Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba

How/why you guys single out Warioba (while you are fully aware that he was only one amongst a whole army of professionals and dignitaries in his committee - the Kabudis, Ramadhanis, Salims, etc) is well beyond me!!

Beats simple logic...
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Look who is talking,As if you have any credibility to tell us what's good for the future of this country.You will be the last person to listen let alone to agree with anything you suggest.
 
Nilivyomuelewa Warioba ni kuwa anataka Serikali ya Muungano ilazimishe amma Zanzibar wafute Katiba yao kwa kuwa inawapa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao amma wapewe Uhuru kamili.

Hapo sasa!

Wewe hofu yako ni nini> kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam kama William Lukuvi na Mzee Mwanakijiji?

Basi tu simu yangu haina kitufe cha kulike, sometimes unatema ishu bila kuegemea upande wowote, unaongea fact tupu.
 
Last edited by a moderator:
Warioba mimi nampuuza tu kama ninavyowapuuza watu wengine wenye malengo ya kuingiza nchi kwenye matatizo kama anavyofanya warioba.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Refer post # 23.
 
Amewashika pabaya sana ,yaani Mzee Warioba amewavua nguo !
 
Do you see any problem having two command power in one country?
 
Wewe serikali tatu unategemea kunufaikaje manake usitamani kitu ambacho hata hujui undani wake.

Hata hilo Warioba amehoji kuongeza mikoa na mawilaya na kuvigawa vijiji kunamaendeleo gani ? Sijui ulimfahamu vipi ? Kama kuna faida basi sababu hizihizo ndio za kuweka Serikali Tatu.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
we jamaa bwana!
 
Kwa hiyo upumbavu wanaouongea wajumbe wa ccm bungeni na matusi juu huku mkidanganya sababu tu mmepata pa kuongea kwenye MIC na mbaya zaidi mnapotosha jamii kwa maslahi yenu ya chama, unataka asijibu ujinga wenu? Bungeni mmenyima nafasi ya kuja kutoa ufafanuzi pale msipopaelewa hamtaki aje ili muendelee kumtukana? acheni kutufanya watanzania wote ni mambumbumbu kama nyie sababu tu ni makada wa ccm na mnafaidi pesa za walalahoi au sababu tu baba zenu ni makada na nyie mnanufaika, au mnapewa posho, sie wengine akili zetu siyo za kutumwa, tunasikiliza hoja, mmeambiwa mjibu nyie mnajifanya mnaheshimu nyerere, kwanini mmeruhusu znz kuchezea katiba? Kwanini mmeruhusu rais wa znz kupigiwa mzinga 21? Nakasema hao wanajeshi mnaodhani wanaingilia kati kukiwa na serikali 3, wao hawaendeshwi na mambo ya kisiasa, lile ni jeshi la wannchi si la wanaccm, wanajeshi wa sasa wanalalamika kwanini wana maamiri jeshi wa kuu wawili na tunawapa kazi ya kuwapigia mizinga 21? Jibuni hoja, msidhani sisi watanzania wa leo ni mazuzu kama nyie, mnaotetea ujinga
 
W.c malecela
zingatia hili:

Katiba msingi wake ni maoni ya wananchi wa kawaida bila kutishwa,wakiwa huru.

Kamwe katiba bora haiwezi kutokana na misimamo ya viongozi wa vyama vya siasa, nahimiza tena ,katiba sio zao la mawazo ya viongozi wa siasa, kwa kuwa hata msimamo wa s2 wa ccm chimbuko lake ni viongozi na ndio maana wameweka mifumo ya kuwalazimisha wabunge wao kufuata ya viongozi,kwa mfano kura za wazi na kushugulikiana ndani ya chama. Kama kweli s2 ni zao la wananchi kwa nini basi nguvu kubwa itumika kuwabana wabunge wa ccm.

Hivyo basi si kweli s2 mbili ni matakwa ya asilimia kubwa ya wabunge wa.ccm kama wakiachwa wawe huru !

Endapo rasimu ya walioba haiwakilishi.maoni ya wanachi. Basi hakuna rasimu yoyote katika mzingira ya bml itakayoakisi maoni ya wananchi. Maoni ya wabunge wa ccm ni ya viongosi wao na more specific m/kiti ambaye kashesema s2 will not come now ! tusubiri aondoke!

Kama hakuna mawazo ya wanachi yaliyofikishwa na tume ya warioba mbele ya BMLK ,basi bunge hilo linajadili ubatili ,livunjwe turudi na utaratibu unaokubalika wa kuchukua maoni ya wanachi kisha tuendeleee ! hatukubali usanii mwingine wote wa wanasiasa ,otherwise rasimu ya warioba ipo karibu zaidi na matakwa ya wanachi kuliko katiba itayopendekezwa na bmk bila kuzingatia ya warioba

hatutaki mambo ya willium na genge lake ,tumekataaaaaaaaaaaaaaaa
 
Warioba mimi nampuuza tu kama ninavyowapuuza watu wengine wenye malengo ya kuingiza nchi kwenye matatizo kama anavyofanya warioba.

We nawe ni wa kumpuuza Mz Warioba????!!!
Ha ha ha aaaaa haaaaaaaa, hebu kuwa japo na dabu ya utu wako achilia mbali mzee huyu!!!!!!
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba

Mi sidhani kama ni sahihi kuattack credibility ya jaji Warioba personally, unless utueleze kuwa security organs za nchi hii haswa TISS zimelala, maana ni miongoni mwa washauri wakubwa wa rais, kwa hivyo jikiteni kwenye hoja, je mzee huyu alikuwa na mandate hata ya kuwafunga mdomo members wa CRC ili maoni yake tu ndo yasikike?think twice.
 
Back
Top Bottom