Wasabato matengenezo

Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
Usiwe na imotion but uwe na reasons. Ainisha matatizo yao
 
Hapa tunakusoma wengi, sio vizuri kupotosha umma. Yesu wa Nazareti hajawahi kuwa muamini wa dhehebu la sabato. Wote tunajua, wewe inclusive, kuwa alikuwa muamini wa Dini ya Kiyahudi, maana alizaliwa akawakuta wazazi wake ni waamini wa dini hiyo, akalelewa na kupata makuzi ya kidini, katika dini hiyo ya Kiyahudi. Ushahidi uko wazi soma Vitabu vya Injili ya Yesu Kristo


Mkuu mwakaboko Bilashaka Mimi Nimetoa hoja kwa kuelekeza vifungu ya Maandiko! Ni vema na Wewe ukapinga hoja kwa Maandiko!

Lete Maandiko hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwakaboko Bilashaka Mimi Nimetoa hoja kwa kuelekeza vifungu ya Maandiko! Ni vema na Wewe ukapinga hoja kwa Maandiko!

Lete Maandiko hapa!
aaaaahhh imebidi nicheke tu, okay, soma Mathayo 1 mpaka sura ta 5, luka 1 mpaka sura ya tano, nadhani hizo zinatosha kumjua Yesu Kristo alizaliwa na kukulia katika dini ipi!!
 
Yesu alikufa siku ya Ijumaa(siku ya maandaalio ya sabato), akashinda kaburini siku ya jumamosi(sabato), akafufuka siku ya kwanza ya juma(jumapili). Hii rejea Luka 23 na sura ya 24 kama una Biblia. Hala fu wayahudi pia wanasali siku ya jumamosi(sabato). Na sabato ndio itakayoshindaniwa hadi Yesu atakaporudi, hujiulizi kwa nini .....
Asante kwa majibu yako..
BIBLIA katika kitabu cha Waefeso 4:5-6
inasema: "Bwana mmoja, Imani moja, ubatizo
mmoja, Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote,
aliye juu ya yote na ndani ya yote". Kama
maandiko yanavyosema kwamba Mungu ni
mmoja, imani ni moja, ubatizo ni mmoja,
lazima siku ya ibada iwe ni moja.
Hivyo, yatupasa tuelewe wazi kwamba kuna
mahali tumefanya makosa, maana haiwezekani
Mungu huyu mmoja atuwekee siku mbalimbali
za ibada kiasi hiki, na kutufanya
tuchanganyikiwe na kujiuliza ipi ni ipi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom