Warioba: Mimi na Salim urais basi

Warioba: Mimi na Salim urais basi

Binafsi simkubali SAS si kwa sababu ulizotaja, bali namuona muungwana mno!! Hii nchi ipo kwenye decaying zone hivyo sizani kama inahitaji mtu muungwana na mtaratibu kama SAS.

Ama kwa sababu ulizotaja, niseme wazi kwamba wakati mwingine kutoonesha msimamo wakati una malengo mazuri kwa nchi basi ni jambo zuri sana. Ni bora watu wasipokuelewa elewa kuliko wakikuelewa!
Umenielewa?
Say unakerwa sana na mwenendo wa rushwa ndani ya chama na kutamani kwamba endapo ungepata nafasi kubwa kabisa basi ungeng'oa mizizi yote ya rushwa nchini! Kama mawazo yako ni haya au sawa na haya, basi ni 100% much better kutoonesha msimamo wa wewe ni mtu wa aina gani especially tunapozungumzia African Politics! Ukijifanya wewe unaichukia sana rushwa....basi hapana shaka yoyote kabisa kwamba utapendwa na wananchi lakini chama chako kitakutenga na katu hakitakupa nafasi ya kuongoza jahazi!! Hii maana yake ni nini? Ni kwamba, hutakuja pata nafasi ya kutekeleza ndoto zako za kutokomeza rushwa!

Ngoja nikupe mifano midogo miwili ambayo imepata kutokea duniani! Hapa nawazungumzia Fredrick De Clerk, kiongozi wa mwisho wa Afrika ya Kusini yenye ubaguzi na Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa USSR!

UKiangalia kwa makini, unaweza gundua kwamba viongozi hao hawakupenda mifumo ambayo ilikuwamo kwenye nchi zao; kwa maana U-Communist in USSR na Apartheid System in South Africa! So, hao watu kama wangeonesha misimamo yao mapema, si ajabu wasingepata nafasi ya kuongoza hata kata! Walibaki kimya na misimamo yao na kuyadondosha yale ambayo hawakuyapenda pale walipopata nafasi.

Unaweza ukawa sahihi kwa upande fulani, lakini ulimwengu wa leo wapiga kura wanapenda kuonyeshe msimamo katika yale ambayo wananchi wanaona utawala uliopo haujawaridhisha. Jambo la msingi kama unataka kusimama kupitia tiketi ya chama ambayo kinaongoza na kama kuna malalamiko mengi ambayo wananchi hawaridhishwi na kinachoendelea, bora kuonyesha msimamo wako.

Mifano uliyotolea kama ya SA au USSR wahusika hawakufanya kwa makusudi, kwa malengo yao walifikiria kwa kufanya hivyo wanaweza kuteka upande wa wanaoleta mgogoro waingie kwanye mfumo wao, kwamba wanakubaliana nao na hivyo kuendelea kujihakikisha kushika dola, kumbe hawakuona ufa uliopo ukatumika upande wa pili kufanikisha malengo ya muda mrefu.

Kwa vyo vyote ulimwengu wa leo hata Afrika uwazi kwa viongozi ni muhimu, watu wanataka msimamo wa mtu. Ukimya wake hauwezi kutupatia picha ya nini kilichomo moyoni mwake, tunajua yanayojilia, watanzania wa sasa ni sawa na aliyejeruhiwa na nyoka, hukimbia hata kamba tu ikigusa mguuni.
 
