Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania


Kwa hili hunidanganyi eti watutsi wa Tanzania thubutuuu...hawa hata iweje wanajijua ni wanyarwanda huwezi linganisha na wamasai au wajaluo wa tz ambao wenyewe piga ua hawawezi kujisema eti ni wakenya...mie nimesoma na hao unaosema watutsi wa kibongo baada ya PK kuchukua nchi tu woootee walirudi huko na wamepewa kazi nzuri but walipokua huku walikua wanajidai wazalendoo....hili janga alilileta huyo JKN-RIP...aliwaamini akawapa post nzuri nzuri hadi maubalozini na TISS kumbe alikua anatuletea majanga tu....kwa hili la sasa tuko pamoja sana JK...
Huna la maana unalolijua zaidi ya kuugua ugonjwa unaoitwa Kikwete! Kwani wewe na Kikwete ni wazalendo? Mbona mnasafirisha twiga wetu kupeleka uarabuni! Na kwa nini nikudanganye wakati Kikwete ameshakumaliza?
 
Manyerere, nilikuwa napenda sana kusoma makala yako Rai, na nilikuwa nakuona mwandishi mahiri sana, nilikupenda, ila leo ume-ni disappoint, najua hapa utapata kudos nyingi kwasababu ya aina ya watu wanaojadili mijadala hapa, lakini sikutegemea kuwa mwandishi wa hadhi yako achochee vita na nchi jirani, hii haipo duniani mwandishi wa habari kuchochea vita waziwazi, fanya utafiti. Kisha unakuja na himaya ideology, hii nimeifanyia utafiti na nita-post walaka original ambao umekuwa ukitumiwa kueneza hii campaign

...kumbuka VITA ya weza kuwa njia nzuri na ya haraka kuifikia AMANI...
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

mtawatambua kwa maneno yao! ww hakika ni mtutsi!
 
Maskini hohehahe wa kutupa lakini mnawaza ukabila tuu,kama yeye ni mtutsi shida yako nini?
Acha matusi, hata ww ndio walewale! Ndio maana unapinga tu chochote kile ambacho kinaibua mipango ya hila ya kitutsi! Sina ugonvi na watusi ila nina shida ya hao wanaowanyanyapaa wengine kwa kujiona utusi wao ni wa bora kuliko wenine!
 
Acha matusi, hata ww ndio walewale! Ndio maana unapinga tu chochote kile ambacho kinaibua mipango ya hila ya kitutsi! Sina ugonvi na watusi ila nina shida ya hao wanaowanyanyapaa wengine kwa kujiona utusi wao ni wa bora kuliko wenine!
Hayo ni mawazo yako na hakuna kitu kama hicho cha watutsi kujiona superior zaidi ya wengine,ni maskini tuu kama waafrica wengine,mawazo hayo ndio yalipekea kutokea genocide Rwanda maana hutus waliambiwa tutsi wanawadharau na wanataka kuwatawala...mambo ya kijinga sana!!
 
Buhima empire ya Kagame,museveni, Evariste na Magufuli ni kama imeanza kujipa nguvu
 
Back
Top Bottom