Wasabato matengenezo

Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
SDA MJE MJIBU Hik kitabu.Early wrating pg42.Coming of Jesus through orion belt.and holly city is comedown through orion
 
Baada ya sabato masalia sasa kumejitokeza kundi jingine linaitwa 'sabato matengenezo' na sera yao ni kuwakataza watoto wao wasiende shule kwa madai wanafundishwa uongo, my take_ bora nibaki na dini yangu ya mungu mmoja hajazaa wala hajazaliwa!, chanzo itv taarifa ya habari


Mtume alikwenda shule Yeye?
 
MJE WASABATO MJE MJIBU NA KIRANGA PIA UTUSAIDIE KUHUSU ORION'S.kiranga na ww uje huku ujibu hyo evatar yako
 
mku wanaoabudu jumamoc wote wanaitw wasabato ila wamegawanyik ktk madhehbu
Mkuu hujamwelewa mwenzi hakuelewi sababu ya uandikaji wako, hii ni JF unaweza andika kitabu kizima hunahaja ya kufupisha kwa kuweka herufi unazoelewa mwenyewe tu kwenye neno. Mfano: Jumamoc,wanaitw, wameganyik haeleweki unakosea au unafupisha, na uandikaji huu upo sana kule Facebook.
 
Unaweza ukaileta Hiyo chapter hapa tukaisoma wote?

Ngoja nijaribu kuileta hapa,, ila nimeisoma na hakuna hicho kitu, labda kama ni kutoka maandishi ya wapinga E.G.White. Ila unaweza cheki video moja ipo youtube inaitwa Project bluebeam. Wanaeleza kuhusu ugunduzi ambao utasaidia shetani kuja duniani katika umbo la Yesu kristo kama E.G.White alivyoeleza kwenye baadhi ya maandishi yake.
 
MJE WASABATO MJE MJIBU NA KIRANGA PIA UTUSAIDIE KUHUSU ORION'S.kiranga na ww uje huku ujibu hyo evatar yako

Msabato(SDA) nipo hapa, uliza swali lolote lile utajibiwa.
 
wasabato matengenezo....! mungu mkubwa !
 
Ntuzu page 42 aliyosema mkuu GEBA2013 ni hii ifuatayo.
Sabbath, March 24, 1849, we had a sweet and very interesting meeting with the brethren at Topsham, Maine. The Holy Ghost was poured out upon us, and I was taken off in the Spirit to the city of the living God. Then I was shown that the commandments of God and the testimony of Jesus Christ relating to the shut door could not be separated, and that the time for the commandments of God to shine out with all their importance, and for God’s people to be tried on the Sabbath truth, was when the door was opened in the most holy place in the heavenly sanctuary, where the ark is, in which are contained the ten commandments. This door was not opened until the mediation of Jesus was finished in the holy place of the sanctuary in 1844. Then Jesus rose up and shut the door of the holy place, and opened the door into the most holy, and passed within the second veil, where He now stands by the ark, and where the faith of Israel now reaches. I saw that Jesus had shut the door of the holy place, and no man can open it; and that He had opened the door into the most holy, and no man can shut it (Revelation 3:7, 8); [see page 86. See also appendix.] and that since Jesus has opened the door into the most holy place, which contains the ark, the commandments have been shining out to God’s people, and they are being tested on the Sabbath question. I saw that the present test on the Sabbath could not come until the mediation of Jesus in the holy place was finished and He had passed within the second veil; therefore Christians who fell asleep before the door was opened into the most holy, when the midnight cry was finished, at the seventh month, 1844, and who had not kept the true Sabbath, now rest in hope; for they had not the light and the test on the Sabbath which we now have since that door was opened. I saw that Satan was tempting some of God’s people on this point. Because so many good Christians have fallen asleep in the triumphs of faith and have not kept the true Sabbath, they were doubting about its being a test for us now.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu hebu nawe ipitie kama ina orion ndani yake. Labda GEBA2013 atakuwa amechanganya vitabu au page, ila page 42 kachemka.
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuna sabato ngapi?

Sabato ya kweli ni moja, ambayo ni siku ya saba(ya Yesu) kwa hapa inafahamika kama jumamosi. Kuna zile mbili pia zilizoanzishwa na wanadamu i.e sabato bandia ya ijumaa(ya Mohamed) na sabato bandia ya jumapili(ya Papa). Kwa hiyo jumla ni sabato tatu.
 
Toeni up.u.m.bavu humu mmekosa ya kujivunia wote mnajisifia u.j.inga mtupu.
Mkuu kuna uwanja mapambano wamewekewa wapambane mpaka watowane damu, ajabu bado wanakuja kupigani mbele ya wasiohusika.
 
Sabato ya kweli ni moja, ambayo ni siku ya saba(ya Yesu) kwa hapa inafahamika kama jumamosi. Kuna zile mbili pia zilizoanzishwa na wanadamu i.e sabato bandia ya ijumaa(ya Mohamed) na sabato bandia ya jumapili(ya Papa). Kwa hiyo jumla ni sabato tatu.
Mkuu nimeuliza kutokana ulivojieleza pale, sikua na maana kuna siku ngapi za sabato, nina maana wewe umejiita sabato (SDA) ala kuna masalia, na sasa maendeleo je kuna masaba mangapi ndani ya dhehebu hili?
 
Mkuu Ntuzu hebu nawe ipitie kama ina orion ndani yake. Labda GEBA2013 atakuwa amechanganya vitabu au page, ila page 42 kachemka.

Mkuu Basluma Original kwanza nikushukuru sn kwa uwepo wako hapa na kwa kuileta Hiyo page hapa!

Nimeipitia Hiyo post sijaona hicho kitu!

Na km wako na maswali mengine juu ya wasabato Nami niko hapa muda mrefu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimeuliza kutokana ulivojieleza pale, sikua na maana kuna siku ngapi za sabato, nina maana wewe umejiita sabato (SDA) ala kuna masalia, na sasa maendeleo je kuna masaba mangapi ndani ya dhehebu hili?

Nami nilikujibu makusudi kabisa, maana swali ulilouliza halikuwa na jibu la direct, ila lilikuwa na jibu zaidi ya moja. Back to your question. Madhehebu za kisabato zipo nyingi sana, ila karibu zote zilijimega toka kwa Seventhy Day Adventist. Duniani kwa ujumla, mtu wa kwanza kujiengua SDA ni bwana David ambaye alianzisha Davidian Sabath, kwa hapa Tanzania kuna SDA, kuna sabato masalia, Sabato matengenezo, na mengi zaidi yapo kule mara Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom