Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Nilivyomuelewa Warioba ni kuwa anataka Serikali ya Muungano ilazimishe amma Zanzibar wafute Katiba yao kwa kuwa inawapa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao amma wapewe Uhuru kamili.

Hapo sasa!

Wewe hofu yako ni nini> kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam kama William Lukuvi na Mzee Mwanakijiji?

Mkuu Faiza Foxy......where and how do you get and dig these marvellous ideas,yaani you always leave me flabbergasted!!!!you are a genius being.
 
Last edited by a moderator:
- Mimi sijamtukana Warioba watoto wake ni marafiki zangu wa karibu sana I would never do that, lakini hapa tunachopigania ni itikadi ndio maana tulienda shule ili kuweza kufikiri wenyewe bila kufikiriwa na mtu, mimi ni Criminologists kaka ninauliza through mistari ya Criminology kwamba something is a miss here na Warioba maana this is uncalled for na inashangaza sana kwamba Warioba anataka nini hasa?

Le Mutuz System

Ana taka maoni ya wananchi yathaminiwe.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Hatununui gazeti la Jambo leo ng'oo labda upeleke kule mtaa wa facebook!
 
Utafiti unaonyesha waliozaliwa kwa njia ya mchepuko hupenda kujikweza bila busara , hekima wala adabu . Mfano mzuri ni huyu anayejiita le Mutuz na nepi

- Tatizo ni kwamba huna shule sasa haya mambo kwako ni michepuko huku tunaongelea Warioba na anachotaka hasa what is the big picture, nashindwa kuamini kabisa kwamba Warioba hana neno hata moja la kurekebisha Muungano wa sasa zaidi tu ya kulilia kuvunja Muungano,

- Halafu nashangaa zaidi anapomtaja Mwalimu, kwani Mwalimu si alikuwepo wakati Azimio Linavunjwa, Mwalimu alikuwepo wakati NBC inauzwa, sasa Warioba anaposema hawatimizi ya Mwalimu kwani Warioba alitegemea leo tuwe na elimu bure kama Mwalimu mbona ada zilianza kulipwa Mwalimu akiwepo, I mean kila ninapomsoma Warioba nashindwa kuamini what went wrong here?

Le Mutuz System
 
Hatununui gazeti la Jambo leo ng'oo labda upeleke kule mtaa wa facebook!

- Kaka tumia akili kidogo kabla ya kujibu maana Gazeti la Jambo Leo linaajiri wananchi wengi sana wewe usiponunua guess what? ha! ha! litanunuliwa tu kama kawaida!!

Le Mutuz System
 
- Sasa wewe mtoto mdogo unayenyonya maziwa ya mama, I meean ufafanuzi kila siku kwa faida ya nani hasa? Hivi Warioba amesoma siasa au nini hasa hivi kweli anaamini kweli anaisukuma hoja mbele kwa anayoyafanya kila siku kulumbana na watawala kwenye vyombo vya habari? I mean I am lost!

Le Mutuz System
kwa hiyo we ulitaka akae kimya ili muendelee kumwaga ----- wenu wa oooh sijui jeshi litapindua nchi nk nk mjadala tulionao sasa kama Taifa ni mchakato wa kupata katiba mpya, hii ndio ishu iliyomezani hivyo ni jukumu na mzee warioba pamoja na wajumbe wote waliokuwa kwenye tume ile kutoa ufafanuzi ili mwisho wa siku watanzania tuwe kwenye nafasi nzuri kuchagua pumba na mchele

Najiuliza tu hivi hofu yenu inatokana na nini, kwanini mnamuhofia sana mzee warioba wakati yeye anahoja, si mjib u hoja zake mwisho wa siku watanzania watawaelewa
 
Hoja ipi au swali lipi la warioba linatafuta majibu mbona maswali yake yote yanamajibu ya kiasili na mengine yote yamejibiwa bungeni unakurupuka bila hata kujua unaongea nini.

We nae bungeni vijembe,matusi ,ubaguzi ndio majibu yale !?
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Na wajumbe wote wa Tume nao wanalao jambo?

Kavue nguo zako za Kipaimala ukalale.
 
Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.

huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.

Sasa CCM muendelee na kutunga katiba yenu kwani kunamtu kawakataza we mjinga
 
- Kaka tumia akili kidogo kabla ya kujibu maana Gazeti la Jambo Leo linaajiri wananchi wengi sana wewe usiponunua guess what? ha! ha! litanunuliwa tu kama kawaida!!

