Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

HEBU ANGALIENI ITIKADI ZA HAO WANAOITWA INTERAHAMWE(GENOCIDERS) DHIDI YA WATUSI JE UNAFIKIRI NIHAKI FIB KUWAUNGA MKONO?

Hutu Ten Commandments

From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
The "Hutu Ten Commandments" (also "Ten Commandments of the Bahutu") was a document published in the December 1990 edition of Kangura, an anti-Tutsi, Hutu Power Kinyarwanda-language newspaper in Kigali, Rwanda. The Hutu Ten Commandments are often cited as a prime example of anti-Tutsi propaganda that was promoted by extremists in Rwanda following the 1990 invasion by the Rwandan Patriotic Front and prior to the 1994 Rwandan Genocide.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP] The chief editor of Kangura, Hassan Ngeze, was convicted of genocide and crimes against humanity in 2003 by the International Criminal Tribunal for Rwanda and was sentenced to 35 years' imprisonment.[SUP][5][/SUP]

Text

The Hutu Ten Commandments

1. Every Hutu should know that a Tutsi woman, whoever she is, works for the interest of her Tutsi ethnic group. As a result, we shall consider a traitor any Hutu who

  • marries a Tutsi woman
  • befriends a Tutsi woman
  • employs a Tutsi woman as a secretary or a concubine.
2. Every Hutu should know that our Hutu daughters are more suitable and conscientious in their role as woman, wife and mother of the family. Are they not beautiful, good secretaries and more honest?
3. Hutu women, be vigilant and try to bring your husbands, brothers and sons back to reason.
4. Every Hutu should know that every Tutsi is dishonest in business. His only aim is the supremacy of his ethnic group. As a result, any Hutu who does the following is a traitor:
  • makes a partnership with Tutsi in business
  • invests his money or the government's money in a Tutsi enterprise
  • lends or borrows money from a Tutsi
  • gives favours to Tutsi in business (obtaining import licenses, bank loans, construction sites, public markets, etc.).
5. All strategic positions, political, administrative, economic, military and security should be entrusted only to Hutu.
6. The education sector (school pupils, students, teachers) must be majority Hutu.
7. The Rwandan Armed Forces should be exclusively Hutu. The experience of the October 1990 war has taught us a lesson. No member of the military shall marry a Tutsi.
8. The Hutu should stop having mercy on the Tutsi.
9. The Hutu, wherever they are, must have unity and solidarity and be concerned with the fate of their Hutu brothers.
  • The Hutu inside and outside Rwanda must constantly look for friends and allies for the Hutu cause, starting with their Hutu brothers.
  • They must constantly counteract Tutsi propaganda.
  • The Hutu must be firm and vigilant against their common Tutsi enemy.
10. The Social Revolution of 1959, the Referendum of 1961, and the Hutu Ideology, must be taught to every Hutu at every level. Every Hutu must spread this ideology widely. Any Hutu who persecutes his brother Hutu for having read, spread, and taught this ideology is a traitor.[SUP][1][/SUP]
Hizi commandments ndizo zinatumiwa na watu wengi humu kuendeleza chuki dhidi ya watusi!
Mh kweli soma mengi ujue mengi,kazi ipo!
 

ikidhibitika kuwa askari wetu wameshambuliwa na komboro ambalo lilikuwa launched toka rwanda .......tutapiga. Vita ya muda mfupi ...less than a week...ambazo siku zote hizo ni makombora tu kwenye kila squire kilometer moja ...burundi hawatawapokea ...mpaka wa congo moto utatoka huko...mpaka wa tanzania tutaziba....na mpaka na uganda tutakata network...mkimbie na miguu....
Muone kama waganda wataruhusu rais wao awapokeee ....you never know museveni ....chameleon ...comrade....
Kagame playing with tanzania is his terminal mistake.....tanzania is not kikwete ...kikwete is just a tanzanian.....but rwanda is kagame ..that's why you have to pay for his mistake ...otherwise mkanemi na mtoe haki sawa kwa makabila yote ...

we ni mtoto au kama una umri mkubwa basi hujitedei haki kwa kushaikia vita..kaka vita si lele mama....usiombe hata mara moja
 
