Wasabato matengenezo

Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
Wakristo wote siku ya kuabudu ni jumapili sasa nyie hii jumamosi yenu mlitoa wapi?

Sword Siku ya kuabudu ni jumamosi hakuna cha ijumaa Au jumapili!

Nimeona nikujibu hivi Pamoja na Kua Sijui utalipokea vp jibu langu Lkn ni bora ukweli ukaufahamu!

Rejea ktk uumbaji pale mwanzo! Mungu aliumba vitu vyote kwa Siku 6 then Siku ya 7 akapumzika na kuitakasa! Kitabu cha Mwanzo kiko na majibu yote!
 
Last edited by a moderator:
mkuu pleo, soma hizo sehemu tatu zinazoongelea sodoma ambayo Yesu aliifananisha na ujio wake, naamini utapata kitu.
 
shukran zangu nyingi kwako na kwa mkuu Ntuzu kwa mwongozo mzuri, nafikiri utakuwa na faida kwa wengi. Nitachukua muda huu kutafakari maelekezo yenu.
Salaam
 
Last edited by a moderator:
Kushindana kivipi?
Ulisema unataka kuchambua uroma, ndiyo maana nkakwambia wasabato hamuwawezi waroma hata kidogo, kwanza sabato ni dini ya hivi karibuni tu lakini uroma...
 
.
Yesu hakuwa na dhehebu wala hapajawahi kuwa na nabii aliyetokana wala kuanzisha dhehebu lolote. Kulikuwepo na madhehebu ya mafarisayo, mazadukayo, Zeelote, othodox, Rc, angelikana, Lutheran na sasa haya ya kipentekoste yaliyo mlengi kama utitiri hakuna nabii aiyewahi kuwa wa lolote katika hayo. Au kama kuna mwenye ushahidi wa nabii yeyote wa kibiblia kuanzia Nuhu, Abraham, Daudi, Yeremia, Ezekieli, Isaya, Daniel, Malaki, Yohana, Petro , Paulo ama Bwana Yesu kuwa mwanachama wa mojawapo ya hayo, atupe. Na ni lipi kati ya yote?
.

.

Mkuu nitakujibu kidogo ktk hili Kwani niko mbali na vielezo vingi!

Ktk kitabu cha Yohana 14:15 Yesu anasema mkinipenda mtazishika sheria zangu!

Na ktk ufunuo 14:12 Tunaona Yesu kupitia Yohana anazungumza tena juu ya subira ya watakatifu Na hakuacha kugusia sheria Zake!

Sheria za Mungu ziko ktk kitabu cha kutoka 20 na Hapo ktk amri ya 4 ktk mstari Wa 8-11 kunazungumziwa juu ya sabato!

Kwahiyo Yesu alikua ni msabato ktk Imani yake!
 
hawa wasabato hata hawaeleweki..wanakengeuka kila leo mara walianza kusambaza vipeperush mwaka juzi wakisema.22/5/2012 ingekua mwisho wa dunia ilivopita wakasema walikesha na kuomba Mungu akasamehe mwaka jana tarwhe 14/5 wakasema tena ni mwisho wa dunia ikapita.tena..duu sasa sijui tuwaeleweje..si hawa waliotaka kwenda kuhubiri injili Asia na Ulaya bila Visa wakajazana Airport kipind fulani? leo wanakataza watoto kusoma" hizi dini na madhehebu vitatoa watu roho..
 
Ulisema unataka kuchambua uroma, ndiyo maana nkakwambia wasabato hamuwawezi waroma hata kidogo, kwanza sabato ni dini ya hivi karibuni tu lakini uroma...

Mkuu nilimwambia vile Rafiki Yangu tedo km tuuchambue uroma kutokana na kauli Zake za zarau juu ya wasabato! Ndio Maana nikamuuliza km yuko tayari tuichambue Imani yake!

Nikija ktk hoja yako! Naelewa Kua hua mnasoma biblia sn, mbali ya sabato kuwepo tangu Eden, Tunaona wakati Yesu alipokuwepo hapa Duniani ktk Siku ya sabato aliingia ktk masinagogi na kufundisha! Hapo utaona sabato sio km imeanza hivi Karibuni km ulivyoseama!

Na ndugu zangu nyie Hilo fungu la Yesu kuingia ktk masinagogi hua mnalijengea hoja na kudai kwamba Yesu alikua ni Wa Imani yako!
 