Le Mutuz System

Ungekuwa muwazi kwamba umekuja kupromote gazeti, hizo hoja za Warioba na ccm zinahusikaje hapa, zinatia kichefuchefu, tumechoka mawazo mgando, tunataka hoja mpya zenye mantiki siyo kufuata mkumbo na kuishi kwa mazoea!
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
Mzee warioba yuko sahihi kabisa, yeye ndiye aliekuwa mwenyekiti wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba, wajumbe wa chama chako baada ya kujadili rasimu aliyoileta bungeni kwa hoja, wao wamekuwa wakimshambulia jaji warioba direct tena kwa kashfa na matusi huku wakielewa kabisa wanafanya, kwanza upotoshaji wa maoni sahihi ya wananchi lakini, pili wakijua kabisa jaji warioba hayupo bungeni na hawezi kujibu chochote kuhusu huo upotoshaji wao. Nyinyi CCM mnamuona kama anawakosea kwa sababu mzee huyu ni mzalendo wa kweli ktk taifa lake so amekataa kutumika katika kulihujumu taifa lake kwa masilahi ya watu wachache,walafi, mafisadi, vibaraka waliopoteza uzalendo na maadili ktk taifa lao.
Haina haja ya kutokwa na povu hapa, cha kufanya kapa, kama chama chako kinaona mzee huyu ameleta maoni yake binafsi badala ya wananchi, huyu mzee na timu yake ukiondoa dokta Mvungi, wengine wote wapo hai, Ni wewe na makada wenzio kukishawishi chama chenu huyo mzee na timu yake waitwe bungeni wawaulize maswali kama wana ubavu huo.tatizo wawakilishi wa chama chako hawana hoja zaidi ya vitisho,matusi,ubabe,vijembe,mipasho na vitu vingine vyao hovyo kwa makusudi kabisa.
 
kwa hiyo we ulitaka akae kimya ili muendelee kumwaga ----- wenu wa oooh sijui jeshi litapindua nchi nk nk mjadala tulionao sasa kama Taifa ni mchakato wa kupata katiba mpya, hii ndio ishu iliyomezani hivyo ni jukumu na mzee warioba pamoja na wajumbe wote waliokuwa kwenye tume ile kutoa ufafanuzi ili mwisho wa siku watanzania tuwe kwenye nafasi nzuri kuchagua pumba na mchele

Najiuliza tu hivi hofu yenu inatokana na nini, kwanini mnamuhofia sana mzee warioba wakati yeye anahoja, si mjib u hoja zake mwisho wa siku watanzania watawaelewa

- Mimi binafsi sina hofu na anything najua Zanzibar haiwezi kukubali kuvunjika Muungano, kuna wachache wenye kelele ni muhimu sana kelele zao zikasikilizwa ila ninapata taabu sana na uwezo wa uongozi wa Warioba wa kulilia kuvunja tu, yaani kweli hana neno hata moja la ushauri wa wapi parekebishwe ila kuvunja tu!!

Le Mutuz System
 
- Mimi sijamtukana Warioba watoto wake ni marafiki zangu wa karibu sana I would never do that, lakini hapa tunachopigania ni itikadi ndio maana tulienda shule ili kuweza kufikiri wenyewe bila kufikiriwa na mtu, mimi ni Criminologists kaka ninauliza through mistari ya Criminology kwamba something is a miss here na Warioba maana this is uncalled for na inashangaza sana kwamba Warioba anataka nini hasa?

Le Mutuz System
Yawezekana hujamtukana lakini tumesikia vijana wadogo wabunge wa bunge la katiba toka chama chenu wakimkashifu na kumtusi kana kwamba wanaongea kwenye vijiwe vya wavuta bangi. Kwa kuwa hatujasikia kiongozi wa chama chenu akikemea wala mwenyekiti wa bunge la katiba, ambaye ni kada na kiongozi wa chama chenu, akiwazuia wasimtukane tunashawishika kuamini kuwa hiyo ni sera yenu.

Tukirudi kwenye hoja yako ya msingi - nadhani unakubaliana na mimi kuwa Warioba alikuwa mwenyekiti halali wa tume ya kukusanya maoni na aliwasilisha maoni ya Tume ambayo chama chenu kimeamua kuyapinga na hata kuyaita kuwa yamechakachuliwa. Je ulitegemea yeye kama mwenyekiti mwenye dhamana ya Tume akae kimya ili watu waamini kuwa Tume yake ilighushi matokeo ya maoni ya wananchi? Ikiwa ilikuwa ni sahihi kwa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama chenu kutoa maoni yake binafsi na ya chama wakati wa uzinduzi wa bunge la katiba, kwa nini isiwe sahihi kwa mwenyekiti wa Tume kuelezea maoni yake juu ya muundo sahihi wa muungano?

