Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Hili boga kama lilikuwepo 92 wakati wa kura ya maoni ya ama vyama vingi ama kimoja ccm ilikuja na vitisho vya mapicha ya mauaji kama tutakubali vyama vingi yakashindwa na mpaka leo hakuna vita na katika hili yatashindwa pia.muungano utavunjwa na ccm kwa kuipa znz mamlaka zaidi
 
Warioba ametoa maswali ambayo wanaotaka serikali mbili wanatakiwa wayajibu. Hakuna aliyejibu hadi sasa!

- Mpaka leo Warioba ameshindwa kujibu swali moja tu la msingi Serikali ya shirikisho itapata wapi pesa? Rais wa Tanganyika ndio atakuwa the most powerful man kwenye shirikisho sasa eti ni kwa nini akubali kuongozwa na Rais wa Shirikisho na huku ana kila kitu within his power kwenye Shirikisho atakwenda kutafuta nini hasa ambacho hatakuwa nacho kwenye Tanganyika?

Le Mutuz System
 
Nyie CCM kubalini tu kuwa mmezidiwa hoja na kupoteza political legitimacy kuhusu muungano.
Nchi itaingia kwenye machafuko msitafte mchawi ni nani. Endeleeni kung'ang'ana na akili za kushikiwa!
 
Wewe ni kati ya wazee ambao hawana mchango wowote kwenye chama zaidi ya kuendeleza mipasho humu jamvini,hivi wewe na Mzee Warioba nani mzalendo ? rekodi ya utendaji wa Warioba inaeleweka kwa kila mtanzania,wewe embu tueleze umeifanyia nini nchi yetu ?
alikuwa busy USA akisoma kwa kodi zetu
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Swali ambalo Waryoba ana takiwa aulizwe ni Waryoba ana nini na CCM?maana yake ana onekana kuwa mwiba mchungu sana kwa CCM baada ya kujali maoni ya wananchi kinyume na CCM.
 
Ninachoshindwa kuwaelewa watu wengine, tena vijana wadogo, ni pale wanapoona si halali kumkosea heshima mzee wetu Marehemu Mwalimu Nyerere lakini wanaona ni sahihi kumtukana na kumkashifu Mzee Warioba na Wazee wengine wote waliokuwa kwenye Tume kwa sababu tu wana maoni tofauti na yale ya wananchi waliohojiwa na Tume.

- Mimi sijamtukana Warioba watoto wake ni marafiki zangu wa karibu sana I would never do that, lakini hapa tunachopigania ni itikadi ndio maana tulienda shule ili kuweza kufikiri wenyewe bila kufikiriwa na mtu, mimi ni Criminologists kaka ninauliza through mistari ya Criminology kwamba something is a miss here na Warioba maana this is uncalled for na inashangaza sana kwamba Warioba anataka nini hasa?

Le Mutuz System
 
- Sasa umekuja kujibu pointless topic inasema nini kuhusu wewe as individual kaka? ha1 ha! ha!

Le Mutuz System

Le Mutuz wewe nenda tu viwanja ukale maisha na vimwana huku kwenye siasa hatukuhitaji kwasababu huna umuhimu wala historia yoyote kwenye siasa.Please tumechoka kelele zako.
 
Warioba alishamaliza kazi yake kama mwenyekiti wa tume.
Warioba wa jana ni mwingne ni nje ya tume anaruhusiwa kuongelea mambo ya tume akiwa nje kama mtu mwingne.
Hatishi mtu anahojiwa anajibu kama alvyoulizwa tena ki taalamu zaid.
 
How/why you guys single out Warioba (while you are fully aware that he was only one amongst a whole army of professionals and dignitaries in his committee - the Kabudis, Ramadhanis, Salims, etc) is well beyond me!!

Beats simple logic...

Umeona salim akienda kwenye tv kuongea?anayoyaongea warioba kwenye tv ni maoni yake au ya tume?
 
Si lazima uwe chama fulani kutambua makosa ya So called viongozi wetu. Naweza kuwa mwananchi wa kawaida kabisa kuitetea hoja yangu. Hata mimi nina mashaka kama hayo maoni ya wananchi yalikuwa na ukweli wowote, licha ya kwamba yalitolewa na Watanzania wachache. Mimi sikupata nafasi ya kutoa maoni hayo, hivyo nina kila sababu ya kuwa na mashaka kama kuna ukweli wa hayo. Na hayo yanasababishwa hasa na mwenendo wa Warioba mwenyewe. Kwa vile anatumia muda mwingi kuhakikisha hayo maoni ya wananchi wachache yanatumika kutuamulia aina ya Muungano tunaoutaka. Na ni kwanini wasimame katika suala hilo pekee? Hakuna mengine ya kuzungumzia? Si kazi yake tena kutusimamia tunawazaje, tutaamuaje. Yeye a relax na kusubiri badala ya kuendelea kutuonyesha madhaifu yake tusiyoyafahamu kabla; kwamba anaegemea upande anaoutaka, ambao mwanzoni alisema tofauti na msimamo wa sasa.
 
quote_icon.png
By Makupa

Wewe ni kati ya wazee ambao hawana mchango wowote kwenye chama zaidi ya kuendeleza mipasho humu jamvini,hivi wewe na Mzee Warioba nani mzalendo ? rekodi ya utendaji wa Warioba inaeleweka kwa kila mtanzania,wewe embu tueleze umeifanyia nini nchi yetu ?

