Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Sawa kiongozi naomba tutembee pamaja katika majibu yako.

Kwahiyo kauli yako kwamba hukuhamasisha vita umeikana kwamba ni ya uwongo? Unawezaje kusema kuanzia Goma hadi kigali. Tuambie hapa Tanzania tuna mkowa unaitwa GOMA? kama hatuna watanzania kuanzia goma drc hadi Kigali ruanda sio uchochezi na kuhamasisha vita? maslahi ya kisiasa kwa watu binafsi siyo Taifa.

Nataka ufaham fika kwamba M23 anapigana Kongo drc, na Ufaham kwamba baadhi yao nikutoka majeshi ya kabila yaani waasi. wameasi baada ya kuona demosia inafinywangwa na wengine kutoka makundi na sababu mbalmbali, lakini sinasababu kujadili zaidi ya wakongomani, labda utueleze ya Kabila, M23 na watanzania yanauhusianogani? Nakuuliza hivyo kwasababu moja tu. Ndugu yangu mbona hapa kwetu tunahao M23 ambao wanatesa watanzania Kibanda, Ulimboka na wanachinja watu Usa River, wanalipuwa mabomu, wanauwa mapadri na mashekhe na kumwagia wengine tindikali. Wasiwai wangu kwako Manyerere, umeinua karamu yako kuchochea vita kwa jiran hii vita yetu hujaiona? umechukuwa hatuagani hasa kuanzia hapa nyumbani? Je na kwa wauza dawa za kulevya amabao wanateteketza Taifa lakesho? Huruma kwa wakongomani inatoka wapi? Nini kimekusukuma ukaacha uzalendo kwa watanzania ukauvaa ule wa wakongomani?

Nitaendelea namba 2, 3, 4, na Tano naomba maelezo.
Balali, sisi ni wafuasi wazuri wa maneno matamu kama haya, "Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja". Ukijua maana ya maneno hayo, hutashangaa kuyaona majeshi ya tanzania yakiwakomboa Wacongoman.
 
Pamoja sana mkuu. Nimefanya kusudi kumjibu huyu Balali anayejivika utanzania halafu anashindwa kuwaza na kuandika kama Mtanzania.

Wewe kweli ----- sasa kama mimi siyo mtanzania wewe mkongomani? maana unashobokea ya kongo ukasahau yawatanzania huoni wewe ndo upomashakani?
 
manyerere kwa uchambuzi huu unahitaji kuwa reuters,cnn, bbc etc

Kidole unataka kunivika sifa nisizostahili. Mimi nabaki na JAMHURI. Hapo ni zaidi ya BBC. Usikose kila Jumanne kuona vionjo moto moto ndani ya JAMHURI. Tunaanzia Wanapoishia Wengine.
 
Balali, sisi ni wafuasi wazuri wa maneno matamu kama haya, "Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja". Ukijua maana ya maneno hayo, hutashangaa kuyaona majeshi ya tanzania yakiwakomboa Wacongoman.

Mkuu mmemnukuu sana hayati Mwl JK nyerere nataka kufaham kama fukuzafukuza na ubaguzi ilikuwa falsafa ya mwalimu? mnaweza fafanua kwa mifano? endapo ulichokiandika hapo ndicho kinafanyika.
 
Ukisikia unapoteza mwelekeo ndio hapa unapokosa hekima na welevu na kuvaa miwani ya mbao kushabikia usichokifahamu. tena umekuwa mjinga kuungana nawale wanaovuwa wenzao uraia wakidhani wao ndiyo wazalendo halisi kumbe wajinga wakutupwa. Huwezi kuwa na mashaka na uraia wangu ninapo hoji mambo ya msingi.

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na wabosi wa dawa za kulevya kwako Tanzania bora iteketee ila DRC ipate amani unajiona upo sawa kichwani?

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na wanaotesa na kuuwa watanzania waziwazi umeihoji serikali kudhihilisha unaumwa na kwamba hupendi watanzania waendelee kuteseka na kuwawa ovyo? kwako Tanzania bora iteketee ila DRC ipate amani na unajitamba eti ni raia wa nchi hii kiposi mkubwa wewe wa akili.

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na watanzanzania wanaopoteza maisha kila siku kwa kukosa matibabu na wanakufa wengi kwelikweli lakin kwako Tanzania bora iteketee ila DRC ipate amani

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na Tanzania ya kesho, watoto wanafeli mpaka kufikia 90% kwako Tanzania bora iteketee ila DRC ipate amani. huu ni ujinga ulopitiliza.

hebu chungulia uraia wako na wangu uone nani mzalendo wa kweli

Mpaka sasa hakuna hata mmoja wenu wachumia tumbo ambaye ametoa sababu fasaha za msingi kuingia vitani.

Mpende jirani yako kama nafsi yako....
 
Kidole unataka kunivika sifa nisizostahili. Mimi nabaki na JAMHURI. Hapo ni zaidi ya BBC. Usikose kila Jumanne kuona vionjo moto moto ndani ya JAMHURI. Tunaanzia Wanapoishia Wengine.

Ningependa unijibu kwenye redi maana hujatoa majibu.

quote_icon.png
By Balali
Sawa kiongozi naomba tutembee pamaja katika majibu yako.

Kwahiyo kauli yako kwamba hukuhamasisha vita umeikana kwamba ni ya uwongo? Unawezaje kusema kuanzia Goma hadi kigali. Tuambie hapa Tanzania tuna mkowa unaitwa GOMA? kama hatuna watanzania kuanzia goma drc hadi Kigali ruanda sio uchochezi na kuhamasisha vita? maslahi ya kisiasa kwa watu binafsi siyo Taifa.

Nataka ufaham fika kwamba M23 anapigana Kongo drc, na Ufaham kwamba baadhi yao nikutoka majeshi ya kabila yaani waasi. wameasi baada ya kuona demosia inafinywangwa na wengine kutoka makundi na sababu mbalmbali, lakini sinasababu kujadili zaidi ya wakongomani, labda utueleze ya Kabila, M23 na watanzania yanauhusianogani? Nakuuliza hivyo kwasababu moja tu. Ndugu yangu mbona hapa kwetu tunahao M23 ambao wanatesa watanzania Kibanda, Ulimboka na wanachinja watu Usa River, wanalipuwa mabomu, wanauwa mapadri na mashekhe na kumwagia wengine tindikali. Wasiwai wangu kwako Manyerere, umeinua karamu yako kuchochea vita kwa jiran hii vita yetu hujaiona? umechukuwa hatuagani hasa kuanzia hapa nyumbani? Je na kwa wauza dawa za kulevya amabao wanateteketza Taifa lakesho? Huruma kwa wakongomani inatoka wapi? Nini kimekusukuma ukaacha uzalendo kwa watanzania ukauvaa ule wa wakongomani
 
Mkuu mmemnukuu sana hayati Mwl JK nyerere nataka kufaham kama fukuzafukuza na ubaguzi ilikuwa falsafa ya mwalimu? mnaweza fafanua kwa mifano? endapo ulichokiandika hapo ndicho kinafanyika.

Balali umezaliwa mwaka gani? Naanza kupata shaka. Fukuza fukuza ya Mwalimu huijui? Hukumbuki yule Giriki aliyekuwa na suruali kubwa kiasi cha kuiweka serikali yote mfukoni? Hukumbuki Mwalimu alivyowafukuza wakoloni wa kiingereza? Mwalimu aliwapa uraia wanyarwanda wengi sana. Kigezo kikuu ni kwamba walikuwa na adabu, siyo hawa wanaokuja kubaka, kuiba, kupora, kusambaza silaha na kuendesha vitendo vya uharamia na ujambazi. Yaani unataka kusema hata angekuwa Mwalimu angewaacha wanyarwanda wafanye upuuzi huo? Rejea kwenye maandiko ya mwalimu ambayo sisi ni dira na mwelekeo wetu.
 
Wewe kweli ----- sasa kama mimi siyo mtanzania wewe mkongomani? maana unashobokea ya kongo ukasahau yawatanzania huoni wewe ndo upomashakani?

Usilie Balali. Tumewaondoa ndugu zako na kule Kongo pia tunawatimua,
Sasa ka ardhi kenyewe kwenye kiganja subiri twimbwili linalofuata.
mwambie rais wako akaendelee kuzindua bandari Mombassa ili kuikomoa Tanzania mwishowe atajikomoa mwenyewe...

Last edited by a moderator:
Mpende jirani yako kama nafsi yako....

Unawezaje kuwapenda wakongo usiyewajuwa kama umeshindwa kuwapenda waliyeachwa na Hayati JK nyeree pale Muleba?

hata mambo ya dini yanakupiga chenga, mpende kwanza huyu unayemfaham ndipo uweze kumpenda mungu aliyembalia nawe.
 
Balali umezaliwa mwaka gani? Naanza kupata shaka. Fukuza fukuza ya Mwalimu huijui? Hukumbuki yule Giriki aliyekuwa na suruali kubwa kiasi cha kuiweka serikali yote mfukoni? Hukumbuki Mwalimu alivyowafukuza wakoloni wa kiingereza? Mwalimu aliwapa uraia wanyarwanda wengi sana. Kigezo kikuu ni kwamba walikuwa na adabu, siyo hawa wanaokuja kubaka, kuiba, kupora, kusambaza silaha na kuendesha vitendo vya uharamia na ujambazi. Yaani unataka kusema hata angekuwa Mwalimu angewaacha wanyarwanda wafanye upuuzi huo? Rejea kwenye maandiko ya mwalimu ambayo sisi ni dira na mwelekeo wetu.

Sasa hapo kiongozi naona uzee unakuandama. Kwahiyo Waingereza ndo hao JK Nyerere alitaka kuungana nao kuipata afrika moja na huru? ndo wewe kweli hilo nijibu la msomi mwandishi nguli? unanipa mashaka sana uelewa wako.

Unapoongelea kufukuza mgiliki nini zilikuwa athali za kufukuzwa kwake kwa watanzania na uhuru wa bara la afrika ukilinganisha na kufukuzwa wanyarwanda kwa Tanzania ya kesho? Tunaongelea wazungu au waafrika? hebu rudieni akili zenu basi mmeziacha wapi?

Huwezi kuwa na amani hata sikumoja kwa kufanya maamuzi ya kipuuzi tena ya jikoni kwa jirani zako ukategemea utengano siku za usoni! JK Nyerere aliyona hayo hakufanya hivyo isipokuwa nyinyi wajinga.
 
Unawezaje kuwapenda wakongo usiyewajuwa kama umeshindwa kuwapenda waliyeachwa na Hayati JK nyeree pale Muleba?

hata mambo ya dini yanakupiga chenga, mpende kwanza huyu unayemfaham ndipo uweze kumpenda mungu aliyembalia nawe.

Nipe aya Balali.
 
Last edited by a moderator:
usilie balali. Tumewaondoa ndugu zako na kule kongo pia tunawatimua,
sasa ka ardhi kenyewe kwenye kiganja subiri twimbwili linalofuata.
Mwambie rais wako akaendelee kuzindua bandari mombassa ili kuikomoa tanzania mwishowe atajikomoa mwenyewe...

[size=3 said:
balali;7224102]ukisikia unapoteza mwelekeo ndio hapa unapokosa hekima na welevu na kuvaa miwani ya mbao kushabikia usichokifahamu. Tena umekuwa mjinga kuungana nawale wanaovuwa wenzao uraia wakidhani wao ndiyo wazalendo halisi kumbe wajinga wakutupwa. Huwezi kuwa na mashaka na uraia wangu ninapo hoji mambo ya msingi.

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na wabosi wa dawa za kulevya kwako tanzania bora iteketee ila drc ipate amani unajiona upo sawa kichwani?

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na wanaotesa na kuuwa watanzania waziwazi umeihoji serikali kudhihilisha unaumwa na kwamba hupendi watanzania waendelee kuteseka na kuwawa ovyo? Kwako tanzania bora iteketee ila drc ipate amani na unajitamba eti ni raia wa nchi hii kiposi mkubwa wewe wa akili.

Uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na watanzanzania wanaopoteza maisha kila siku kwa kukosa matibabu na wanakufa wengi kwelikweli lakin kwako tanzania bora iteketee ila drc ipate amani

uzalendo wako upo kongo lakini huna huruma wala wasiwasi na tanzania ya kesho, watoto wanafeli mpaka kufikia 90% kwako tanzania bora iteketee ila drc ipate amani. Huu ni ujinga ulopitiliza.

Hebu chungulia uraia wako na wangu uone nani mzalendo wa kweli

mpaka sasa hakuna hata mmoja wenu wachumia tumbo ambaye ametoa sababu fasaha za msingi kuingia vitani.

...............................................................[/size]

Kumbe ulinukuu usichokijuwa? pole mzamiaji katafute kwa wachungaji sio jukumu langu mimi yahaya bwana

1. Mpende mungu wako kwa moyo wako wote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote

2. Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe

Hizo ndizo amri kuu kama huelewi zinatoka wapi na kitabu gani juu yako mimi Yahaya nimekupa misitari katafute aya.

Na hili wewe, manyerere na mh kikwete wote yamewapiga chenga mnaishi kwa ncha ya upanda na majambia ole wenu siku ile inakuja.
 
Tatizo una Munkari halafu povu linakuwa jingi, matokeo yanaathiri uwezo wa kufikiri....Hayo yote nayajuwa kuliko wewe unavyofikiri...nahitaji aya ulikotoa haya hapa chini na si vinginevyo.

Unawezaje kuwapenda wakongo usiyewajuwa kama umeshindwa kuwapenda waliyeachwa na Hayati JK nyeree pale Muleba?

hata mambo ya dini yanakupiga chenga, mpende kwanza huyu unayemfaham ndipo uweze kumpenda mungu aliyembalia nawe.
 
Ukitafakari kwa makini maelezo ya Manyerere kwa kuzingatia (crosscheck) ukweli wake utagundua mara moja kuwa ametumia tafakuri potofu (poor reasoning) na kwa hiyo hoja nzima haima mashiko (a totally fallacious argument).

WanaJF hii ni hatari. Huyu ni mwandishi wa habari mzoefu kiasi. Na mwandish yeyote mahiri hujitahidi sana kufanya uchambuzi ulio wa haki na usioegemea upande wowote (a fair and balanced analysis) kwa lengo la kujenga jamii na si kubomoa.

Sasa nikijaribu kujiweka katika nafsi ya Manyerere (put myself in his shoes) na kutafakari nitakuwa katika mazingira gani mpaka nifikie hatua ya kuonyesha wazi wazi 'negative sentiments' kiasi hiki, napata picha (clue) ifuatayo.

Kisaikolojia, (na wataalam wa psychology watakubaliana na mimi) Manyerere anaonyesha ana hali ya kushuku (auspiciousness) inayomjengea chuki dhidi ya jamii ya Watutsi. Huu ni udhaifu mkubwa! Hali hii huwa ni matokeo ya madhara ya kisaikologia yanayojulikana kama Paranoid Personality Disorder (PPI). Mtu mwenye hali hii ni wa kuchunga kwa sababu anaweza kuwa hatari sana. Tazama kwa mfano anavyopotosha kwa huahusisha (infrerence) Mu7 na Kagame na kuendeleza anachokiita 'Dola ya Bahima" ambapo angeangalia tu historia ya hawa viongozi wawili asingefika huko.

Mwandishi mpotoshaji kama huyu ni hasara (liability) kwa jamii na kwa kiasi kikubwa anashusha hadhi (rating) ya gazeti la Jamhuri. Namshauri ajifunze kwa waandishi waliobobea kama Sued Hilal, Jeneral Ulimwengu, Johnson Mbwambo na Charles Onyango Obbo ambao hata kama misimamo wao unajulikana wanajenga na kuchambua hoja na si kuelezea 'sentiments' zao.
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

Yaani wewe unayejifanya unajua kwa kutumia google ndio umeandika utumbo kabisa, nafuu hata huo wa manyerere una sehemu za kushika
 
bila kwenda mpaka kigali, faida ya kuikomboa DRC haitaonekana,
 
Ukitafakari kwa makini maelezo ya Manyerere kwa kuzingatia (crosscheck) ukweli wake utagundua mara moja kuwa ametumia tafakuri potofu (poor reasoning) na kwa hiyo hoja nzima haima mashiko (a totally fallacious argument).

WanaJF hii ni hatari. Huyu ni mwandishi wa habari mzoefu kiasi. Na mwandish yeyote mahiri hujitahidi sana kufanya uchambuzi ulio wa haki na usioegemea upande wowote (a fair and balanced analysis) kwa lengo la kujenga jamii na si kubomoa.

Sasa nikijaribu kujiweka katika nafsi ya Manyerere (put myself in his shoes) na kutafakari nitakuwa katika mazingira gani mpaka nifikie hatua ya kuonyesha wazi wazi 'negative sentiments' kiasi hiki, napata picha (clue) ifuatayo.

Kisaikolojia, (na wataalam wa psychology watakubaliana na mimi) Manyerere anaonyesha ana hali ya kushuku (auspiciousness) inayomjengea chuki dhidi ya jamii ya Watutsi. Huu ni udhaifu mkubwa! Hali hii huwa ni matokeo ya madhara ya kisaikologia yanayojulikana kama Paranoid Personality Disorder (PPI). Mtu mwenye hali hii ni wa kuchunga kwa sababu anaweza kuwa hatari sana. Tazama kwa mfano anavyopotosha kwa huahusisha (infrerence) Mu7 na Kagame na kuendeleza anachokiita 'Dola ya Bahima" ambapo angeangalia tu historia ya hawa viongozi wawili asingefika huko.

Mwandishi mpotoshaji kama huyu ni hasara (liability) kwa jamii na kwa kiasi kikubwa anashusha hadhi (rating) ya gazeti la Jamhuri. Namshauri ajifunze kwa waandishi waliobobea kama Sued Hilal, Jeneral Ulimwengu, Johnson Mbwambo na Charles Onyango Obbo ambao hata kama misimamo wao unajulikana wanajenga na kuchambua hoja na si kuelezea 'sentiments' zao.

Naheshimu sana maoni na maelezo yako. Tangu mwanzo hadi mwisho wa riwaya yako sijaambua kitu unachotaka nikuelewe. Sina sababu ya kuwa mbishi kwa mtazamo wako, lakini ni muhimu ukatambua kuwa hicho unachokiona kuwa ni uchochezi na chuki, si kweli. Uandishi unaousema ni hatari kama unahusu suala la ndani ya nchi. Kwa mfano, unapoandika habari za ugomvi wa wakulima na wafugaji. Unapokuja kwenye suala la nchi na nchi, hakuna hicho unachokisema. Kwenye nchi na nchi lazima kuonyesha msimamo dhidi ya adui. Kagame ni adui. Hilo halina ubishi. Alianza kumtukana Rais wetu, akasingizia kwamba hata mke wa Rais ni Mhutu. Akatangaza hadharani kwa kutumia maneno "I will hit him". Yote haya kayafanya kwa kujiamini kuwa Watanzania ni mbumbumbu ambao hawawezi kujibu wala kuchukua hatua.

Linapokuja suala la nchi na nchi, hata kama Rais wetu hatumpendi, ni vema sote tukaungana kukabiliana na adui. Amini alipoanza kudai Kagera ni sehemu ya Uganda, tulimpuuza hadi akasababisha madhara makubwa. Leo Kagame anaposema "I will hit him", akimlenga Rais Kikwete, hatuna hakika kama hatatumia mbinu zilezile za kudungua ndege na kumtoa uhai kiongozi wetu.

Msimamo wangu uko wazi. Kwenye suala la heshima ya nchi yetu na utu wa Watanzania, sina namna. Mzalendo yeyote wa kweli atahakikisha Kagame anakemewa na kuonywa. Unamzungumza Obbo. Fuatilia makala zake uone anavyowashughulikia Watanzania. Nanyi kwa upofu wenu mmelegea na kumsifu kwa uandishi wake. Mimi nasema kwa kulinda maslahi ya nchi yangu, nitaendelea kuwahamasisha Watanzania wapenda nchi yao kuwa tayari kulilinda Taifa letu. Maandishi ya kuwapa ujasiri wanajeshi wetu wanaopigana na Jeshi la Kagame (M23) ni ya msingi na hayaepukiki. Huo ndiyo ukweli hata kama unawauma kama huyu ndugu yangu anayejaribu kunitukana na PPI (maradhi ambayo huwasumbua zaidi kina mama).
 
Back
Top Bottom