Last edited by a moderator:
shukran zangu nyingi kwako na kwa mkuu Ntuzu kwa mwongozo mzuri, nafikiri utakuwa na faida kwa wengi. Nitachukua muda huu kutafakari maelekezo yenu.
Salaam

Asante Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
hawa wasabato hata hawaeleweki..wanakengeuka kila leo mara walianza kusambaza vipeperush mwaka juzi wakisema.22/5/2012 ingekua mwisho wa dunia ilivopita wakasema walikesha na kuomba Mungu akasamehe mwaka jana tarwhe 14/5 wakasema tena ni mwisho wa dunia ikapita.tena..duu sasa sijui tuwaeleweje..si hawa waliotaka kwenda kuhubiri injili Asia na Ulaya bila Visa wakajazana Airport kipind fulani? leo wanakataza watoto kusoma" hizi dini na madhehebu vitatoa watu roho..
Fuatilia habari vizuri, hao si wasbato wa aina yoyote ile. Wasabato hawajui siku wala saa.
 
hawa wasabato hata hawaeleweki..wanakengeuka kila leo mara walianza kusambaza vipeperush mwaka juzi wakisema.22/5/2012 ingekua mwisho wa dunia ilivopita wakasema walikesha na kuomba Mungu akasamehe mwaka jana tarwhe 14/5 wakasema tena ni mwisho wa dunia ikapita.tena..duu sasa sijui tuwaeleweje..si hawa waliotaka kwenda kuhubiri injili Asia na Ulaya bila Visa wakajazana Airport kipind fulani? leo wanakataza watoto kusoma" hizi dini na madhehebu vitatoa watu roho..

Nadhani unaandika ukiwa na chuki, wasabato wa dhehebu gani unaowaongelea maana Umekuwa to general, badala ya kuwa specific.
 
Mkuu nitakujibu kidogo ktk hili Kwani niko mbali na vielezo vingi!

Ktk kitabu cha Yohana 14:15 Yesu anasema mkinipenda mtazishika sheria zangu!

Na ktk ufunuo 14:12 Tunaona Yesu kupitia Yohana anazungumza tena juu ya subira ya watakatifu Na hakuacha kugusia sheria Zake!

Sheria za Mungu ziko ktk kitabu cha kutoka 20 na Hapo ktk amri ya 4 ktk mstari Wa 8-11 kunazungumziwa juu ya sabato!

Kwahiyo Yesu alikua ni msabato ktk Imani yake!

hahaha umenchekesha mpaka baas..kumbe ndo mnavodanganyana ati.Yesu alikua msabato? nani aliwathibitishia kuwa sabato ni siku ya Jumamosi? mbona sasa hamuamini kama alizaliwa na kusherehekea sikuukuu yake? unajua kuwa Yesu alikula nyama pia? na hata kunywa divai? je kama ni wa imani ya sabato nanyi mnafanya hivi? hizo sheria unazozisema za.kutoka unazielewa vyema wewe? sheria.zilizotolewa n Mungu kwa.waisrael kupitia.Musa wala hazihusiani.na.kusema Yesu ni msabato wala hakuna andiko lilolosem Yesu ni.msabato acha kupotosha watu..
 
baki na dini yako sawa na ndio maana tunasema mungu sio mmoja mungu wangu mimi ana mtoto naye ni YESU ..mwokozi ..

UJINGA WA MASABATO MATENGENEZO haubadilishi huu UKWELI HUU mungu wako si sawa na mungu wangu .. nukta..

Kwahiyo yesu ni mtoto wa mungu na sio mungu
 
Nadhani unaandika ukiwa na chuki, wasabato wa dhehebu gani unaowaongelea maana Umekuwa to general, badala ya kuwa specific.
si kwamba nina chuki ndugu..nina hasira maana hawa wasabato nao ni shina la ukristo sasa wanaaibisha wakristo kusikia wanakataza baadhi ya mambo ambayo ni kama wanaenda kinyume na.maandiko kwani hata bible inasema " Mshike sana Elimu....kwani elimu ni uzima wako" halafu sikuelewa kama yapo madhehebu tena ndani ya wasabato..ningeshukuru kama ungeyataja na tofaut zake ili tusiwashutumu watu kwa jumla yao..
 
Mkuu nilimwambia vile Rafiki Yangu tedo km tuuchambue uroma kutokana na kauli Zake za zarau juu ya wasabato! Ndio Maana nikamuuliza km yuko tayari tuichambue Imani yake!

Nikija ktk hoja yako! Naelewa Kua hua mnasoma biblia sn, mbali ya sabato kuwepo tangu Eden, Tunaona wakati Yesu alipokuwepo hapa Duniani ktk Siku ya sabato aliingia ktk masinagogi na kufundisha! Hapo utaona sabato sio km imeanza hivi Karibuni km ulivyoseama!

Na ndugu zangu nyie Hilo fungu la Yesu kuingia ktk masinagogi hua mnalijengea hoja na kudai kwamba Yesu alikua ni Wa Imani yako!

Hebu ndugu.Ntunzu.. nithibitishie kuwa sabato ni siku ya jumamosi..maana nyie tu katika madhehebu yote ya kikristo ndiyo mnasali siku ya jumamosi...
 
