Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Tatizo W. J. Malecela unashindwa kuelewa! Warioba alikuwa very clear na alisema, serikali 2 siyo tatizo sana, hapa issue ni Zanzibar kupokonya mamlaka na madaraka ya Rais wa Muungano kwa kuvunja katiba ya muungano baada ya kubadili Katiba ya Zanzibar na kumpa kuitangaza Zanzibar kama dola kamili! Inaingia akilini mwako, Rais wa Muungano akienda Zanzibar hata hapigiwi mizinga 21 kama mkuu wa nchi?? Msome vizuri #Faiza utamwelewa.
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba
Hila na sifa bandia alizofanya Warioba kwenye hili suala la katiba mpya ni kama zipi mkuu?
 
Le Mutuz System Kumbuka Kuwa Jaji Warioba alikuwa kila kiongozi hutumia vijan wasio na uzoefu mkbwa katika kufanikisha mambo yake kama ambavyo sasa Nape, Nchemba, Makonda na wengine wengi wanavyotumika. Mwaka 1997, Jaji Warioba alikuwa ndiye Mwansheria mKuu wa Serikali, hivyo alitumiwa na Mwalimu Nyerere na TANU kinyume na matakwa ya taaluma yake kuigeuza kamati ya kutunga katiba ya CCM (TANU na ASP) kuwa Kamati ya kutunga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa wa Tanzania. Kibay zaidi akatumika zaidi kuhakikisha kuwa mabadilko hayo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 yanwasilishwa katika Bunge chini ya hati ya dharura, ambapo majadiliano ya Katiba hiyo hayakuchukua zaidi ya masaa manne kabla ya kupitishwa, na kuwa Katiba tuliyonayo hadi sasa.

Kumbuka watanzania bara na visiwani hawakushirikishwa katika mchakato huo, na aliyetumika kuminya haki hiyo ya wananchi sisi mwingine ni Jaji Joseph Sinde Warioba.

Baada ya kupevuka, ndipo jai Warioba akaanza kutambua madhara ya kutumika kwake kuminya haki za kimsingi za wananchi. Kila siku amekuwa akiiumia moyoni kuona licha ya utajiri mkubwa uliopo Tanzania, nchi hii bado ni maskini wa kutpwa kutokana na utawala wa kidhalimu wa CCM aalioshiriki kuuasisi na kuusimika madarakani. Kwa kuw amungu si Athumani, mungu akampatia nafasi ya kurekebisha makosa yake na hakufanya ajizi. Hii ni vivyo hivyo kwa wazee wengine pia kamaz akina Butiku, Salim Ahmed Salim n.k wote wamepta furs ya kurekebisha kutumika kwao, kwani wengi wao walijua wanatumika kwa manufaa ya watanzani wote lakini kumbe imetokea kuwa walitumika kwa manufa ya viongozi wachache.

Shujaa wa kutupasua taifa ni yule aliyelazimisha Bunge Maalum kutengua Kanuni ili apate fursa ya kupeleka maazimio ya CCM katika Bunge Maalum. Ni bora Nyerere aliyeamua moja kwa moja kugeuza Kamati ya kutunga Katiba ya CCM kuwa Kamti ya Kutunga Katiba kuliko huyu aliyeamua kutumia Bilioni 75 katika Tume na kisha kuziponda findings za Tume. Kama alitaka kupnda findings za Tume yake ni kwanini aliruhusu tena matumizi ya Bilioni 27 zingine katika Bunge Maalum?

Wa kuulizwa WHY? Ni ninyi wenye dhamana ya kutumia fedha za watanzania na mkaruhusu bilioni 75 kutumika na ksasa mnayakataa mapendekzo yaliyotolewa na wzee wa chama chenu na tifa hili kw ujumla?

Ebo kwani wakati mnateua kuw Mwenye kiti wa Tume hamkujua kuwa taaluma yake ni Jaji, kazi ya Jaji ni nini, si kutoa haki? Kama aliona mnakiuka taratibu katika mchakato wa katiba ni vyema amechukua hatua mapema kwa kuweka pembeni uhuni wa CCM iliofanya. Nilitegema kuwa utatoa majibu ni kwanini mbaraza hayo yalishughulikia suala moja katika Rasimu nalo ni Muungano tu na kuacha masuala mengine. Kwa kigezo hicho ni kweli hayo mabara hayakuwa ya wananchi waliotoa hay maoni yalikuwa ni mbaraza ya CCM. Hongera sana Jaji kwa kuwapasha ukweli.

