Wasabato matengenezo

Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
sda ma walokole ndio mamburura wakubwa katika imani ya kikristo, hao wengine atilist hawa danganywi danganywi na wachungaji wao lakini sio hao watu .na ninapo zungumzio walokole mana wote wanatoka katika makanisa ya wapentekoste wengi sana wana watkuza wachungaji wao badala ya mungu. Kweli hawa ni vihiyo wa kutupa na ndio hao wako radhi motot asiende shule au asivae kiatu ili mchungaji atembelee gali zuri,shiit.
Hapo red, kuna sehemu katika Biblia inasomeka hivi Kwa sheria zetu wayahudi, si halali kumhukumu mtu pasipo kumsikiliza. Je, umeshawahi kuwasikiliza hao unaowaita mamburura, au nawe UMEKARIRISHWA?.
 
Mkuu Hawa jamaa wanakuja na kejeli na maneno mengi ya kuponda Lkn ukiwaulizwa tu kwamba waoneshe huo umburura Wa wasabato wanakosa majibu na kula kona!

Wanafurahisha sn Hawa! Maandiko matakatifu yana majibu ya hoja zao zote! Ni kazi Kwao kuja na maswali Yao na hoja zao!
 
Nataka kufahamu uhusiano wenu na mashahidi wa yehova. Na ni kwanini mliamua kujitenga. I mean ni kitu gani mliona hakiendi sawa ndani ya mashahidi hadi muamue kujitoa?

Majibu tafadhali!!
Kwa uelewa wangu kidogo Mashahidi wa yehova limeanza nyuma ya SDA na mwanzilishi inasemekana alitokea SDA.
 
Mimi nilibatizwa SDA.Hata hivyo nilikutana na maelezo ya wadhamini wa E.G.WHITE katika kitabu cha Vita kuu wakilaani mauaji ya MAUMAU.Nilitamani kuona wakilaani na ukoloni vile vile lakini sikuona.Nilianza kuwa na mashaka kwani niliamini sana kuwa Mungu alihusika katika kuwepo kwa maono ya kuandikwa kitabu hicho.Hatimaye nilikuja kujua kwamba wengi wa wadhamini wa EG WHITE walikuwa illuminats.Kwa hiyo iliwezekana tu kuchakchua maandiko yale kwa interest zao!Ni sawa tu na vile walivyofanikiwa kuchakachua Biblia ili kuleta confusion kwa wale wanaoamini kitabu hicho!Kwa hiyo haya madhehebu yote unayoyaona ni matokeo ya mwanadamu kutumia akili yake kutafsiri na hivyo kujikuta wanaacha mambo ya msingi kama kumtegemea roho mtakatifu na wanabaki kujenga hoja za umantiki wa kibinadamu.

Kwa sababu ya fursa hiyo ya kufuata mtu anachodhani ni sahihi,wengine wameanzisha madhehebu kwa ulevi tu wa ujuaji na wengine kutimiza ndoto zao za kupata umaarufu.

Kwa sasa naamini ni Mungu pekee(si msabato,wala mlutheri wala mkatoliki nk) anayeweza kumpa mtu mwongozo sahihi kupitia roho mtakatifu kila anaposoma maandiko!Ukitegemea mtu utakutana na shetani akiwa katika sura ya malaika wa nuru.
Jiponye nafsi yako

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu ulikua nusu nusu ktk Hiyo Imani yako!

Alafu Nina swali jepesi kwako, kitabu cha vita kuu kinazungumzia vita za kawaida Au kina zungumzia uasi dhidi ya Mungu?

Mkuu kibaravumba katika kitabu cha matendo ya mitume 18 kiuanzia msitari wa 24, kuna mtu aitwaye Apollo ambaye anaandikwa hivi moyo wake uliwaka na akahubiri habari za Yesu kwa USAHIHI lakini Priscilla na Akila walipomsikia, wakagundua kuna vitu anakosa. Wakamkalisha chini, wakamfundisha, baada ya hapo inasomeka maneno haya akaanza kuihubiri injili ya Bwana kwa USAHIHI ZAIDI. Kwa hiyo dhehebu linamata sana as kuna some denominationsa zinazofundisha kwa Usahihi lakini si kwa Usahihi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ulikua nusu nusu ktk Hiyo Imani yako!

