Warembo wa Wiki..

Duuh mtu anashindwa kuwa confortable na kivazi chake....
Huyo mwingine kaamua aweke Pochi kabisa iko kazi
 
huyu akikakaa si ndio balaa

kimini.jpg
 
we nyani ngabu acha ujinga hivi hizo pochi za LV zinauzwa million ngapi?maana sioni uhusiano wa kubeba pochi ya LV ya ukweli na kupanda daladala watu wanapata ajali sana na magari nowadays na una gari moja na umetumia zote weekend unafanyaje????acha ulimbukeni wa magari wewe nchi za wazentu kupanda public transoprt ni kitu cha kawaida ila wabongo ni umaskini.kwanza mimi daladala zingekuwa level seat daily gari ningekuwa natumia weekend na usiku
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa

Mbona umekwenda mbali unasema zinatoka china ?fika hapo Uturuki zinapigiwa mbwa
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa

Wacha kuwa snob watu wa kutoka mikoani wewe.Nina ndugu zangu wanatoka mikoani ni enterpreneurs wa kutosha kuliko watu wengi tu wa Dar.Kuna watu wengi wamekaa Dar miaka kibao lakini hawajui Muhimbili iko wapi.

Kuna watu tuko Dar (familia) kabla ya Nyumba ya saa na Misheni Kota, kabla shule ya uhuru haijawa shule ya uhuru, kabla baba Kabwela hajaendoa Yuno, kabla Buguruni haijawa mji, kabla Mchafukoge hapajawa na gereji, kabla Mwembetogwa hapajawa na Fire Brigade kabla ya Icarus Kumba Kumba na maduka ya kaya, kabla ya viwanja (mashamba) kugawiwa bure Mbezi Tangi Bovu etc etc na wala huwezi kutusikia tunawa diss watu wa mikoani, kwani tunajua mchango wao katika kuijenga Tanzania ya leo.

Kama mtu si mstaarabu, mseme kwa tabia, si kwa sababu katoka bara.Ingekuwa hivyo watu wa Unguja wangekuwa na haki ya kutucheka sote.
 
babuweeeeeeeee ebu waacheni wenzenu waonyeshe walivyobarikiwa
globalzatn,frdom of expression n oppresn do exist in ibara ya 18
so let them adhere n practice thy right!!!!!
its chldsh mind n lack of confidence make em to wear such naked ili aweze kufill yale magape ambayo anazami hajakamilika!!!!!
ni kazi kuuuuuubwa!!!!!!!!!
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa

kwani wao si watu mpaka ujute kuhudhuria nao?ulitaka ukute watoto wa uzunguni?acha kudharau wenzako bwana!
 
Hili neno la '' wa kutoka mikoani'' ndo hasa limenikokota sana ndugu yangu, mmh! Sijui ni la heshima au dharau? Pia eti '' kiswahili kinawashinda'' je kama ni wa mikoani watajuaje kiswahili?
Hapa hakuna cha kushangaza? Na je unahakika wote wa mikoani? Au hujui siku hizi wapo watokao katika miji au vijiji?

Je hizo nguo ulozitaja na hiyo lugha ya kiswahili unayozungumza weye ni yako pekeyo? Au weye ni mzungumzaji mzuri sana?

Nimependa vile ulivyojua watu wa mikoani kwa lugha/uzungumzaji hongera ndugu yangu na kaza kamba uyajue mengi ya wa mikoani.

Sie wa mikoani bwana hatuna kosa kushindwa kuvaa vile unavyotaka kwani kwetu mikoani nguo hakuna, hivyo usichoke kutufundisha.

Pia lugha yako ya kiswahili twaipenda sanaa, na sanaa yake yatushinda katika baadhi ya maneno, tafadhali tukumbushe usahihi wake ewe ulo msanii.

Mwisho haya yote yakiwa sawa hii mambo ya umikoani au uvijijini utakwisha.

''Mdharau mwiba.....

''Babu jinga kaa chini ufikiri.......
 
Jamani nimerudi tena

Baada ya kuangalia sana nimehisi hiyo sehemu ilikuwa na joto la kufa shetani, maana ukiangalia kule back bench utamuona mwingine kama anataka kuvua kabisa.......!!Du! I wish The Boss ungekuwepo hapo mahali.
Te te he te hee

duh kweli ,watu mnajua kuangalia kwenye blue.

Lakini chupi ya blue? au ndio rangi ya mwaka maana yao mabinti mbele ni blue
 
babuweeeeeeeee ebu waacheni wenzenu waonyeshe walivyobarikiwa
globalzatn,frdom of expression n oppresn do exist in ibara ya 18
so let them adhere n practice thy right!!!!!
its chldsh mind n lack of confidence make em to wear such naked ili aweze kufill yale magape ambayo anazami hajakamilika!!!!!
ni kazi kuuuuuubwa!!!!!!!!!

ukiunganisha kwenye mistari wa blue ni sahihi sana
 
Dont worry Rossie
Beuty is in the eyes of the beholder!!
Wasichana wengi wanaiga umbo la kizungu(european figure)
Naweza kukuhakikishia kwa waafrika it is totally different.
Nilikuwa na rafiki yangu wa Kinigeria miaka kadhaa, na nilicheka kwa comment yake akisema
"Moi froend, yo moust have a somting to hould, oua womon are very very goud"
I concurred

Asante kwa kunipa moyo :smilez:
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa

globalization, waache nao wafaidi mambo ya town
 
Back
Top Bottom