mada nzuri na mada kama hizi nazipenda sana, maana biblia inasema katika kutoka 20:8-11,ikumbuke siku ya sabato uitakase,na sio kuikumbuka tu,bali tunaishi kwa amri kumi zinazoonesha upendo wa Mungu kwetu so kama huishiki sabato ina maana unaikana kweli na neema ya Bwana wetu yesu kristo,na kiukweli mtoa mada alichokifanya ni kuja na upanga kama petro badala ya kumtanguliza YESU, ukitaka miujiza ya kweli mtafute YESU ambaye ni BWANA WA SABATO,atkuonesha hutokuwa kama ulivyo,utakuwa na kitu cha ziada....... zaidi soma hapa unajua kuna wadanganyao? ni hao wachungaji wanaokusomea kafungu kamoja na kubaki kueleza tu juu ya neema bila wajibu. YEREMIA 23:1-2,EZEKIEL 13:22, ISAYA 30:10, YEREMIA 25:31......WAMEASI SHERIA NA KUZIPINDUA............ISAYA 24:1,3,5-6. JIPANGE TOKA HUKO MIMI NILIKUWA MLOKOLE LAKINI NIMEKUTANA NA YESU SASA, AMENIBADILISHA mimi nayachunguza sasa maandiko mi mberoya, ukimjua bwana wa sabato atakufundisha sana tena utashangaa mtafute utamwona........