Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,229
- 17,986
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri.
Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Soma: Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026