THANKS Mawaidha safi kweli ila vita na huyu mlafi naomba tusiwe na mawazo haya kwa sasa itadidimiza uchumi wetu kupindukia la msingi ni toforget about kenya,uganda and rwanda to bind together with drc and burundi remember tz and drc is almost 1/4 of africa continent but what is need after push away m23 is UN or whatever to extend special powerfull military base ni estern drc and southern lets bind into congo and ban kenya/uganda/rwanda from entering their goods in our markets but if they want buy from us lets them buy 'cause we export

next time tumia Kiswahili, lugha ya malkia huiwezi kabisa
 
Kweli raia wa congo wana haki ya kuishi, nani kawazuia kulinda nchi yao? Congo ina raia 55 million, wana askari 120,000, wana utitili wa utajiri, walinde mipaka yao basi, wasisubiri huruma za Manyerere. Katiba inasema jukumu la kulinda nchi ni la wananchi wake wenyewe, sasa kwanini wasijilinde? nani anailinda Tanzania, si wananchi wake wenyewe?

utalinda vp mpaka wakati adui kisha ingia ndani,ndo maana anasaidiwa kumwondoa adui ili alinde mipaka yake,kuwa na jeshi kubwa siyo sababu marekani inajeshi kubwa lakini vitani inaomba msaada kwa mataifa mengine
 
Hata raia hawa wa Kongo wana haki ya kuishi kwa amani ndani ya nchi ya nchi yao.
Alafu nadhani unahitaji kujifunza kwanini kuna jeshi.
Usifikiri jeshi lipo kwa ajili ya kuonyesha gwaride siku ya 9 December pale uwanja wa Uhuru.
Moja ya kazi za jeshi ni kama inayofanyoka nchini Kongo.

majukumu ya jeshi sio kufa hata kwa vita zisizo za lazima, mleta mada anajaribu kushawishi jeshi liende hadi
kigali! hivi unadhani jeshi linatumiwa kwa haki namna hii! kumbuka hata kama vita hii itatokea kati ya Rwanda na Tz, mjue chanzo chake ugomvi wa maneno ya JK tu! jeshi litumike katika "just wars" na sio "unjust wars"
 
Usitake kuleta itikadi kiraia kwenye Jeshi,unafikiri ni hizo kazini za kiraia,hujui wanakula kiapo gani?,usituletee jeshi la mbu hapa,ndio mnapelekwa mafunzo muondolewe uraia..

huniju sikujui! majukumu ya jeshi sio kufa hata kwa vita za kijinga zinazoletwa na rais wenu dhaifu! ameshindwa kutujenga katika ustawi sasa anatumia njia mbadala ya kuunganisha wananchi kwa kutumia external aggressions!
 
hujui kinachokuchosha...naamini si rwanda bali ujinga wako tu...msitake kutuingiza kwenye vita maisha yalivokuwa magumu kwa sasa bila vita tukiingia vita mtakula nyasi kama alivowahi kuahidi waziri mmoja...unajua maisha ya ukimbizi au unafikiri vita ni sawa na mechi za mpira....
Nani atakuwa mkimbizi? tumeshaanza hatua muhimu ya kuwarudisha kwenu kitakachofuata ni kile kilimchomtoa kanga manyoya.Kagame na watutsi wenzake hawana adabu washughulikiwe tu
 
kumbe upeo wako wa kuelewa mambo mdogo khaa, umesikiliza taarifa ya habari leo msemaji wa jeshi zanzibar akiwaambia wafiwa kuwa wasisikitike sana kufa ndugu yao ni jambo la kawaida jeshini

jeshi unaingia kwenda kupigana vita na kwenye vita kuna kufa na kupona!!

suala sio vita tu, bali ulazima wa hiyo vita! halafu usiniletee mambo ya sijui "msemaji wa jeshi zanzibar blah blah"! jeshi lihusike katika just wars sio vita zenu mnazoanzisha kwa maneno ya taarabu then mnawatuma vijana wetu wakafe!
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

Yeyote anayemtetea KAGAME ni mwendawazimu. Niko pamoja na Manyerere, akileta za kuleta APIGWE tu huyu Kagame.
 
Manyerere Jackton ni kichaaa,,,,, huwezi kuzungumza ubaguzi wa waziwazi namna hii halafu ukaendelea kujiita muandishi wa habari. This is pathetic, poor you, unaendeshwa na jazba na mihemko badala ya thinking. Hihi sio zama za ubaguzi wa kikabila, inaelekea ukiwamaliza waTusi utatugeukia wabena. Shame on you broda.

huyo alikuwa mwandishi zamani, lakini kwa sasa ni kama debe tupu tu! yaani sielewi kwanini ameamua kujiweka wazi kiasi hiki!
 
Yeyote anayemtetea KAGAME ni mwendawazimu. Niko pamoja na Manyerere, akileta za kuleta APIGWE tu huyu Kagame.

Ufaham wa wahitimu wa elimu za mulugo na mnavyotumiwa na magogoni kurusha propaganda. hujuwi madhara wala faida za kuingia vita ya mipasho tena haina lolote la maana.

Tupe sababu za wazi na za lazima kuifanya Tanzania kuingia vitani na Rwanda endapo wewe sio mwendawazimu
 
we ni mtoto au kama una umri mkubwa basi hujitedei haki kwa kushaikia vita..kaka vita si lele mama....usiombe hata mara moja
Mkuu, wengi wanaoshabikia vita hawajawahi sio tu kuishuhudia bali hata kuvisit maeneo ambayo vita imepiganwa. Na kibaya zaidi wengi wanalinganisha na vita ya Kagera ambapo Tz alimuondoa Iddi Amini huku wakisahau kuwa Tanzania ya mwaka 1978 sio Tanzania ya sasa (2013) ambapo idadi kubwa ya wanajeshi wameingia huko kutafuta maisha (kumbuka hata mfano wa ndugu yetu aliyefia Darfur jinsi mkewe alivyokuwa akimsubiria arejee na $$$$ na reaction ya familia kupata fidia) wakati hawa wenzetu wanachopigania ni zaidi ya pesa.
Daima ukifikiria vita angalia NIDHAMU ya jeshi na ukitumia udogo au eneo la nchi basi fikiria Israel na Waarabu! Kwa sasa tuna matatizo mengi ya kuyapa vipaumbele jap-o na hili ni tatizo lakini yabidi tulichukulie kwa umakini wake.

 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

Hapo kwenye nyekundu, mkuu sidhani kumtukana mwenzako ni tija, ulitakiwa uweke hoja mezani kupinga zile za manyerere, cha kushangaza umetoka mapovu mno, kulikoni ?
 
Hoja ya woga kwa waandishi wa IPP Media, inatoka kwenye kiini cha Mmiliki ambaye kagame ni shemejiye!!!!!!!!!!!! KWANI Mke mdogo(JACQUELINE NTUYABALILWE) ni mtusi. HILI HALIJULIKANI? NA WATUSI NI SAWA NA WAYAHUDI WANAPUMBAZA WATU AKILI. MTANDAO WA WATUSI HAPA NI MKUBWA MNO.
 
Mokala vipi mkuu hujui vita ya uganda imetufanya masikini mpaka leo hii, tuliwasaidia Zimbabwe, south Africa, Mozambique, na wengine wengi ila sie tumebaki masikini mkiani mwa mbwa tuache kushadadia vipi tushadadie vita vya kiuchumi sasa, sio kufungwa tumefungwa ila chenga tumewalamba huu sasa ushamba

utakuwa na raha gani kuishi kwa starehe zote huku jirani yako akiishi bila kujitambua atauwawa kwa risasi saa ngapi? kuwa na usawa watu wote tunastahili kuwa na utulivu na maisha ya amani bila kujali wewe ni nani, ili tuweze kuendelea kiuchumi, TATIZO la rwanda wanafikiri wanaostahili kuwa na amani na uchumi ulio bora ni wao tu, kwa hiyo wapo tayari kuvamia, kuua, kupora raia wa nchi nyingine yoyote ilimradi tu wasiwe watusi wenzao, hili halikubaliki UN wameliona na tanazinia tumeliona pia TUNAPIGANIA MAISHA YA AMANI ENEO LA MAZIWA MAKUU.
 
HEBU ANGALIENI ITIKADI ZA HAO WANAOITWA INTERAHAMWE(GENOCIDERS) DHIDI YA WATUSI JE UNAFIKIRI NIHAKI FIB KUWAUNGA MKONO?
Hizi commandments ndizo zinatumiwa na watu wengi humu kuendeleza chuki dhidi ya watusi!

Mimi naomba uwe mkweli na muwazi nipe "commandments" zenu na nyinyi Watutsi. Lakini hutabadirisha ushenzi wa Kagame na Museveni kwenye misadventure ya Hima Empire.
 
Back
Top Bottom