Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Una miaka zaidi ya 50 lakini bado unakaa kwa baba , dume zima hovyo kabisa ,halafu unajifanya una mawazo ya maana. Mwache Mzee Warioba aonyeshe busara zake
 
Warioba anataka maoni bora ya wananchi yaheshimiwe na ushauri wa wataalam uzingatiwe.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Mmemtukana mnataka akae kimya?
By the way, mbona mnasema ni maoni "yake"? Hata kama hamtaki kuamini hayo yalikuwa maoni ya wananchi (ingawa ni upuuzi), semeni basi ni ya tume... hatujasikia Salim Salim, wala Palamagamba, wala Baregu, Wala Samia, wala Alshymaar (mbunge wenu) wala El-Maamri (kada wenu) waa nani katika wajumbe karibia 30 wa ile tume wakisema Warioba alilazimisha maoni "yake" ndio yaandikwe. Kulikuwa na maofisa zaidi ya 180 ambao ni wataalamu wanasheria watumishi wa umma kwenye ile tume...

Where the heck do you get the authority of tagging those opinions "Warioba's"?!!!
 
Wewe serikali tatu unategemea kunufaikaje manake usitamani kitu ambacho hata hujui undani wake.

Serikali tatu itawafanya Watawala wawajibike na pia uwezekano wa kuziba mirija ya ufisadi utakuwa mkubwa maana kila senti moja ya matumizi itajulikana inakwenda wapi na kwa matumizi gani.Serikali tatu itaamsha uzalendo miongoni mwa wananchi wa nchi washirika za muungano na zaidi itaongeza ufanisi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya serikali husika
 
Una miaka zaidi ya 50 lakini bado unakaa kwa baba , dume zima hivyo kabisa ,halafu unajifanya una mawazo ya maana. Mwache Mzee Warioba aonyeshe busara zake

- Kaka sio siri kwa haya maneno yako ni wazi kwamba baba yako hana nyumba ya kuishi na wewe pia huna, ndio maana unahisi kila mtu ni kama wewe na baba yako wote hamna nyumba za kusihi, pole sana!!

Le Mutuz System
 
hii tabia ya watu kukimbia thread husika na kukimbilia kuanzisha thread nyingine naona inaota mizizi sasa na wanaofanya hivi wanafanya kwa makusudi kabisa.

ni kweli hata mimi naiona hii logic ya criminology there is something beger than we see here. thread ya dakika 45 itv jana imechangiwa na intarahamwe mmoja tu wote wamekimbia nondo za warioba leo wanaibuka pembeni na vithread vichovu vya kuvizia.
Invisible tunaomba imovuzishe hii thread iende kule kwenye ile thread ya dakika 45 za warioba itv na tukomeshe utitiri wa thread.

wote tukutane kule tushindane kwa hoja.
 
Last edited by a moderator:
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Warioba AKILI KUBWA kamwe akili ndogo hamtaweza kufua dafu mbele yake! If you can read between the lines NISHANI aliyotunukiwa ingekuamsha angalau kidogo... Kwanini mnamuandama Jaji Warioba pekee wakati tume ilikuwa na akina Butiku, Salim, Jaji Ramadhan et al? Unalalamika kuwa Jaji warioba huwa anaongea sana na media wakati alikwisha wasilisha Rasimu; Akili kubwa hawezi kuachia upotoshwaji plus matusi yaendelee bila kupingwa! anafahamu kuwa UKWELI kwa CCM ni matusi na uongo, Matusi na keli ndiyo uzalendo na ushujaa! Unalalamika kuwa maoni ya wanaCCM yaliachwa! Msomi yeyote makini angefanya kama alivyofanya maana toka mwanzo wasimamizi wa mchakato wa kutoa maoni katika ngazi za chini zilikuwa zimetekwa na CCM mwanzo mwisho, Lisu et al waliliongelea sana haya! Bahati mbaya sana wanaCCM mliowaandaa kutoa maoni walijikuta wamedesa hadi nukta! Ilikuwa haihitaji shule kujua kuwa maoni yale yalikuwa yametengenezwa pale Lumumba na kusambazwa nchi nzima!...Acha ushabiki na hofu zisizokuwa na msingi Mkuu, Waliompa nishani ndiyo walioko nyuma ya kuondoa muundo wa serikali 2 hapa Tanzania! Isitoshe, Hii ni tume ya 6 ama ya 7 kama sijakosea! Tume zote zilizotangulia zilikuwa zinapendekeza mfumo wa serikali 3! i.e Amina Salum Ali, Kisanga, Nyalali, ...Le Mutuz please be informed kuwa kwa kadri mnaendelea kumtukana Jaji Warioba yeye huendelea kuibomoa CCM x 10 zaidi... Akili kubwa ni Akili kubwa daima... Bahati mbaya sana Akili ndogo Mlizoea vya kunyonga, uongo hamtaweza kuishi ktk ukweli mpaka kifo kitakapo wakumba 2015....
 
Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.

huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.

Unajua maana ya wengi wape?percentagewise ndo inampa mandate ya kusema kuhusu serikali tatu, watu wengi na taasisi zilizotoa maoni ikiwemo ofisi ya waziri mkuu wa serikali ya JMT (ambaye hatambuliki zenji) ndo walitoa maoni hayo.
 
How/why you guys single out Warioba (while you are fully aware that he was only one amongst a whole army of professionals and dignitaries in his committee - the Kabudis, Ramadhanis, Salims, etc) is well beyond me!!

Beats simple logic...

Mkuu napata picha kama vile uteuzi ulikuwa objective ila kukubaliana na product ndio shida sasa wanajihoji hata kwa uteuzi wao wenyewe!!!!

Pana shaka hapa!!!!
 
Hivyo vigazeti vyenu unavyoandikia nani avisome? Alafu we ndo Ccm kuliko Warioba? Kujikweza kwingine kubaya sana!

- Ndio matatizo ya kutokwenda Shule huwezi kufikiria mwenyewe na huamini wengine wanaweza kufikiria kuliko wewe maskini ya Mungu wewe unaamini mtu akifikiria sana anakuwa anajikweza nenda shule ndugu yangu now hujachelewa!!

Le Mutuz System
 
Warioba AKILI KUBWA kamwe akili ndogo hamtaweza kufua dafu mbele yake! If you can read between the lines NISHANI aliyotunukiwa ingekuamsha angalau kidogo... Kwanini mnamuandama Jaji Warioba pekee wakati tume ilikuwa na akina Butiku, Salim, Jaji Ramadhan et al? Unalalamika kuwa Jaji warioba huwa anaongea sana na media wakati alikwisha wasilisha Rasimu; Akili kubwa hawezi kuachia upotoshwaji plus matusi yaendelee bila kupingwa! anafahamu kuwa UKWELI kwa CCM ni matusi na uongo, Matusi na keli ndiyo uzalendo na ushujaa! Unalalamika kuwa maoni ya wanaCCM yaliachwa! Msomi yeyote makini angefanya kama alivyofanya maana toka mwanzo wasimamizi wa mchakato wa kutoa maoni katika ngazi za chini zilikuwa zimetekwa na CCM mwanzo mwisho, Lisu et al waliliongelea sana haya! Bahati mbaya sana wanaCCM mliowaandaa kutoa maoni walijikuta wamedesa hadi nukta! Ilikuwa haihitaji shule kujua kuwa maoni yale yalikuwa yametengenezwa pale Lumumba na kusambazwa nchi nzima!...Acha ushabiki na hofu zisizokuwa na msingi Mkuu, Waliompa nishani ndiyo walioko nyuma ya kuondoa muundo wa serikali 2 hapa Tanzania! Isitoshe, Hii ni tume ya 6 ama ya 7 kama sijakosea! Tume zote zilizotangulia zilikuwa zinapendekeza mfumo wa serikali 3! i.e Amina Salum Ali, Kisanga, Nyalali, ...Le Mutuz please be informed kuwa kwa kadri mnaendelea kumtukana Jaji Warioba yeye huendelea kuibomoa CCM x 10 zaidi... Akili kubwa ni Akili kubwa daima... Bahati mbaya sana Akili ndogo Mlizoea vya kunyonga, uongo hamtaweza kuishi ktk ukweli mpaka kifo kitakapo wakumba 2015....

- Unajua ni makosa makubwa sana kujibu mada ambayo hujaielewa ndio matokeo yake unajionyesha mwenyewe kwamba ni akili yako mwenyewe ndio ndogo soma tena mada kabla ya kujibu kaka!!

- Halafu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ungakuwa mkubwa ungeelewa kwamba hakuna mjumbe yoyote wa Tume ya Rasimu anyehangaika zaidi ya Warioba tu WHY?

Le Mutuz System
 
Mmemtukana mnataka akae kimya?
By the way, mbona mnasema ni maoni "yake"? Hata kama hamtaki kuamini hayo yalikuwa maoni ya wananchi (ingawa ni upuuzi), semeni basi ni ya tume... hatujasikia Salim Salim, wala Palamagamba, wala Baregu, Wala Samia, wala Alshymaar (mbunge wenu) wala El-Maamri (kada wenu) waa nani katika wajumbe karibia 30 wa ile tume wakisema Warioba alilazimisha maoni "yake" ndio yaandikwe. Kulikuwa na maofisa zaidi ya 180 ambao ni wataalamu wanasheria watumishi wa umma kwenye ile tume...

Where the heck do you get the authority of tagging those opinions "Warioba's"?!!!

Le Mutuz is a spoilt brat.Dont waste your time to argue with him.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Jibu hoja alizoainisha usiwe mnafiki, nakushauri kabla haujaandika uwe unaomba shauri kwa baba yako.
Hafu Warioba anajua Muungano kuliko wewe unayetaka umaarufu sasa.
 
hii tabia ya watu kukimbia thread husika na kukimbilia kuanzisha thread nyingine naona inaota mizizi sasa na wanaofanya hivi wanafanya kwa makusudi kabisa.

ni kweli hata mimi naiona hii logic ya criminology there is something beger than we see here. thread ya dakika 45 itv jana imechangiwa na intarahamwe mmoja tu wote wamekimbia nondo za warioba leo wanaibuka pembeni na vithread vichovu vya kuvizia.
Invisible tunaomba imovuzishe hii thread iende kule kwenye ile thread ya dakika 45 za warioba itv na tukomeshe utitiri wa thread.

wote tukutane kule tushindane kwa hoja.

Mkuu Matola usiwe na hofu kabisa! !!!

Jukwaani hatupandi wananchi wote ila imefika muda wa kujulishana kuwa despite watu wapo kimya ila uelewa ni mkubwa sana sasa hili halitimii mpaka washindwe woooote kwa njia zote tena kwa hoja ili ukweli udhihiri na objectivity iwe norm of the day! !!!!!

Nchi imekuwa too political hata kwa yanayohitaji ujuzi,hatuwezi kwenda mbele so acha zijae thread ili mawe yote yageuzwe "unapopewa mchele kidogo ndani ya ungo mkubwa uwezekano wa kuona chuya na mawe huongezeka, acha thread zije mkuu"
 
Last edited by a moderator:
Dunia ina maajabu....lol...William malecela anabishana na akili ya warioba....Lol

Kwa taarifa yako Tume ile ilikuwa na watu wenye CV zao zinazoeleweka sio kama wewe baharia...Jaji Warioba,Dr Salim Ahmed Salim,Profesa Kabudi,Jaji Augustino Ramadhani,Profesa Mwesiga Baregu,The late Dr Mvungi...hivi kweli hawa akili zao zimechotwa na mawazo binafsi ya Warioba.....

Ivi kweli hao watu hapo juu wana akili za mataputapu kama zako.?
 
mleta mada hauna akili,warioba kawamaliza hamna pa kutokea na bado,Kwa ujumla tuko nyuma ya tume ya mabadiliko ya katiba.Fanyeni muwezavyo ndani ya Bunge la katiba ila sisi wananchi tunawasubiri kwenye kura ya maoni ndipo mtajua nguvu ya umma si embe dodo.Unahoji anachokitafuta Warioba?Warioba anataka katiba ya watz full stop.Hilo ndo jibu murua wewe fisadi.
 
Umeandika uzi mrefu pasina umuhimu. Huyu mzee kwanza anahisoria kubwa barani Africa hivyo wapaswa kumuheshimu na kalitumikia taifa hili vema. Pili huyu mzee anachofanya ni kutoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo muhimu kama anavouliizwa na media.
 
Jibu hoja alizoainisha usiwe mnafiki, nakushauri kabla haujaandika uwe unaomba shauri kwa baba yako.
Hafu Warioba anajua Muungano kuliko wewe unayetaka umaarufu sasa.

- So unaona kumbe kabla ya kuandika huwa unaomba ushauri wa baba yako sasa unataka wote hapa tuwe kama wewe? ha! ha! ha! Umaarufu? Nilipokuwa ninazaliwa Baba yangu alikuwa Mkuu wa Wilaya so umaaurufu ni wa kuzaliwa nao kaka, ha! ha! ha! ha!

Le Big Show
 
Back
Top Bottom