Wanaowaza vita ni wale wanaotumbukiza Jeshi katika huu mjadala. Hata hapa JF neno la "VITA" si sahihiu kutumika na mchnagiaji mahili kama wewe labda kama tyari maeshapanga vita ndio maan kila mara mnafanya reference ya jeshi na vita. Hapa tunabisha na kwa hoja na Jaji Warioab ani mtanzania kama mimi na wewe ana haki ya kutoa maoni yake pia.

hata kwa wengi wetu its the first time kuona watu tunaoamini kuwa ni CCM wanawatendea wananchi haki, ila kwenu mliozoea kuwakandamiza wananchi ni lazima mshangae ni kwa vipi mwanaccm akafanya kweli. Hata ninyi mnaotumiwa hivi sasa iko siku mtajirudi tu kabla ya kuingia kaburini.

Ni kuwa wakati huo Jaji Warioba na wazee wenzake walikuwa bado hawajajitambua, kama nilivyoeleza hapo juu sasa wamejitambua wanataka kufa kwa amani pasipo kutahiriwa na damu za mamilioni ya watanzania wanaopteza maisha kila siku kwa kukosa huduma za afya, kutumia maji machafu, kwa njaa n.k.

There is alot of Criminology involved in CCM's style of doing things, lakini Mzee anachohitaji ni kurekebisha madhambi yake aliuotutendea watanzai kw aujummla kwa kutumiwa na TANU na CCM. Wakati ukuta hata ninyi nyote mtakuja kujuta dhambi zenu.

A bigger picture ni kuwa katiba huundwa kwa kushirkisha wananchi na sio kikundo cha watu wachache kama amnavyo mnafikiri mtaweza kufanikisha.

Lets meet there lakini ukumbuke like Warioba and the lot ahat wewe siku moja utakuja kujuta dhambi zako na kutubu.
 
Wewe ----- waulize wenzio waliokwishatoa maoni mbele ya Tume lkn bado wanazunguka nchi nzima kuzungumzia rasimu wanataka nn? Waliovunja kanuni ili mkuu wa kaya amalizie kuzungumza bungeni baada ya Warioba wanataka nn? Ww mbwiga unayesema ccm m... Wakati Katiba ni ya Watz wote unataka nini? Pambafu.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
Usitaje Warioba peke yake: Taja tume aliyoiratibu; Professor Palamagamba Kabudi, Salim Ahmed Salim, wataje wote. Hata ungekuwa wewe ukiona mawasilisho yako yanapotoshwa lazima utetee! Imeshauriwa badala lile genge la serikali mbili by all means kule mjengoni kuendelea kupotosha basi Tume ipewe nafasi ya kutetea mawasilisho yao! Halafu hayo maneno yako ya "sisi CCM tunaotaka----" ndiyo sumu kwenye mjadala mzima! Sumu iliyomwagwa na JAKAYA baada ya Warioba, Sumu iliyofanya kusigina kanuni za bunge ili Jakaya aje atoe msimamo wa "sisi tunaotaka---" Sumu iliyofanya hilo genge kuondoa na kufunga ile site yenye ripoti za tume. Sumu isiyotaka sisi wananchi tusome na kuchambua ili tutoe maamuzi. Swali la kuuliza ni NI KWANINI ILE SITE YENYE RIPOTI ZA TUME IMEFUNGWA. Nani mwenye nia ovu kati waliotaka Warioba na tume aitwe kufafanua baadhi ya ripoti zao na hao waliomzuia na kufuta hata yaliyokuwa kwenye tovuti? Ni nani mwenye nia ovu???????? Acha speculations jibu!!
 
