIOBATIZWA YESU AMBAO NI KIELELEZO KWA WAFUASI WAKE.(WAKRISTO)
Kuna watu wanaruka moto, wanapita chini ya bendera zao, wanaingia makanisani wakiwa uchi wake kwa waume, wanamwagiana vikombe vya maji kichwani n.k. wakiita ubatizo halisi, la hasha! huo si ubatizo wa Kristo! Hivo ninachagua kueleza ubatizo huu mmoja kwa vile ndio ubatizo kielelezo kwa Wakristo wote!