Sina tatizo na wapiga kura na ndio maana nikaeleza kwamba, ukionesha msimamo wako basi utapenswa na wapiga kura kama sio kukuchukia(basing on wht u stand for). Ninachozungumzia mimi ni internal politics....ndani ya vyama vyenyewe. Huyo SAS amekuwa akitajatajwa kwa sababu hajaonesha msimamo wake uko wapi hasa! Kutoonesha msimamo wake kunamsaidia yeye kutoonekana ni threats kwa baadhi ya watu hususani kama misimamo hiyo itakuwa ni yenye kuhatarisha maslahi ya watu. Sasa, hapa ni suala la mtu kuamua. Kwamba, I hate this and this na lazima nioneshe kwamba nachukizwa it doesn't matter hata kama hawatanipa nafasi itakayoniwezesha kusafisha uchafu husika. From political point of view, ni good move!! Lakini vile vile ni busara kujiuliza endapo u're in politics to play drama or serve your people! Kama drama kwako inatosha, then do it! Tutakupigia makofi kila unakopita but at the end of the day tatizo litakuwa pale pale! But, if you wish to serve your people! Sio mbaya vile vile unapoacha kuonesha misimamo yako lakini huku ukiamini kwamba once you get the chance, utafumua fumua ushenzi wote ambao una-exist!
 
Niliwahi kusikia kidogo historia ya SAS nikaona huenda asiwe na msaada wa maana sana kwa watanzania, eti alianza kuwa waziri na hatimaye balozi akiwa na umri wa miaka 19 tu huko Zanzibar. Sina hakika sana kama anaweza kuwa na maumivu moyoni juu ya hali duni za watanzania wanaoishi maisha duni ya chini ya dola moja.
Tuna msululu wa watu/viongozi waliowahi kulifanyia vitu vyenye manufaa taifa hili kwanini tusitumie vigezo hivi kuwachagua? Utaona wazi kuwa JKikwete hakuwahi kulifanyia chochote taifa hili na badala yake sasa anashindana na marubani wake kwa idadi ya masaa ya kukaa angani sijui ana leseni ya urubani!! mtu hakai ofisini sasa atajuaje shida za msingi za wale anaowangoza zaidi ya kupewa majungu na kuishia kuwafukuza madaktari, kuwaponda waalimu nk sasa angalia mahali tulipofika taifa linaangamia hivi hivi.
WATANZANIA TUTAJUTIA SANA MIAKA HII KUMI ILIYOENDA BURE, TUMERUDISHWA NYUMA SANA KIPUUZIPUUZI TU.
 
Haya nimachache tu kutoka Wikipedia on How De Clerk ended Apartheid!
As Minister of NationalEducation, de Klerk was a supporter of segregated universities, and as a leaderof the National Party in Transvaal, he was not known to advocate reform.However, after a long political career and with a very conservative reputation,in 1989 he placed himself at the head of verligte ("enlightened") forceswithin the governing party, with the result that he was elected head of theNational Party in February 1989, and finally State President in September 1989to replace then president P.W. Botha when the latter was forced to stepdown after an apparent stroke.
In his first speech after assuming the party leadership he calledfor a non-racist South Africa and for negotiations about the country's future.He lifted the ban on the African National Congress (ANC) and released Nelson Mandela.He brought apartheid to an end and opened the way for the drafting of a newconstitution for the country based on the principle of one person, one vote.Nevertheless, he was accused by Anthony Sampson of complicity in the violence betweenthe ANC, the Inkatha Freedom Party and elements of the security forces.In Mandela: The Authorised Biography Sampson accuses de Klerk of permittinghis ministers to build their own criminal empires.[SUP][13][/SUP] This was even more widespread thansuspected at the time, according to the evidence obtained by the Truth and Reconciliation Commission.
His presidency was dominated by the negotiation process,mainly between his NP government and Mandela's ANC, which led to thedemocratisation of South Africa. In 1992, de Klerk held a whites-only referendum,with the result being an overwhelming "yes" vote to continue negotiationsto end apartheid.
In 1990, de Klerk gave orders to end South Africa's nuclear weaponsprogramme; the process of nuclear disarmament was essentiallycompleted in 1991. The existence of the programme was not officiallyacknowledged before 1993.[SUP][14][/SUP]
In 1993, de Klerk and Mandela were jointly awarded the Nobel PeacePrize for their workending apartheid.
[FONT=Arial, sans-serif]After the first free elections in[/FONT] 1994[FONT=Arial, sans-serif], de Klerk became deputy president inthe government of national unity under[/FONT] Nelson Mandela[FONT=Arial, sans-serif],a post he kept until 1996. In 1997 he also gave over the leadership of theNational Party and retired from politics.[/FONT]

[FONT=Arial, sans-serif]Hapo unaweza kuona wazi kwamba Makaburu walimuona Fredrick De Clerk ni mwenzao na ndio maana hawakuona taabu kumpa top posts! Na ndio maana nilitangulia kusema kwamba, endapo mtu kama huyi angeonesha msimamo wake mapema kwamba yupo against Apartheid System, kamwe asingepata nafasi ya kupanda na kufikia top executive job! Lakini ni ile kujionesha kwamba nae ni mmoja wao, akaaminika![/FONT]

[FONT=Arial, sans-serif]Tukija kwa SAS, kumtaka kuonesha msimamo wake basi bila shaka tunatarajia kiti kimoja tu! Kwavile CCM kuna uozo wa kutosha, basi aoneshe kwamba yupo against it! Kama nilivyosema, from political point of view, and in fact, publicity political point of view, ni kitu kizuri sana kuonesha msimamo lakini kama una-dream kufanya au kuondoa uchafu fulani, especially under our political situation, then u better ukakaa kimya![/FONT]

[FONT=Arial, sans-serif]Unaweza kusema mbona basi De Clerk alishaonesha msimamo wake kwamba nae alikuwa ni mbaguzi.....YES, If you can't fight them, join them huku ukikusanya nguvu ya ku-launch [/FONT][FONT=Arial, sans-serif]unforgettable[/FONT][FONT=Arial, sans-serif] attack![/FONT]
 
Niliwahi kusikia kidogo historia ya SAS nikaona huenda asiwe na msaada wa maana sana kwa watanzania, eti alianza kuwa waziri na hatimaye balozi akiwa na umri wa miaka 19 tu huko Zanzibar. Sina hakika sana kama anaweza kuwa na maumivu moyoni juu ya hali duni za watanzania wanaoishi maisha duni ya chini ya dola moja.
Tuna msululu wa watu/viongozi waliowahi kulifanyia vitu vyenye manufaa taifa hili kwanini tusitumie vigezo hivi kuwachagua? Utaona wazi kuwa JKikwete hakuwahi kulifanyia chochote taifa hili na badala yake sasa anashindana na marubani wake kwa idadi ya masaa ya kukaa angani sijui ana leseni ya urubani!! mtu hakai ofisini sasa atajuaje shida za msingi za wale anaowangoza zaidi ya kupewa majungu na kuishia kuwafukuza madaktari, kuwaponda waalimu nk sasa angalia mahali tulipofika taifa linaangamia hivi hivi.
WATANZANIA TUTAJUTIA SANA MIAKA HII KUMI ILIYOENDA BURE, TUMERUDISHWA NYUMA SANA KIPUUZIPUUZI TU.
Kuwa na machungu dhidi ya Tanzania wala hakutegemei na your past social status! Ingekuwa waliokulia kwenye umaskini baadae wanakuwa na machungu na nchi hii basi tusingefikia hapa tulipo! Ni wale wale ambao walikulia kwenye umaskini ndio waliobadilika na kuwa majizi makubwa ya nchi hii! Kukerwa kwa jambo lolote kunatoka moyoni!
 
Nakumbuka hata Mkapa alikuwa hana umaarufu kihivyo, gazeti la Mfanyakazi liliansdika¨ Mkapa naye achukua fomu!¨ kwambwa ilikuwa inashangaza, So kwa Salum sioni tatizo

lakini mkapa ilishajulikana way before hajachukua form kuwa ndiye angekuwa rais.
 
Sina tatizo na wapiga kura na ndio maana nikaeleza kwamba, ukionesha msimamo wako basi utapenswa na wapiga kura kama sio kukuchukia(basing on wht u stand for). Ninachozungumzia mimi ni internal politics....ndani ya vyama vyenyewe. Huyo SAS amekuwa akitajatajwa kwa sababu hajaonesha msimamo wake uko wapi hasa! Kutoonesha msimamo wake kunamsaidia yeye kutoonekana ni threats kwa baadhi ya watu hususani kama misimamo hiyo itakuwa ni yenye kuhatarisha maslahi ya watu. Sasa, hapa ni suala la mtu kuamua. Kwamba, I hate this and this na lazima nioneshe kwamba nachukizwa it doesn't matter hata kama hawatanipa nafasi itakayoniwezesha kusafisha uchafu husika. From political point of view, ni good move!! Lakini vile vile ni busara kujiuliza endapo u're in politics to play drama or serve your people! Kama drama kwako inatosha, then do it! Tutakupigia makofi kila unakopita but at the end of the day tatizo litakuwa pale pale! But, if you wish to serve your people! Sio mbaya vile vile unapoacha kuonesha misimamo yako lakini huku ukiamini kwamba once you get the chance, utafumua fumua ushenzi wote ambao una-exist!

Hizi zama za utandawazi mgombe atadodoswa karibu mambo muhimu ambayo yanaonekana kutokewa ufafanuzi, zama za watu kuelewa msimamo na nini unapigiania kupata nafasi na kwa malengo gani unakusudia kutufikisha katika uongozi.

Mtindo wa kukaa kimya ni ule wa mfumo dume kwa Tanzania kama zile enzi za zidumu maana ni kuachiana madaraka kama ilivyozoeleka badala ya kunadi sera za nini unachowavutia wapiga kura. Mazingira yaliyowafikisha uliotolea mfano sipingani nayo, ila tu si kwa kizazi cha leo kinataka uwazi maana sumu ya kutaka uwazi imeshaenezwa.
 
lakini mkapa ilishajulikana way before hajachukua form kuwa ndiye angekuwa rais.

Nyerere alishamwandaa, ndo maana nzee Nkapa alitoka kifua mbele, pamoja na kiherehere cha Kikwete hata kumfanyia mikingamo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM hayati Laurance Gama alikuja kuangukia pua nadhani mwanguko huo wa mende ndio uliomsababishia ugonjwa wa kuangukaanguka hadharani.
 
Niliwahi kusikia kidogo historia ya SAS nikaona huenda asiwe na msaada wa maana sana kwa watanzania, eti alianza kuwa waziri na hatimaye balozi akiwa na umri wa miaka 19 tu huko Zanzibar. Sina hakika sana kama anaweza kuwa na maumivu moyoni juu ya hali duni za watanzania wanaoishi maisha duni ya chini ya dola moja.
Tuna msululu wa watu/viongozi waliowahi kulifanyia vitu vyenye manufaa taifa hili kwanini tusitumie vigezo hivi kuwachagua? Utaona wazi kuwa JKikwete hakuwahi kulifanyia chochote taifa hili na badala yake sasa anashindana na marubani wake kwa idadi ya masaa ya kukaa angani sijui ana leseni ya urubani!! mtu hakai ofisini sasa atajuaje shida za msingi za wale anaowangoza zaidi ya kupewa majungu na kuishia kuwafukuza madaktari, kuwaponda waalimu nk sasa angalia mahali tulipofika taifa linaangamia hivi hivi.
WATANZANIA TUTAJUTIA SANA MIAKA HII KUMI ILIYOENDA BURE, TUMERUDISHWA NYUMA SANA KIPUUZIPUUZI TU.

Naunga mkono hoja yako, Salim ni kama amebebwa akuanzia utotoni hadi leo, hivyo hata machungu ya maisha tunayoyapata watanzania ni sawa na matajiri wanaowaangalia maskini kutoka Luninga.

Sina hakika kama amewahi kugombea hata ubunge kupitia unadishaji sera majukwaani isipokuwa ule wa kuzawadiwa kama akina maana wa viti maalum au Zakia Megji alivyozawadiwa last time na Faster Jet, aka Vasco da Gama.
 
Jamani JF, Mwacheni mzee wa watu apumnzike kwa amani ameitumikia dunia hii kwa uadilifu wa hali ya juu na wala hajawahi kusema anautaka urais. Miaka yote aliyogombea wamekuwa wakimwita wenyewe. Ajitokeze MKapa, Benjamin hapa JF na akanushe kuwa hakumtuma Warioba,Joseph kwenda kumuomba Salim Achukue form 2005? Na Mangula ndoo "alifuzwa" CCM kwaajili ya kutetea Salim kuwa rais. Tumwache Salim apumzike, tuje tumjengee hoja kama atajitokeza 2015. Tusimtafute maneno hasa katika CCM hii ambayo wanajiita wasikivu wakati wameweka mawe masikioni
 
Mpitagwa,
Jambo lisilozoeleaka Tanzania watu kutoa maoni nani anafaa na nani hafai katika nafasi ya urais katika vyombo vya habari na majadiliano ya kijamii mitandaoni. Wazoefu katika demokrasia maoni ya wananchi ndiyo yanayochukuliwa kama kishawishi cha mtu kufanya uamuzi wa kugombea nafasi fulani hasa uongozi wa juu nchini. Maoni ya wananchi yanapompa nafasi zaidi anakuwa na mategemeo ya kupata wafuasi wenye kumkingia kifua na hivyo kuushawishi umma umchague.

Mada yangu haina maana kwamba watanzania wote wana maono yangu, bali kwa mada hii inaweza kusaidia kuyaanika hata mazuri ya mtajwa na hivyo tukafikia hitimisho la kwamba anafaa au la. Kwa vile anasemwa na wengi kwamba CCM ikimsimamisha yeye watakuwa na candidate mzuri, basi wengine mtazamo wetu juu yake ndio kama nilivyouanisha hapo juu.
 
Kwa mtazamo huo nakubaliana na wewe. Unajua kaka, wakati ukuta. Ndoo maana nimesema TUMWACHE MZEE WA WATU APUMNZIKE. Kwa kigezo cha umri tu kinatosha kumuondoa ulingoni. CCM wanamatatizo sana hawajui waelekee wapi kimtazamo, huku wanataka kuwa kama vyama vya magharibu upande mwingine wanataka waige mtindo wa chama cha kikomunisti cha China. Badala ya kufanya kazi wao wanaburunda makusudi na kutegema kuja kuokolewa na mzee huyu kwenye uchaguzi. Haiwezekani.
 
Mazoea yaliyopo kwa nchi hii, kunaweza kufanyika kila kiwezekanacho kumwubua hata ajuza ili mradi anaweza kuwa tegemeao la kuokoa jahazi lisizama, kwamba anafaa au la.
 
salim anafaa kuwa rais, sijamuona mwingine kwa sasa!
 
salim anafaa kuwa rais, sijamuona mwingine kwasasa!
 
Kwani kupiga kelele kwa kila jambo ndio uongozi? uongozi ni vitendo
 
Aaah Wapi,

Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,

Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??

Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..

Au kwa kuwa ni Muislam??

Hata mimi nashindwa ku-connect mkuu, sikutegemea kama kuna Watanzania wano litakia mema Taifa letu anaweza kuanza ku-question sifa za ndugu Salim, jamaa huyu si nusura awe katibu mkuu wa umoja wa mataifa lakini akaondolewa na kura ya trufu ya Merikani? Kila mtu unajua kilicho mponza - misimamo yetu ya wakati huo, mpaka ikabidi Barozi wa Merikani katika Umoja wa Wataifa bibi KirkPatrick kumuomba msamaha ndugu Salim kwa kumwambia kwamba yeye hana chuki na Salim as a person, alipiga kura ya trufu kumpinga kutokana na mahagizo ya Serikali yake - mama huyo kamweleza wazi wazi ndugu Salim kwamba kilicho mponza ni misimamo ya Serikali ya Tanzania ya wakati huo!!

Lakini unaweza kukuta baadhi ya Watanzania awamtaki ndugu Salim kutokana na point yako ya mwisho, sio wengi lakini WAPO! Wako radhi wamtose mtu ambaye anajulikana kimataifa, kuheshimika na ambaye ana uwezo mkubwa wa kutukwamua kimaendeleo simply because creed yake ni ya KI-UKARA!
 
Back
Top Bottom