Serikali tatu itawafanya Watawala wawajibike na pia uwezekano wa kuziba mirija ya ufisadi utakuwa mkubwa maana kila senti moja ya matumizi itajulikana inakwenda wapi na kwa matumizi gani.Serikali tatu itaamsha uzalendo miongoni mwa wananchi wa nchi washirika za muungano na zaidi itaongeza ufanisi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya serikali husika
acheni poroja kivip utayathebitisha maneno yako au unafikiri watakaotawala watakuwa malaika? hizo ni siasa za wapigania madaraka tu najiandaakupiga kura ya hapana kama s3 zitapita basii
 
Usitokwe na povu wala kuumia kichwa, mwenye agenda iliyo jificha ni wewe ,tueleze unachokitaka.(1).kamuulize Raisi aliye mteua kuwa mjumbe(2) muulize Raisi aliyemteua kuwa mwenyekiti wa tume ,(3) pia muulize Raisi hoja ya serikali tatu ilipoandikwa kwenye rasimu ya kwanza hakuisoma,(4) baada ya kuisoma rasimu ya pili pamoja na hoja ya serikali 3 alitegemea nini kuipeleka bunge la katiba kwanini hakuikataa ( kama mkapa alivyo iponda ripoti ya jiji kisanga ) kisha aunde tume nyingine ya ndio mzee iandike hayo mnayo yataka nyie ?kumbuka Warioba hana ajenda yoyote ametimiza wajibu wake pia alishashika nyadhifa za juu serikalini nakama unaona hafai omba ikiundwa tume nyingine uteuliwe uwe mwenyekiti ili uandike maoni yote ya Lumumba.
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
 
Kwanza kabisa natamani kuiona Zanzibar ikiwa nchi kamili, huru na yenye maamuzi yake yenyewe na nnatamani kuiona Zanzibar inarudi kuwa kitovu cha ilm katika Afrika.

Nnatamani sana kuiona nchi ya yenye Waislaam 99% inakuwa nchi ya Kiislaam kiukweli.

Kumbuka, mimi ni Mtanganyika lakini nna-undugu wa dhati kwa Uislam wetu na Wazanzibari walio wengi na hilo ni la kujivunia sana.

Inasikitisha sana kuiona Zanzibar ambayo ilikuwa kitovu cha Uislaam katika Afrika kuwa leo imekuwa ndio kisiwa cha maasi na maovu kwa jina la utalii, kimezungukwa na mahoteli ya kufanyia ufuska na kwenda uchi wazungu hususan Wataliano (Vatikan). Unafikiri ni bahati nzuri tu au mbaya tu? huo ni mpango mahsusi wa kuuangamiza Uislam kwenye hicho kisiwa. Mwenye macho haambiwi tazama.
huu sasa ndiyo udini wenyewe na ubaguzi
 
Kwanza kabisa natamani kuiona Zanzibar ikiwa nchi kamili, huru na yenye maamuzi yake yenyewe na nnatamani kuiona Zanzibar inarudi kuwa kitovu cha ilm katika Afrika.

Kumbuka, mimi ni Mtanganyika lakini nna-undugu wa dhati kwa Uislam wetu na Wazanzibari walio wengi na hilo ni la kujivunia sana...

Nashangaa kuona unatetea uwepo wa serikali kamili ya Zanzibar, hii maana yake unataka Serikali Tatu lakini u-mtetezi wa Intarahamwe kwa muda kitambo sasa. Inaonyesha safari hii Intarahamwe hawakukupa mgao umeanza kutia akili.

Umekuwa mtetezi mkubwa wa Intarahamwe kumbe umeanza kujitambua kuwa wewe ni "mtanganyika", Intarahamwe wao ni "watanzania bara", hawataki kusikia kuna nchi inaitwa Tanganyika, na wamekwisha sema Tanganyika ikifufuka, Jeshi litatumika kuiua kwa nguvu!

Kama Tanganyika ikiuawa na Intarahamwe je utaendelea kuwa miongoni mwao? Au utabaki kuwa mnafiki ili upate mkate wako wa kila siku!
 
Kila siku nawaambieni nyinyi ccm vichwa vyenu ni vibovu sana kama nazi mbovu coz hamjui kujenga hoja za msingi kupinga naoni ya wananchi.. Tushawishini kwa hoja ili tuwakubalie.. Mpo wengi sana humu mnalipwa kwa ajili ya kazi hii mtandaoni kuulinda ujinga wenu na hoja zenu zisizokuwa na mashiko.. Mna bahati wananchi wengi wa tz nao wanapendwa kuburuzwa na hawawezi kupambanua mambo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
- Mpaka leo Warioba ameshindwa kujibu swali moja tu la msingi Serikali ya shirikisho itapata wapi pesa? Rais wa Tanganyika ndio atakuwa the most powerful man kwenye shirikisho sasa eti ni kwa nini akubali kuongozwa na Rais wa Shirikisho na huku ana kila kitu within his power kwenye Shirikisho atakwenda kutafuta nini hasa ambacho hatakuwa nacho kwenye Tanganyika?