- Ok ungekuwa msomi kama mimi kwanza ungeanza kuchambua jinsi wazazi wako walivyolisaidia hili Taifa ndio ungeanza kuuliza wazazi wa wengine, pole sana nenda shule tena kaka ujifunze kuelewa mada kabla ya kujibu!!

Le Mutuz System
 
- Mpaka leo Warioba ameshindwa kujibu swali moja tu la msingi Serikali ya shirikisho itapata wapi pesa? Rais wa Tanganyika ndio atakuwa the most powerful man kwenye shirikisho sasa eti ni kwa nini akubali kuongozwa na Rais wa Shirikisho na huku ana kila kitu within his power kwenye Shirikisho atakwenda kutafuta nini hasa ambacho hatakuwa nacho kwenye Tanganyika?

Le Mutuz System
Kama ulisikiliza kipindi cha jana cha Dakika 45 (ITV) usingeleta hii hoja, najua unasikiliza na kuangalia TBC na Radio Uhuru, lakini inabidi mara moja moja uwe unatune TV station nyingine pia. Hata hivyo nimeweka swali, badala ya kujibu, ukauliza swali! Nilisema hivi, Warioba ametoa maswali ambayo wanaotaka serikali mbili wanatakiwa wayajibu. Hakuna aliyejibu hadi sasa!
 
- Mpaka leo Warioba ameshindwa kujibu swali moja tu la msingi Serikali ya shirikisho itapata wapi pesa? Rais wa Tanganyika ndio atakuwa the most powerful man kwenye shirikisho sasa eti ni kwa nini akubali kuongozwa na Rais wa Shirikisho na huku ana kila kitu within his power kwenye Shirikisho atakwenda kutafuta nini hasa ambacho hatakuwa nacho kwenye Tanganyika?

Le Mutuz System

Swali ambalo CCM nao wameshindwa kulitolea maelezo kuwa ni nani anayegharamia serekali ya muungano na shughuri zote zinazo husu muungano.
 
sasa wewe mzee unataka warioba akae kimya hata pale panapohitajika ufafanuzi, mnataka akae kimya ili muendelee kupotosha watu na hila zenu? mwacheni huyu mzee ajibu hoja na nyinyi pia jibuni hoja zake kuliko kuendeleza kashfa na matusi.

Tunachotaka ni serikali 3 kama hamtaki serikali tatu kwa kisingizi cha gharama basi twendeni kwenye serikali moja ambayo ndio muarobaini wa hizo gharama mnazokimbia
 
Le Mutuz wewe nenda tu viwanja ukale maisha na vimwana huku kwenye siasa hatukuhitaji kwasababu huna umuhimu wala historia yoyote kwenye siasa.Please tumechoka kelele zako.

- Kaka ukinyamaza kimya unaweza kuonekana una akili kuliko this lows!!

Le Mutuz System
 
Usipokuwa na busara unaweza kumsemea warioba maneno mabaya kabisa mimi nashangaa tangu lini warioba kawa msemaji wa watanzania kama siyo kukosa uzalendo na kutaka kuvunja nchi ni nini.
 
Ninachoshindwa kuwaelewa watu wengine, tena vijana wadogo, ni pale wanapoona si halali kumkosea heshima mzee wetu Marehemu Mwalimu Nyerere lakini wanaona ni sahihi kumtukana na kumkashifu Mzee Warioba na Wazee wengine wote waliokuwa kwenye Tume kwa sababu tu wana maoni tofauti na yale ya wananchi waliohojiwa na Tume.

Samahan Mtoa mada sio Kijana!!
pls edit ur commmt
 
sasa wewe mzee unataka warioba akae kimya hata pale panapohitajika ufafanuzi, mnataka akae kimya ili muendelee kupotosha watu na hila zenu? mwacheni huyu mzee ajibu hoja na nyinyi pia jibuni hoja zake kuliko kuendeleza kashfa na matusi.

Tunachotaka ni serikali 3 kama hamtaki serikali tatu kwa kisingizi cha gharama basi twendeni kwenye serikali moja ambayo ndio muarobaini wa hizo gharama mnazokimbia

- Sasa wewe mtoto mdogo unayenyonya maziwa ya mama, I meean ufafanuzi kila siku kwa faida ya nani hasa? Hivi Warioba amesoma siasa au nini hasa hivi kweli anaamini kweli anaisukuma hoja mbele kwa anayoyafanya kila siku kulumbana na watawala kwenye vyombo vya habari? I mean I am lost!

Le Mutuz System
 
Utafiti unaonyesha waliozaliwa kwa njia ya mchepuko hupenda kujikweza bila busara , hekima wala adabu . Mfano mzuri ni huyu anayejiita le Mutuz na nepi
 
Usipokuwa na busara unaweza kumsemea warioba maneno mabaya kabisa mimi nashangaa tangu lini warioba kawa msemaji wa watanzania kama siyo kukosa uzalendo na kutaka kuvunja nchi ni nini.

- Kuvunja Taifa letu hawezi na in the end ni Serikali 2 ndio itasimama, lakini in the process kwa wale tulioenda shule ni lazima tutafakari kwa kina na umakini kuna nini behind this Warioba syndrome!! something is a miss!!

Le Mutuz System
 
Back
Top Bottom