Last edited by a moderator:
si kwamba nina chuki ndugu..nina hasira maana hawa wasabato nao ni shina la ukristo sasa wanaaibisha wakristo kusikia wanakataza baadhi ya mambo ambayo ni kama wanaenda kinyume na.maandiko kwani hata bible inasema " Mshike sana Elimu....kwani elimu ni uzima wako" halafu sikuelewa kama yapo madhehebu tena ndani ya wasabato..ningeshukuru kama ungeyataja na tofaut zake ili tusiwashutumu watu kwa jumla yao..

Nadhani baadhi nimeshayataja humu, lakini narudia tena. Kuna SDA, kuna sabato masalia, kuna sabato matengenezo, tanganyika sabato n.k. Tofauti ni kwamba, kuna ambao ni wapingaji wa kanisa la kwanza(SDA) na wanaompinga(walijiengua toka SDA).
 
Hebu ndugu.Ntunzu.. nithibitishie kuwa sabato ni siku ya jumamosi..maana nyie tu katika madhehebu yote ya kikristo ndiyo mnasali siku ya jumamosi...

Yesu alikufa siku ya Ijumaa(siku ya maandaalio ya sabato), akashinda kaburini siku ya jumamosi(sabato), akafufuka siku ya kwanza ya juma(jumapili). Hii rejea Luka 23 na sura ya 24 kama una Biblia. Hala fu wayahudi pia wanasali siku ya jumamosi(sabato). Na sabato ndio itakayoshindaniwa hadi Yesu atakaporudi, hujiulizi kwa nini .....
 
Nadhani baadhi nimeshayataja humu, lakini narudia tena. Kuna SDA, kuna sabato masalia, kuna sabato matengenezo, tanganyika sabato n.k. Tofauti ni kwamba, kuna ambao ni wapingaji wa kanisa la kwanza(SDA) na wanaompinga(walijiengua toka SDA).

owk kumbee asanteee ndugu..sasa nisaidie kitu kingine..kwanini inaitwa SEVENTH DAY ADVENTIST na mnaabudu siku ya jumamosi?
na je mlihesabu vipi siku na kugundua siku ya saba ndo jumamosi? maana Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika ambapo nyie mnasema hiyo ya saba ni jumamosi..vilevile Yesu aliwahi kuulizwa maswali kuhusu sabato kama ule mfano aliowaambia kama ng'ombe wako akiangukia shimoni siku ya sabato utamwacha? vilevile maandiko yanasema Yesu alifufuka siku ya kwanza ya Juma ambayo ni siku ya sabato..je!, hii siku ya.kwanza ya juma ndo jumamosi? hebu nisaidie ndugu jumamosi kwa wa SDA inakuwaje hapo!?
 
Mkuu nitakujibu kidogo ktk hili Kwani niko mbali na vielezo vingi!

Ktk kitabu cha Yohana 14:15 Yesu anasema mkinipenda mtazishika sheria zangu!

Na ktk ufunuo 14:12 Tunaona Yesu kupitia Yohana anazungumza tena juu ya subira ya watakatifu Na hakuacha kugusia sheria Zake!

Sheria za Mungu ziko ktk kitabu cha kutoka 20 na Hapo ktk amri ya 4 ktk mstari Wa 8-11 kunazungumziwa juu ya sabato!

Kwahiyo Yesu alikua ni msabato ktk Imani yake!
Hapa tunakusoma wengi, sio vizuri kupotosha umma. Yesu wa Nazareti hajawahi kuwa muamini wa dhehebu la sabato. Wote tunajua, wewe inclusive, kuwa alikuwa muamini wa Dini ya Kiyahudi, maana alizaliwa akawakuta wazazi wake ni waamini wa dini hiyo, akalelewa na kupata makuzi ya kidini, katika dini hiyo ya Kiyahudi. Ushahidi uko wazi soma Vitabu vya Injili ya Yesu Kristo
 
hahaha umenchekesha mpaka baas..kumbe ndo mnavodanganyana ati.Yesu alikua msabato? nani aliwathibitishia kuwa sabato ni siku ya Jumamosi? mbona sasa hamuamini kama alizaliwa na kusherehekea sikuukuu yake? unajua kuwa Yesu alikula nyama pia? na hata kunywa divai? je kama ni wa imani ya sabato nanyi mnafanya hivi? hizo sheria unazozisema za.kutoka unazielewa vyema wewe? sheria.zilizotolewa n Mungu kwa.waisrael kupitia.Musa wala hazihusiani.na.kusema Yesu ni msabato wala hakuna andiko lilolosem Yesu ni.msabato acha kupotosha watu..

Rafiki yng ameline Usiwe na speed sn ya mambo mengi!

Nimejenga hoja ya Yesu kutoka ktk nguzo ya Mungu Yani (sheria) na ndio Yesu alipokua hapa Duniani hakuacha kuzungumzia Hilo swala la sheria!

Ebu kwa ufahamu wako nifahamishe hizo sheria zikoje?

Alafu jenga hoja kwa kitu kimoja then upewe majibu tukimaliza tunaenda kwa hoja ingine!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom