Hata mimi nashindwa ku-connect mkuu, sikutegemea kama kuna Watanzania wano litakia mema Taifa letu anaweza kuanza ku-question sifa za ndugu Salim, jamaa huyu si nusura awe katibu mkuu wa umoja wa mataifa lakini akaondolewa na kura ya trufu ya Merikani? Kila mtu unajua kilicho mponza - misimamo yetu ya wakati huo, mpaka ikabidi Barozi wa Merikani katika Umoja wa Wataifa bibi KirkPatrick kumuomba msamaha ndugu Salim kwa kumwambia kwamba yeye hana chuki na Salim as a person, alipiga kura ya trufu kumpinga kutokana na mahagizo ya Serikali yake - mama huyo kamweleza wazi wazi ndugu Salim kwamba kilicho mponza ni misimamo ya Serikali ya Tanzania ya wakati huo!!
Lakini unaweza kukuta baadhi ya Watanzania awamtaki ndugu Salim kutokana na point yako ya mwisho, sio wengi lakini WAPO! Wako radhi wamtose mtu ambaye anajulikana kimataifa, kuheshimika na ambaye ana uwezo mkubwa wa kutukwamua kimaendeleo simply because creed yake ni ya KI-UKARA!
Jamani mwaka 2015 si ni zamu ya wakristu kushika inchi sasa haya ya Salim yanatoka wapi tena? Kumwingiza kwa CC naona ni namna ya JK kujikosha na matusi aliyompa last time na kampeni zake za maji taka
Candid scope,
Kwanza ungedeclare interest kwanza wewe unamtaka nani apitishwe na CCM, maana yupo unayemfagilia na inakua reflected na michango yako ya siku za nyuma sana. Huko Chadema ni kama vile ikitokea CCM wakimtosa candidate wako basi nawe kura yako Chadema.
Suala la Salim, yeye mwenyewe hajawahi kutamka kutaka urais 2015, lakini inaonekana kuingia kwake CC ya CCM imeleta kiwewe kwenye kambi flani flani za urais ndani ya CCM.
Ungedeclare interest ya unayemuunga mkono, ingesave a lot of energy za watu hapa.
Kwani kupiga kelele kwa kila jambo ndio uongozi? uongozi ni vitendo
"Katiba ya nchi inataka mtanzania ye yote anayefaa na kukidhi kiwango cha kikatiba anaweza kugombea urais, hakuna kifungu kinachotanabaisha kupokeza vijiti vya kuingia magogoni kwa msingi uliousema"
Kupokezana vijiti imekuwa ndio utaratibu wetu toka uhuru na ninatarajia JK atautekeleza pia maana mkristo anapokuwa madarakani kiuchumi kunakuwa na ahueni yaani ni kama JENGA then BOMOA
Najaribu kuangalia aiana ya watanzania tulionao sasa na tabia na hulka za huyu mzee ni vitu viwili tofauti. Sasa hivi tunahitaji mtu ambaye ni mkali unaweza kumwita dikteta lakini asiye mwizi wa fedha za umma. Tunahitaji kiongozi ambaye atafuta vijiwe vyote na kuhakikisha vijana wanafanya kazi badala ya kukaa vijiweni na kuzulula mijini eti wanatafuta deal au wanajiita mention town. Tunahitaji kiongozi ambaye anajua kabisa kuwa jukumu la kuteua na kufukuza ni la kwake na anafukuza mchana kweupe mara tu baada ya kupata ushahidi wa kutosha. Tunahitaji rais ambaye kama hajaridhishwa na ripoti basi anafana ziara a kushitukiza na matokeo yake ni kupandisha mtu cheo au kumfukuza. We need a no nonsense presidentMazoea yaliyopo kwa nchi hii, kunaweza kufanyika kila kiwezekanacho kumwubua hata ajuza ili mradi anaweza kuwa tegemeao la kuokoa jahazi lisizama, kwamba anafaa au la.
kama unataka mtu anayepayuka kama kina makamba huyu sio wa aina hiyo, huyu ni mtndaji na kama unahudhuriaga midahalo mingi ya wanazuoni udsm utamwona na utajua misimamo yake na ndio mana hutamwona akipaza kelele kwenye siasa za ccm, anajua anachokifanya ni moja ya viongozi wazalendo tuliobaki nao katika taifa hili na ndo maana unamwona wamemweka hapo alipo coz wanajua umuhimu wake,
Najaribu kuangalia aiana ya watanzania tulionao sasa na tabia na hulka za huyu mzee ni vitu viwili tofauti. Sasa hivi tunahitaji mtu ambaye ni mkali unaweza kumwita dikteta lakini asiye mwizi wa fedha za umma. Tunahitaji kiongozi ambaye atafuta vijiwe vyote na kuhakikisha vijana wanafanya kazi badala ya kukaa vijiweni na kuzulula mijini eti wanatafuta deal au wanajiita mention town. Tunahitaji kiongozi ambaye anajua kabisa kuwa jukumu la kuteua na kufukuza ni la kwake na anafukuza mchana kweupe mara tu baada ya kupata ushahidi wa kutosha. Tunahitaji rais ambaye kama hajaridhishwa na ripoti basi anafana ziara a kushitukiza na matokeo yake ni kupandisha mtu cheo au kumfukuza. We need a no nonsense president
Salim ni janga na hana msimamo, alitumiwa na wamarekani kumwangusha Boutros Boutros Ghali. "What goes around, will come around" Thanx JK kwa kazi mzuri uliyoifanya kumchafua Salim. Hakuna maji ya kutosha kumsafisha 2015
Hata mimi base yangu imesimamia hapo na ndio maana hata ktk mada hii nilieleza wazi kwamba simkubali SAS si kutokana na hoja zilizotolewa na mto mada bali kutokana na hulka yake. Namuona kama ni muungwana mno; hakika hatuhitaji hata kidogo mtu wa aina hii! Nchi imeoza kila mahali....inahitaji kiongozi mkali na aliye dikteta kwa maslahi ya taifa!! Na ndio maana hadi leo naamini solutiona ya nchi hii ilikuwa ni kuwa na Approved Dictatorship Governance! Utawala Bora ni mzuri lakini kwa nchi iliyooza kama hii inasaidia tu kuwa kichaka muafaka cha wezi, mafisadi, na wale wasiotaka kuwajibika!Najaribu kuangalia aiana ya watanzania tulionao sasa na tabia na hulka za huyu mzee ni vitu viwili tofauti. Sasa hivi tunahitaji mtu ambaye ni mkali unaweza kumwita dikteta lakini asiye mwizi wa fedha za umma.
Hata kama tunaaminishwa kwamba SAS alichafuliwa na JK, ukweli bado uko pale pale kwamba SAS aliathiriwa na siasa za ZNZ ambazo hadi leo kule kuna makovu ya ASP na HIZBU!! Wanaojiita Wana Mapinduzi katu hawapo tayari kuona mtu wa HIZBU anakuwa juu...!! Narudia, SAS alihujumiwa na Wazanzibari wenyewe!Thanx JK kwa kazi mzuri uliyoifanya kumchafua Salim. Hakuna maji ya kutosha kumsafisha 2015
Hata mimi base yangu imesimamia hapo na ndio maana hata ktk mada hii nilieleza wazi kwamba simkubali SAS si kutokana na hoja zilizotolewa na mto mada bali kutokana na hulka yake. Namuona kama ni muungwana mno; hakika hatuhitaji hata kidogo mtu wa aina hii! Nchi imeoza kila mahali....inahitaji kiongozi mkali na aliye dikteta kwa maslahi ya taifa!! Na ndio maana hadi leo naamini solutiona ya nchi hii ilikuwa ni kuwa na Approved Dictatorship Governance! Utawala Bora ni mzuri lakini kwa nchi iliyooza kama hii inasaidia tu kuwa kichaka muafaka cha wezi, mafisadi, na wale wasiotaka kuwajibika!
Sijawa mbali na maoni yako, lakini kuna kitu kingine nimekiona kwa Salim, sijui kama unaweza kuona tatizo ambalo mimi nimeliona kama ifuatavyo:
Hata siku moja sijawahi kumwona yupo pamoja na walala hoi, maskini, wakulima, wafugaji nk. Yuko juu mno. Haonyeshi dalili za kuteremka, amebaki palepale juu. Anayemhitaji inabidi afanye jitihada za kumfikia kule mawinguni. Kwa kiongozi wa wananchi hali hiyo ni dalili ya kutokuwa karibu na wapiga kura wake. Pengine vyeo alivyoshika tangu ujana vimemfikisha alipo, hivyo kwa umri wake wa sasa vigumu maana mifupa imeshakomaa maana alipokuwa bado laini hakufanya maamuzi ya kuwa flex-able.