Kwa kumbukumbu zangu nzuri niliwahi kariri (nikiwa mdogo)kutoka nukuu ya Mama White ambayo sijui ni kutoka kitabu gani anayoelezea kuhusu nyota ya Nebula iliyo katikati ya orion belt kama lango la mbinguni. Yesu alienda mbinguni kupitia pale, atakuja kupitia pale, na Jerusalem mpya itapitia pale. Binafsi tangu sekondari nafuatilia kuelewa hiyo Nebula kisayansi ila hakuna maelezo mazuri ya kukaribiana hayo.
Jingine alilowahi kulieleza ni sayari ambazo kuna viumbe wengine kama sisi wanaishi huko na nimesoma jana au juzi humu jf kuwa wamegundua kuna sayari zingine zinazowezesha uhai zinazozunguka nyota nyingine zimegunduliwa.Kufuatia huu ugunduzi nina ujasiri kufurahia nishani ya nyota.
The Bible mentions Orion three times, naming
it "Kesil" ( כסיל , literally - fool). Though, this
name perhaps is etymologically connected with
"Kislev", the name for the ninth month of the
Hebrew calendar (i.e. NovemberDecember),
which, in turn, may derive from the Hebrew
root K-S-L as in the words "kesel, kisla" ( כֵּסֶל,
כִּסְלָה , hope, positiveness), i.e. hope for winter
rains.): Job 9:9 ("He is the maker of the Bear
and Orion"), Job 38:31 ("Can you loosen
Orion`s belt?"), and Amos 5:8 ("He who made
the Pleiades and Orion"). In ancient Aram , the
constellation was known as N e phîlā′ , the
Nephilim may have been Orion's descendants.
kwa maelezo zaidi na ya kina kuhusu orion, google hilo neno la red.