Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,650
Afu' Mkuu RRONDO, umenichefua kidogo kuwaita warembo, ni vichangudowa tu ivi!
Arooo...wamekuwa "vichangudowa" kivipi tena?
Afu' Mkuu RRONDO, umenichefua kidogo kuwaita warembo, ni vichangudowa tu ivi!
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....
siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa
..Mi nimeona ka-blue kadogooo kanachungulia sijui ndi nini???!!!:A S tongue::A S tongue:Jamani mie mbona sioni kitu!!!!!
...Halafu cha kushangaza wanaoonekana kufurahi ni hao waliokaa row ya mbele tu?? Maana wengine wote wameuchuna kama wako kwa pilato!!!...inakuwaje?![]()
Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.
kina dada naomba msaada, hivi madukani kuna chupi za rangi hii?
Lakini mi nafikiri kwanza tungejua walikuwa katika occasion gani.......! Huenda tukawapimia isivyo? Mathalani mi nilifikiri wapo CHURCH then nikawa dis ile mbaya. Na mwingine anaweza kuhisi wapo mbele za baba mkwe wanasikiliza mawaidha........:bowl:
Aroo Saajini, umeriona ganda,tunda renyewe bado.......Mi nimeona ka-blue kadogooo kanachungulia sijui ndi nini???!!!:A S tongue::A S tongue:
Ahahahahaaa....kweli aisee. Siku hizi sio kama zamani.
Last week nimekutana na demu kabeba purse/ bag ya Louie Vuitton halafu anashuka kwenye daladala iliyokuwa inatokea Kiwalani....sasa nikajiuliza...hmm hivi hiyo Louie ni authentic au bootleg.....nikashawishika kuwa ni bootleg kwa sababu huwezi kumudu kununua Louie authentic halafu upande daladala
Dont worry Rossiehata mie ningekuwa na shape nzuri kama hao wadada ningevaa nguo fupi...!:smile-big:
nimejaribu kufanya mazoezi naona weight hai-shift,
labda ukifika umri fulani mwili unadecline,sijui!