Le Mutuz System

Halafu unasema una akili kubwa kuliko wengine?How funny! Kama tu CCM wangekubali kuiboresha rasimu na si kuibadilisha ili kuingiza ajenda za CCM kwenye katiba then kikao kilichopita kingekuwa kimeshapata majibu juu ya vyanzo vya ziada vya mapato yatakayotumika kuendesha serikali ya shirikisho.Sadly CCM haitaki kuiboresha rasimu,inataka kuibadili kabisa.
 
- Sasa umekuja kujibu pointless topic inasema nini kuhusu wewe as individual kaka? ha1 ha! ha!

Le Mutuz System

Hakuna mahali nilipojibu maana hata ningelijibu sina hakika kama ungelielewa...

Imekuwa ikisemwa over and over, CCM acheni kuiburuta hii nchi kwa kufikiria zaidi maslahi ya chama...

Kumbukeni kuwa ni wananchi hawa hawa mnaowaburuta ndio waliowapa hatamu na kufikia kuitwa chama tawala...
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

something bigger which you can not see with your eyes ni kwamba maoni yaliyokusanywa kwa data za kisayansi yanaonyesha wazi kuwa umma mkubwa unataka serikali 3, na Warioba anachokifanya ni kuelezea takwimu hizo kisayansi kama maoni yalivyokusanywa bila upendeleo.

NB:
ni haki ya Warioba ya kikatiba kuongea na chombo chochote cha habari kuhusiana na mchakato husika hasa ukizingatia wajumbe wa ccm wakiongozwa na Kikwete waliupotosha umma kwa kutumia takwimu feki.

do you have real two balls??
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
Eti CCM mkae!!!!!!!!!!!! Hv na ww ni CCM? CCM ipi iliyo mkwamisha baba yako kugombea urais au? Hv akili yako iko vizuri lkn? Muulize baba yako mwenyewe japo wote walishakuwa Mawaziri wakuu lkn baba yako kwa Warioba hatii mguu sembuse ww mchumia tumbo?
 
Nilivyomuelewa Warioba ni kuwa anataka Serikali ya Muungano ilazimishe amma Zanzibar wafute Katiba yao kwa kuwa inawapa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao amma wapewe Uhuru kamili.

Hapo sasa!

Wewe hofu yako ni nini> kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam kama William Lukuvi na Mzee Mwanakijiji?

Nakupa LIKE kubwa kabisa.
 
10177473_675998062467266_2151952552228607315_n.jpg
Teh teh tehe!!
Champion ameshika kiuno na saa yake ya mkono wa kulia, hapo nahisi Mwalimu alikuwa akiwafokea akina Mkapa huku akiwaambia " mnazidiwa ufanisi na kijana mdogo kama Warioba".
 
We limutuz uje huku sio unaleta urojo halafu unatawanyika. Pitia lumumba uwa amshe
 
Mzee Warioba hawezi kukaa kimya, kwanza namuona yupo polite sana. Hatujasikia mamlaka yoyote ikiwawajibisha wajumbe wa CCM waliopo kwenye BMK wanavyomtukana. Hivi kwa mfano Mh. Ghasia na Mh.Komba wanauhalali wa kumtukana huyu mzee aliyelitumikia Taifa hili, na sasa anavyotetea maoni/matakwa ya wananchi imekuwa nongwa kisa tu ametofautiana na intarahamwe. Kama mnawasiwasi haya ni yakwake binafsi, si mkae kimya ili mtakavyoileta katiba kwetu kwaajili ya kura za maoni tutampinga??

Je hayo ya serikali mbili, mlihoji kina nani? kwa mamlaka yapi? Takwimu zipo wapi??
Kwakifupi kuhusu swali lako ndugu Le Mutuz, ni kwamba mzee Warioba atatetea kile alichokifanyia kazi, na anatetea sisi wananchi. Kama kazi yake haikuwa na uhalali, basi na BUNGE hili hmaalumu halina uhalali. Maana Bunge hili linakazi ya kuifanyia kazi hii rasimu, na si kuitia kapuni kwa matusi na kuleta kazi nyingine mpya.
 
Back
Top Bottom