Mkuu Basluma Original kwanza nikushukuru sn kwa uwepo wako hapa na kwa kuileta Hiyo page hapa!
Nimeipitia Hiyo post sijaona hicho kitu!
Na km wako na maswali mengine juu ya wasabato Nami niko hapa muda mrefu!
Tutashirikiana, kuwapa majibu mjarabu juu ya usabato.
Msabato(SDA) nipo hapa, uliza swali lolote lile utajibiwa.
Usijali Mkuu! Huyu Rafiki Yangu Jaim Mara nyingi tunajadili nae neno!
Mkuu Uko na access ya jukwaa la dini?
Km hua unaingia kule ni vzr ukawa unapita pita Maana ndugu zetu Wengi wapo huko tunajifunza neno mara nyingi!
MKU leta h page tusome wote hap.Christians exp and teaching of ELen G white page 111.device angu
Wasabato ukitoa sda wengne wote n majanga.sda n dhehebu inayofundish biblia vizur kuliko makanis yote duniani.ila kuna-
ningependa kufahamu kulingana na Imani yako ufufuo wa wafu na mauti zitatokea mara ngapi, na vipindi hivi tunavitambuaje?
Waje watoe ufafanuz kweny hiki kitabu alichoandika NABII Helen G White,.Coming of Jesus through orion belt.
Huyo Hellen G white ndo yule aliyesababisha vifo vya watu baada ya kutoa utabiri feki wa kuzimu kuww mwisho wa Dunia ungetokea...."Great Disappointment......
ningependa kufahamu kulingana na Imani yako ufufuo wa wafu na mauti zitatokea mara ngapi, na vipindi hivi tunavitambuaje?
Hahahaha, naona wewe utakuwa mungu maana nadhani ni Mungu peke yake anayeijua akili ya mwanadamu. Au wewe ndio wa VICARIUS FILII DEI, maana si ndio wanajiita mwakilishi wa mungu duniani.Nyie wote ni kundi moja la Hellen G White.....Wasabato wanamatatizo ya akili..