Mimi nakushauri kama kweli umeenda shule kama unavyojipambanua hapo juu basi tumia usomi wako kujadili hoja za Tume anazotoa Mzee Warioba badala ya kumjadili yeye binafsi kwa kutumia hisia zako. Na sidhani kama knowedge ya criminology itakusaidia sana kwenye tafakuri ya kina kwenye suala hili. Hapa inatakiwa critical na lateral thinking kuelewa maoni ya wananchi kama yalivyowasilishwa na Tume iliyoongozwa na Mzee Warioba.
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba
Mbona mnataka kwenda mbali sana jamani.....kwa nini msimuulize aliyempa nishani juzi?
 
- Kuvunja Taifa letu hawezi na in the end ni Serikali 2 ndio itasimama, lakini in the process kwa wale tulioenda shule ni lazima tutafakari kwa kina na umakini kuna nini behind this Warioba syndrome!! something is a miss!!

Le Mutuz System

Umeenda shule kweli kwa maana ya kutembea lakini ulitoka hapo shule bila kitu yaani we ni mjinga
 
Anachotaka mh warioba ni kwamba serikali iache kuwatisha wananch na kuwapa hofu ya jeshi kuchukua nchi kama serikali (fendalation) 3 zitapita,pili anataka maoni ya wananchi yaheshimiwe maana si yake,tatu anauliza ipi yaliye msariti mwlm nyerere maana aliacha nchi moja serikali mbili na mzinga kupigwa kwa raisi mmoja na sasa ni tofauti ni nchi mbili na serikali mbili na msinga kwa maraisi wawili,au ww hukumuelewa,sasa tanganyika kwanza.
 
Yawezekana hujamtukana lakini tumesikia vijana wadogo wabunge wa bunge la katiba toka chama chenu wakimkashifu na kumtusi kana kwamba wanaongea kwenye vijiwe vya wavuta bangi. Kwa kuwa hatujasikia kiongozi wa chama chenu akikemea wala mwenyekiti wa bunge la katiba, ambaye ni kada na kiongozi wa chama chenu, akiwazuia wasimtukane tunashawishika kuamini kuwa hiyo ni sera yenu.

Tukirudi kwenye hoja yako ya msingi - nadhani unakubaliana na mimi kuwa Warioba alikuwa mwenyekiti halali wa tume ya kukusanya maoni na aliwasilisha maoni ya Tume ambayo chama chenu kimeamua kuyapinga na hata kuyaita kuwa yamechakachuliwa. Je ulitegemea yeye kama mwenyekiti mwenye dhamana ya Tume akae kimya ili watu waamini kuwa Tume yake ilighushi matokeo ya maoni ya wananchi? Ikiwa ilikuwa ni sahihi kwa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama chenu kutoa maoni yake binafsi na ya chama wakati wa uzinduzi wa bunge la katiba, kwa nini isiwe sahihi kwa mwenyekiti wa Tume kuelezea maoni yake juu ya muundo sahihi wa muungano?

Mimi nakushauri kama kweli umeenda shule kama unavyojipambanua hapo juu basi tumia usomi wako kujadili hoja za Tume anazotoa Mzee Warioba badala ya kumjadili yeye binafsi kwa kutumia hisia zako. Na sidhani kama knowedge ya criminology itakusaidia sana kwenye tafakuri ya kina kwenye suala hili. Hapa inatakiwa critical na lateral thinking kuelewa maoni ya wananchi kama yalivyowasilishwa na Tume iliyoongozwa na Mzee Warioba.

- Kaka naomba kukuuliza swali moja eti huo ufafanuzi wa Warioba ndio waliompa wananchi au ni wake mwenyewe tu? Halafu lets say una hoja ni kwa nini Warioba anashindwa kujibu hoja za Serikali 2 kwa mfano nauliza tena Rais wa Tanganyika ni kwa nini akubali kuongozwa na a uselesss Rais wa Shirikisho?

Le Mutuz System
 
Tatizo la wasaka tumbo ndo hili! Tunamjadili mtu aliye weka hoja badala ya kujadil hoja zake! Mtoa hoja kaweka hoja kamaunataka kupinga jibu kwa hoja kuliko matusi! Naomba kitetea hoja:
Ni kweli warioba alisha kusanya maoni kwa wananchi na kamaliza kazi yake sasankila siku kwenye vyombo vya habari anatafuta nini? Kama si kuforce watu waamin anachokitaka yeye! Naomba kusema kuwa warioba na wenzake hawana sababu ya kwenda kwenye media kujisafisha tumeshayaona maoni yao Bunge tutayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom