Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Tafuteni kipindi maalum kwa Tv ya Taifa wekeni wawakilishi wenu wawili aalikwe na yeye just two hours will get us beyond what you are trying to speculate!!!!!

Maana ground work ikianza hata huyo mjumbe unayesema wa Bakwata muulize maoni ya waislamu aliyakusanya lini mpaka apate mandate ya kuwawakilisha????!!!
Wewe ni kiongozi wa Jumuiya ya Wazazi good, watoto wako wapo wapi mpaka ujue shida na changamoto za wazazi???!!! Au unawakilisha wazazi wepi?????!!!

Check on sampling and representativeness,tutaishia ku query mpaka kura za urais, be alerted!!!!!

Simbeye or Ulimwengu might do it well if not Masako!!!!!
Changamoto hutatuliwa sio kuanza kudhaniana!!!!!

Unaweza kuwa na nia nzuri sana ila jua hili sasa itabidi tuanze na waliompa madaraka hayo vigezo walivyotumia,je alikuwa yeye ni bora kuliko pool ya 50 milion popn in a country??!!!!!Nani aliasema hayo??!! Mpaka anatafutiwa ofisi na funds credibility ilikuwaje???!!! Anaitwa kuwasilisha bungeni reliability ya muwasilishaji na report ilikuwa validated na nani???!!!!

Amsha popo babu ila jua it is a double barelled matter we must have more than one target!!!!
Atakuelewa?
 
lE mUTUZ sYSTEM[/QUOTE]

na wewe pia kumbe ni mwanafunzi. Unaandikaje hivyo?
 
10177473_675998062467266_2151952552228607315_n.jpg
 
Jamani, kwa nini mnamtaja sana Mzee Warioba kama vile tume ilikuwa ni ya mtu mmoja? Mbona yeye hajataja mtu yeyote (personally)? Kama maoni yameletwa kwenye bunge maalum la katiba basi yajadiliwe na uamuzi upatikane, halafu upelekwe kwa wananchi waupitishe au waukatae.

Kama mnadhani Tume iliyoongozwa na Mzee Warioba haikuacha tundu la mtu mwingine kutokea kwa uamuzi mbadala, basi jumuisho litakuwa kwamba maoni yaliyowasilishwa yako sahihi.

Kama kuna hoja inayopingwa Bunge maalum la katiba liipinge bila chuki wala matusi halafu liletwe kwetu sisi wananchi tupitishe bila kupoteza muda.

Tusigombee fito wakati tunajenga nyumba moja
 
Jaji Joseph Sinde Warioba na tume yake wameonyesha umakini mkubwa. Jaji Joseph Sinde Warioba anafaa kuwa Rais wa Muungano 2015!
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

criminology unaijulia wapi wewe? watu wanazungumza katiba wewe unazungumza sayansi ya jinai ni wapi na wapi? acha mbwembwe bhana hakuna wa kudanganywa humu warioba ni safi kuliko mzee wako aliyezaa kila sehemu.
 
We jamaa kichwa chako sijui kiko. Hata ukisikia bado huwezi kupambanua. Unasema Warioba aliongoza kamati ya rushwa nchini na unasema sijui iliishia wapi na unasema hujawahi kusikia akilalamika. Mbona jana hiyo hiyo kasema kwa kukithili kiwango cha rushwa tayari jeshi lingekuwa limepindua nchi? Km huna uwezo wa kupambanua mambo mpaka umpigie simu baba yako hilo tatizo lako. Unadhani kwa nn analalamika kwamba rushwa imekithili?....We km kweli hujatumwa ni tume ngapi zimeundwa kwa ajili ya mambo kibao na zipo kapuni, mpaka tuzitaje?.....MPENI HAKI YAKE MH JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA.
 
"sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?"
Mkuu @Le Mutuz hili taifa unalozungumzia hapa ni watu/kundi lipi?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni kati ya wazee ambao hawana mchango wowote kwenye chama zaidi ya kuendeleza mipasho humu jamvini,hivi wewe na Mzee Warioba nani mzalendo ? rekodi ya utendaji wa Warioba inaeleweka kwa kila mtanzania,wewe embu tueleze umeifanyia nini nchi yetu ?
hebu mwambie babke aliyekuwa waziri mkuu alifanya kipi cha maana kipindi chake?au unamsema mzee warioba kwasababu kaongea ukweli
 
Jaji Joseph Sinde Warioba na tume yake wameonyesha umakini mkubwa. Jaji Joseph Sinde Warioba anafaa kuwa Rais wa Muungano 2015! Atajua jinsi ya kupambana na Rushwa; kuendesha nchi ili isipinduliwe na jeshi kama wanavyozusha!
 
Sijaona kibaya alichoongea,na sioni tatizo kwa nini alikwenda kuongea sababu alialikwa,hivyo mngeanza na mualikaji.

Na ameeleza vizuri tu.Kuna tunao support serikali mbili lakini iwe na marithiano ya pande zote mbili,na kama alivyoeleza vizuri Judge Warioba,hauwezi kurudi kwenye serikali mbili sababu katiba ilishavunjwa siku nyingi,na matatizo siyo 22 tu bali hata huo muungano wa serikali mbili haupo na hautatekelezeka hadi pale marekebisho au turidi kwenye katiba ya zamani ambapo Zanzibar irudi kuwa sehemu tu ya Tanzania Bara na si nchi.

Na hiki amekieleza vizuri na ninakubaliana naye ,siyo rahisi kwa Zanzibar kurudi kule walikokukataa,lakini ni nani anayetakiwa kuwa muasi ni Warioba wale waliovunja Katiba?

Na waliovunja Katiba ndiyo wapiga makelele na kutupa matusi kwa Warioba,jamani Warioba hajawaambia mvunje Katiba,mlilikoroga mlinywe wenyewe ,msimtupie lawama mzee wa watu,mwacheni ale pension yake taratibu akisubiri siku zake.
 
Nilivyomuelewa Warioba ni kuwa anataka Serikali ya Muungano ilazimishe amma Zanzibar wafute Katiba yao kwa kuwa inawapa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao amma wapewe Uhuru kamili.

Hapo sasa!

Wewe hofu yako ni nini> kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam kama William Lukuvi na Mzee Mwanakijiji?
Warioba anataki haki na matakwa ya wananchi yatimizwe.Znz kuwa nchi ya kiislamu shida ni ipi ilhali wakazi 99% ni waislamu?wapewe haki yao Znz, Uislamu kwa lukuvi muoneeni huruma ni mpungufu wa akili
 
Back
Top Bottom