Alafu Nina swali jepesi kwako, kitabu cha vita kuu kinazungumzia vita za kawaida Au kina zungumzia uasi dhidi ya Mungu?

Kinazungumzia vita kati ya wema na uovu.Ni vita kati ya shetani na malaika zake dhidi ya kanisa la Mungu.Ni vita kati ya ufalme wa giza dhidi ya ufalme wa Mungu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kinazungumzia vita kati ya wema na uovu.Ni vita kati ya shetani na malaika zake dhidi ya kanisa la Mungu.Ni vita kati ya ufalme wa giza dhidi ya ufalme wa Mungu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Sasa hayo mambo ya vita za ukoloni ulipenda zizungumziwe humo ki vipi na wakati lengo la kitabu hicho ni vita Kati ya Mungu na uasi?
 
dah mnakera sana! hivi hamuwezi kukaa kimya na kufaidi matunda ya hizo imani zenu? yaani mtu hadi atukane imani ya mwingine ndo ajisikie raha! huu ni upuuzi sana! Mungu wangu hapendi upuuzi kama huu!.
 
usilolijua ni kama usiku wa giza ndugu, endelea kubaki kwenye hilo giza lako hadi hapo siku moja utakapopata neema ya kufunguliwa!
 
Sasa hayo mambo ya vita za ukoloni ulipenda zizungumziwe humo ki vipi na wakati lengo la kitabu hicho ni vita Kati ya Mungu na uasi?

Ukirejea nilichoandika utagundua nilikuwa naongelea 'DIBAJI' kama ilivyoandikwa na wadhamini wa White.Katika utangulizi kama kweli waliona ubaya wa MAUMAU waliwezaje kutoona ubaya wa ukoloni?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
sda ma walokole ndio mamburura wakubwa katika imani ya kikristo, hao wengine atilist hawa danganywi danganywi na wachungaji wao lakini sio hao watu .na ninapo zungumzio walokole mana wote wanatoka katika makanisa ya wapentekoste wengi sana wana watkuza wachungaji wao badala ya mungu. Kweli hawa ni vihiyo wa kutupa na ndio hao wako radhi motot asiende shule au asivae kiatu ili mchungaji atembelee gali zuri,shiit.

Shule za walokole hazina tofauti na zile za wavaa vipedo...Hawa hawasomi ila hukesha kwa kulia kumuita Roho Mtakatifu awajazie mitihani yao..
 
dah itakuwa wazungu wakituangalia waafrika wanacheka sana.
 
Ufufuo utatokea mara mbili, kwanza ufufuo wa wenye haki (soma 1 wakorintho 15 na 1 wathesalonike 4:16-). Pili ni ufufuo wa wasio haki rejea ufunuo sura ya 20. Mauti itatokea mara moja tu, na hii itakuwa baada ya ufufuo wa wasio haki. Na hiyo mauti haitawahusu kundi la.watakatifu(waliofufuliwa mara ya kwanza), itawahusu tu wale wa ufufuo wa mara ya pili.

Nashukuru kwa jibu zuri lililonifanya niifute vumbi Biblia yangu, ila ufunuo 20: 4-6 inapelekea mimi kuamini ufufuo wa kwanza utawahusu watakatifu waliopita kipindi cha mpinga kristo pekee, watakatifu waliobaki watafufuliwa ufufuo wa pili na waliobaki watafufuliwa baada ya miaka elfu ya utawala wa kristo. Sura hiyo pia mstari wa 13-15, unapelekea kuamini wasiowatakatifu watapata mauti ya pili na si mateso ya milele, labda unirekebishe hapo kwenye matumizi ya neno milele na taifa kwa mujibu wa Biblia.
 
nisaidie hapa kwann sda mnatumia logo zenu ni cult?why obelistic in Elen g white grave?kwnn sda ni member of WCC?
 
Je unataka kutuambia mnamini ktk uwepo wabinadamu kwnye sayari nyngne?sbb mmezungumzia orion ktk ujio wayesu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom