Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Naona unazidi kuleta habari nyingi tu! Hizo ndio zimekua kauli zenu kwamba mapokeo!

sasa si mapokeo ni nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.
 
kama wewe umezama kwenye upako wa roho mtakatifu sidhani kama jamii panakuhusu....ingefaa uende kwenye blogs kama waefeso.com, mwakasege.com etc
 
sasa si mapokeo ni nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.

waooo! hapo kwenye blue umependeza Mbojo, hongera kwa kuelewa kwamba Sabato inatunzwa na Mungu mwenyewe.... Hebu tuanze kuitunza hapa duniani kama lilivyo agizo lake!!!!
 
Ukiangalia Agano la kale hata Waislam wanazungumzia yaliyomo, ukiona jinsi msisitizo wa ufuataji wa sheria ulivyo kwa Waislam hata Wasabato ni hivyo hivyo, wasabato si wakristo! kama watasema wanamkiri kristo hata Waislam wanamkubali (Nabii Issa). Acha kuvutiwa na upande mwingine, wala usisikilize maongezi yao kwa kuwa ni shetani. Yesu aliahidi kuleta msaidizi hakuahidi kutukuza Sabato kwa kuwa alijua ukiongozwa na roho mtakatifu umewekwa huru kwelikweli wala hufungwi na sheria utakuwa mtenda mema na mcha MUNGU si wa unafiki bali wa kweli. Siku imewekwa na wanandamu kuitwa jumamosi au jumapili lakini roho mtakatifu imewekwa na MUNGU mwenyewe kupitia ahadi ya YESU KRISTO mfufuka. Waache wadanganyane kwa kufuata maneno ya aliyeingiwa na pepo Ellen G. White. MUNGU akufungue macho ya Rohoni uweze kutambua ukweli wake.

duh! mbona umekuja umefura hivi,kuna maelezo mazuri sana yanatolewa humu usiwe na jazba. Sasa usipotaka mwenziyo asisikilize haya wakati wewe ushamfahamu Ellen G. White una maana gani? Haya tupe mafungu yanayokuelekeza kutoitunza Sabato kama ndo shida yako kubwa! Halafu mimi nitakwambia kinachokufanya usiitunze Sabato kwa andiko!
 
sasa si mapokeo nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.

Sabato ilikuwepo tangu Eden! Sasa huo ulokole ulikuwepo wakati huo? Au umekuja kutoka Ktk vuguvugu la Wa Protestants?

Nyie ndio mnaomkufuru Roho Maana mnageuza maandiko Ktk upotevu wenu na kumsingizia Roho!
 
sasa si mapokeo nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.

ni kweli mkuu watu wanapinga uwepo wa roho mtakatifu wakati karibia Yesu anapaa alisema ametuachia msaidizi ambaye ni roho mtakatifu na dhambi isiyo sameheka ni kumkufuru roho mtakatifu kitu kama hawaamini ni bora wakae kimya sio kuongea ili waonekane ni bora
 
Sabato ilikuwepo tangu Eden! Sasa huo ulokole ulikuwepo wakati huo? Au umekuja kutoka Ktk vuguvugu la Wa Protestants?

Nyie ndio mnaomkufuru Roho Maana mnageuza maandiko Ktk upotevu wenu na kumsingizia Roho!

Yesu ndo bwana wa sabato hayo mengine ni yenu
 
Ukiangalia Agano la kale hata Waislam wanazungumzia yaliyomo, ukiona jinsi msisitizo wa ufuataji wa sheria ulivyo kwa Waislam hata Wasabato ni hivyo hivyo, wasabato si wakristo! kama watasema wanamkiri kristo hata Waislam wanamkubali (Nabii Issa). Acha kuvutiwa na upande mwingine, wala usisikilize maongezi yao kwa kuwa ni shetani. Yesu aliahidi kuleta msaidizi hakuahidi kutukuza Sabato kwa kuwa alijua ukiongozwa na roho mtakatifu umewekwa huru kwelikweli wala hufungwi na sheria utakuwa mtenda mema na mcha MUNGU si wa unafiki bali wa kweli. Siku imewekwa na wanandamu kuitwa jumamosi au jumapili lakini roho mtakatifu imewekwa na MUNGU mwenyewe kupitia ahadi ya YESU KRISTO mfufuka. Waache wadanganyane kwa kufuata maneno ya aliyeingiwa na pepo Ellen G. White. MUNGU akufungue macho ya Rohoni uweze kutambua ukweli wake.

Sabato ilikuwepo tangu bustani ya Eden! Na sabato ipo na itakuwepo milele zote!

Naona umekuja speed sn Alafu bila ata andiko!

Ebu fanya utetezi Wa maandiko!
 
naona watu wanaelewa. Mnakaribishwa kutembelea makanisa ya sda popote pale ulipo, kwa walio dar waweza sikiliza morning star 105.3 kuna mafundisho mazuri sana na sabato nyingine huwa wanarusha moja kwa moja mahubiri kutoka makanisa tofauti tofauti.
Bwana anawapenda na anapenda kila mmoja afike mbinguni, uchaguzi ni wako

you must repent for blaspheming the holy spirit.
 
sabato ilikuwepo tangu bustani ya eden! Na sabato ipo na itakuwepo milele zote!

Naona umekuja speed sn alafu bila ata andiko!

Ebu fanya utetezi wa maandiko!

acha kushikilia siku wewe, mshikilie bwana wa siku(sabato) Yesu kristo peke yake. Okoka leo!!
 
ni kweli mkuu watu wanapinga uwepo wa roho mtakatifu wakati karibia Yesu anapaa alisema ametuachia msaidizi ambaye ni roho mtakatifu na dhambi isiyo sameheka ni kumkufuru roho mtakatifu kitu kama hawaamini ni bora wakae kimya sio kuongea ili waonekane ni bora

Sisi hatupingi uwepo Wa Roho mtakatifu tunachopinga ni dhana zenu potofu juu ya Roho mtakatifu! Kwa mfano moja ya kz ya Roho mtakatifu ni kutuongoza Ktk kweli yote!

Na Yesu anasema yeye ndio njia, kweli na uzima! Na huyo huyo Yesu anasema ukawatakase kwa ike kweli, neno lako ndio kweli!

Na Yesu huyo huyo anasema ukinipenda utazishika sheria zangu!

Na pia maandiko yanasema tumepewa sabato km ishara Ili tupate kufahamu Kua yeye ni Mungu atutakasae!

Sass kwa mtiririko huo Wa maelezo ni nani Yukon sawa? Sisi au nyie? Na Je ni kweli gani mnayoifata? Au ni kweli gani Roho mtakatifu anawaongoza? Au ni Roho chafu? Au ni upendo gani mko nao kwa Yesu wakati sheria zake hamzitaki?
 
you must repent for blaspheming the holy spirit.

Ni kufuru gani aliyofanya huyo ndugu mpk atubu? Au Wewe huoni jinsi unavyofanya unafiki juu ya Roho mtakatifu!?
 
Yesu ndo bwana wa sabato hayo mengine ni yenu

Unaelewa Hilo fungu Maana yake? Au ndio unasoma Lkn hauelewi?

Na sabato iliumbwa kwa ajili ya mwandamu! Sio mwanadamu kwa ajili ya sabato! Ktk Hilo sabato iko juu ya mwanadamu!

Na pia Yesu aliposema Kua yeye ni bwana Wa sabato Maana Yake ni kwamba yeye ndio muumbaji Kwahiyo mwanadamu hawezi kumuhukumu Yesu juu ya sabato! Kwani yeye ni Bwana! Na ni Bwana Wa sabato!
 
Hapo ndugu yangu umepotea ! Sabato ni ishara kati ya Mungu na Mwanadamu.
Mwenyezi Mungu mwenyewe aliitunza SABATO.
Ww inakuaje unatuhukumu. Hata huyo roho Mtakatifu ambaye unae bila kuitunza SABATO ni bure.

Ubarikiwe mtumishi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom