Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

- Mimi binafsi sina hofu na anything najua Zanzibar haiwezi kukubali kuvunjika Muungano, kuna wachache wenye kelele ni muhimu sana kelele zao zikasikilizwa ila ninapata taabu sana na uwezo wa uongozi wa Warioba wa kulilia kuvunja tu, yaani kweli hana neno hata moja la ushauri wa wapi parekebishwe ila kuvunja tu!!

Le Mutuz System

Hivi wewe jamaa uko sawa kichwani au ndiyo uzee ushaanza kukutafuna ubongo?Mbona unakubaliana na hoja ya muungano wa serikali tatu then in the same sentence unapinga tena?
 
Hoja ipi au swali lipi la warioba linatafuta majibu mbona maswali yake yote yanamajibu ya kiasili na mengine yote yamejibiwa bungeni unakurupuka bila hata kujua unaongea nini.

zile taarabu za wabunge wa ccm ndo majibu ya maswali 7 aliowauliza, mweh..., kwan kwa style hii watu wanajitoa ufahamu
 
Kama zanzibar wako huru na wana katiba yao,sasa kwanin sisi Tanzania Bara aaah no Tanganyika tusiwe na uhalisa wa katiba yetu??hakuna mtu mwenye nia ya kuuvunja muungano,lakni hizi kero zake zimezid sasa na ni lazima zitafutiwe solution la kudumu kwa kizaz hiki na cha baadae

Think twice,
 
Yaani wewe le mutuz ungekuwa ndio JK ungeamuru mzee warioba ang'olewe meno na kucha ... wewe sio mtu mzuri ... sio vema kupenda kupitisha hoja zenu kwa kuwafumba fumba wananchi ... acha wazalendo wafunguke.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Unataka tuamini mawazo ya mwenyekiti wa chama. Kwa nn tuamini yake kama ambavyo amewalazimisha chama kwa kusema ni msimamo wa chama. Katiba ni ya chama au wananchi. Acha kila mtu atoe maoni kwa jinsi yeye anavyoona inafaa. Kama vipi shauri rasimu ifutwe rais aunde tume nyingine wewe Uwe mwenyekiti.
 
warioba songa mbele moto chini moto juu !
tunaimani na mungu siyo ccm ya mafisadi mungu atakulinda mzee wetu unasaidia vijana kujiamini tunaweza kuwa wakweli na siyo kutumiwa na ccm kama condom!

mzee warioba wengi tunaamini wewe ni mzalando wa kweli ndiyo maana ata wao wanakukubali si umeona wapekupa tunzo
 
- So unaona kumbe kabla ya kuandika huwa unaomba ushauri wa baba yako sasa unataka wote hapa tuwe kama wewe? ha! ha! ha! Umaarufu? Nilipokuwa ninazaliwa Baba yangu alikuwa Mkuu wa Wilaya so umaaurufu ni wa kuzaliwa nao kaka, ha! ha! ha! ha!

Le Big Show

Too low!
Hivi mbona baba yako haropoki namna hii? Kwa jinsi unavyozidi kujibujibu kila hoja ndio unatufunulia uwezo wako wa kufikiri. Hata kuedit tu unachoandika ni tatizo kwako achilia mbali kutoa hoja zenye mashiko, kuna mchangiaji amekukumbusha ujibu maswali saba ya mh. Warioba wala hujamuelewa, unabaki kuogelea kwenye jina alilotengeneza mzee wako and very very unfortunately you are proud to keep on saying baba hivi na baba vile, a 50 yrs plus guy????
 
Warioba is a leader who follows principles, something the current CCM is not used to.

He calls it as it is and let the chips fall where they may. A legal mind with deep concentration on the jurisprudence of matters than any prevalent politics.

And therein lies the problem. Ndiyo maana politics za kibongo huyu mzee haziwezi. Atabaki kuendesha tume hizi tu, na yeye kashajua hilo, ndiyo maana alijiuzulu u PM tangu enzi za Mwinyi.

Of course vichwapanzi watamshangaa, au kujifanya wanamshangaa.

Kiongozi yeyote anayepresent maoni ya watu ana a moral obligation kuyaeleza vizuri aeleweke, sasa William alitegemea ukondoo wa CCM mwenyekiti akisema kila mtu anyamaze? Enzi za "Zidumu fikra za mwenyekiti" zishapitwa na wakati.

Warioba hawezi kunyamaza kwa kuogopa mtu, even as ana heshima kichizi kwa taasisi ya urais.

Warioba hana wa kumuogopa CCM, yeye ndiye aliyemleta Kikwete mjini kutoka Lindi baada ya mafuriko ya early nineties.

Kutegemea William amuelewe Warioba ni kama kutegemea sisimizi aelewe Hegelian dialectics na kanuni za Karl Marx.

Cc : Matola
 
Last edited by a moderator:
Mbona CCM kila siku inapayuka kupinga maoni ya wananchi hamshangai,
Nyie mnamchafua Warioba halafu mnataka akae kimya wakati mnapotosha maoni ya wananchi.

Na cha ajabu zaidi, tume ya Warioba si ya kwanza kupendekeza mfumo wa serikali tatu, nashangaa wamekazana kumuandama mzee Warioba ilhali hayo maoni si yake, ni ya sisi wana wa nchi hii.
 
Umeona salim akienda kwenye tv kuongea?anayoyaongea warioba kwenye tv ni maoni yake au ya tume?

With that kind of thinking, then it's obvious that we have a very (seriously) basic problem here my friend....

Ni nani alitoa hotuba wakati wa kuwasilisha rasimu? Don't tell me eti hujui kwa nini aliyewasilisha ni Warioba. Pia usiniambie hujui kwa nini ni Warioba ndiye anayeongea kwenye media.
 
Warioba ana hoja, na ukimsikiliza utagundua kuwa kuna kitu anataka kukiepushia taifa letu, amesema namna zanzibar inavyomiliki dola, huwezi kuwa na nchi 1 yenye mizinga 42. sasa wewe unakuja hapa na porojo badala ya kujibu hoja za warioba? na hilo gazeti lako la habari leo hatuendi kununua.
 
wewe ni mwislamu uchwara, kama una uchungu kweli na uislamu jiandikisheni mwende Africa ya kati mkapigane jihad kule waislam wanachomwa mishikaki.

Zanzibar wala haina shida na wanafki ni nchi ya kiislam siku nyingi tu labda wewe huijui Zanzibar unaropoka tu kama vitimbakwiri.

Dah. Naona hata neno jihad hulijui maana yake na unalitumia uoendavyo wewe. Jihad maana yake si kupigana vita, aliyekufundisha hivyo kakudangaya. Jihad ni "to strive", kujitahidi, kama Muislaam unatakiwa ujitahidi kwa chochote ukifanyacho kwa njia ya Mwenyeezi Mungu na usijitahidi kwa njia ya shetani, yaani usijitahidi kunywa gongo sana kama unavyonesha wewe kwa matamko yako.

Zanzibar ina Waislaam 99% na hofu kubwa ya Warioba ni kuwa kwa sasa wana nchi yao, na hicho kinamuuma sana.

Halikadalika, William Lukuvi, yeye ndio kasema wazi kabisa, hofu yake ni Zanzibar kuwa nchi ya Kiislaam.

Wewe pia katika haya maandiko yako unaonesha hofu yako kwa Uislaam aka Islamophobia. Nikutowe hofu, Uislaam upo, utakuwepo, na unazidi kukuwa, upende usipende.

Natamani sana kuiona Islamic Republic of Zanzibar.
 
Warioba anshangaa jinsi Jk alivyovunja katiba wewe unaleta porojo za Disco za usiku ulikozoea. Rais gani anavunja katiba kuharibu nchi yet mwamchekea? Rais gani ana advocate mapinduzi ya kijeshi? Anaogopa nini kama yu msafi? Jk ni dangerous sana.

Mkuu nawaza kama wewe!!!!! Jamaa kavunja katiba, badala ya ku- apology anamshambulia mzee mwenye hekima zake!
 
Dah. Naona hata neno jihad hulijui maana yake na unalitumia uoendavyo wewe. Jihad maana yake si kupigana vita, aliyekufundisha hivyo kakudangaya. Jihad ni "to strive", kujitahidi, kama Muislaam unatakiwa ujitahidi kwa chochote ukifanyacho kwa njia ya Mwenyeezi Mungu na usijitahidi kwa njia ya shetani, yaani usijitahidi kunywa gongo sana kama unavyonesha wewe kwa matamko yako.

Zanzibar ina Waislaam 99% na hofu kubwa ya Warioba ni kuwa kwa sasa wana nchi yao, na hicho kinamuuma sana.

Halikadalika, William Lukuvi, yeye ndio kasema wazi kabisa, hofu yake ni Zanzibar kuwa nchi ya Kiislaam.

Wewe pia katika haya maandiko yako unaonesha hofu yako kwa Uislaam aka Islamophobia. Nikutowe hofu, Uislaam upo, utakuwepo, na unazidi kukuwa, upende usipende.

Natamani sana kuiona Islamic Republic of Zanzibar.

Mawazo yoyote ya kuongoza siasa za nchi yoyote kidini -by the prevalent definition of "dini"- yoyote ni mufilisi.
 
Dah. Naona hata neno jihad hulijui maana yake na unalitumia uoendavyo wewe. Jihad maana yake si kupigana vita, aliyekufundisha hivyo kakudangaya. Jihad ni "to strive", kujitahidi, kama Muislaam unatakiwa ujitahidi kwa chochote ukifanyacho kwa njia ya Mwenyeezi Mungu na usijitahidi kwa njia ya shetani, yaani usijitahidi kunywa gongo sana kama unavyonesha wewe kwa matamko yako.

Zanzibar ina Waislaam 99% na hofu kubwa ya Warioba ni kuwa kwa sasa wana nchi yao, na hicho kinamuuma sana.

Halikadalika, William Lukuvi, yeye ndio kasema wazi kabisa, hofu yake ni Zanzibar kuwa nchi ya Kiislaam.

Wewe pia katika haya maandiko yako unaonesha hofu yako kwa Uislaam aka Islamophobia. Nikutowe hofu, Uislaam upo, utakuwepo, na unazidi kukuwa, upende usipende.

Natamani sana kuiona Islamic Republic of Zanzibar.

unakata viuno tu, tueleze mayor wa alberta kuwa mtanzania sisi inatuhusu au kutusaidia nini?

Barack Obama ana asili ya kenya je wao wakenya inawasaidia nini? na asharose migiro alipokuea New york alimsaidia nani?
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
Hata baba yako mzazi hana hadhi ya kujibizana na Warioba.
 
- Naona umechoka kutukana matusi kaka maana hii huwa sio kawaida yako, mzima lakini maana siku hizi sikuoni tena upo mjini?

Le Mutuz system
Hivi lini wewe utakua .51 bado akili kama za shule ya kata ,namsikitia sana baba yako maana kala hasara
 
- Ok ungekuwa msomi kama mimi kwanza ungeanza kuchambua jinsi wazazi wako walivyolisaidia hili Taifa ndio ungeanza kuuliza wazazi wa wengine, pole sana nenda shule tena kaka ujifunze kuelewa mada kabla ya kujibu!!

Le Mutuz System

Sijasoma kama wewe labda lakini sijawahi safisha vyombo vya wazungu ili niweze kujikimu kama wewe,elimu uliyonayo umeifanyia nini zaidi ya kuomba kura na ukakosa kutokana na uwezo mdogo wa kushawishi ulionao ili tukupigie kura sisi ambao sio wasomi,hata hivyo nina uhakima wewe sio msomi hata kidogo.Msomi kwa umri ulionao ni lazima tungeona ulichokifanya kama msomi
 
Pengine upo sahihi, simwelewi na sintomwelewa mtanganyika anayetetea muundo wa sasa wa muungano.

Bangi zisha waharibu siku nyingi ndo maana ni ma- argent wa madawa ya kulevya, na wengine wame- struggle mpaka wamekuwa wabunge, sijui kama watoto wetu watapona! safari hii, labda serikali tatu zipite ili tuyaondoe magugu haraka kabla kizazi hakijaharibika
 
Back
Top Bottom