Unaonaje ukaanzisha mada yako,mimi sio ccm..
Zipo sababu nyingi zinazomfanya Rais Kagame awe mbogo. Nitajaribu kuziainisha hapa kwa ufupi tu. Mosi, Tanzania tunakubalika sana kimataifa. Kwenye diplomasia tumeiacha mbali Rwanda. Hili linamuudhi sana kwani anaamini yeye ni bora na maarufu zaidi.
Kitendo cha Rais Barack Obama wa Marekani kuja Tanzania na kuziacha Rwanda, Uganda na hata Kenya kimewaudhi, na kwa kweli tunaweza kusema hii imekuwa nguzo imara iliyoibua mshikamano na mapenzi ya ghafla miongoni mwao. Rwanda ikijiona kuwa ndiyo nchi inayoinukia kiuchumi kwa kasi, ilidhani ina sifa zote za kuiwezesha kutembelewa na Rais Obama. Uganda ambayo ilikuwa mshirika mkuu wa Marekani, inaona Tanzania imechukua nafasi yake. Imeingiwa wivu! Kenya ambayo inaamini Obama ni wao kwa sababu babake ni Mkenya, imechukizwa kuona ikipigwa kumbo na Tanzania. Hawa watatu-Kagame, Museveni na Kenyatta-wameungana kuichukia Tanzania kwa sababu tu ya kumkosa Obama.
Pili, kinachomsumbua Rais Kagame na washirika wake ni uamuzi wa Tanzania wa kutaka Shirikisho la Kisiasa la nchi wanachama wa EAC liende hatua kwa hatua. Msimamo wa Tanzania umekuwa kwamba maoni ya wananchi ni muhimu mno kabla ya kuchukua uamuzi wowote. Kwao, Tanzania ndiyo kikwazo cha kuwa na serikali moja ya EAC. Hapa ni vema Watanzania wakakumbuka namna Rais Museveni alivyokuwa amejiandaa kuwa Rais wa Kwanza wa Shirikisho la Afrika Mashariki. Sidhani kama ameshaufuta mpango huo.
Baada ya kuona Tanzania tukitaka jambo hili liende hatua kwa hatua, watatu hawa wameungana sasa kutaka shirikisho lao la kisiasa, huku wakiiacha nje Tanzania na Burundi. Wanajidanganya bure. Lakini hapana sababu ya kulumbana nao. Kama wanataka kuanzisha, waanzishe tu. Hakuna haja ya ugomvi. Wakianzisha kutakuwa na nchi mbili-hiyo ya Shirikisho, na Tanzania kwa upande mwingine.
Hapa ni vema kwanza tukatambua kuwa Tanzania ni nchi kubwa. Ukichukua Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya, ukaziweka pamoja, bado ni ndogo kwa Tanzania. Hatuna sababu ya kuogopa.
Tatu, hawa jamaa kiu yao kubwa kabisa ni ardhi ya Tanzania. Ukiacha tamaa ya kutaka kuitawala kanda yote hii, kiu yao ya kweli ni ardhi ya Tanzania. Wamepambana kwa hali na mali kuhakikisha kuwa ardhi inakuwa moja ya mambo kwenye shirikisho. Wanataka Mkenya, Mganda, Mnyarwanda na mwanachama mwingine yeyote, akitaka kuingia Tanzania, basi apewe uraia wa kudumu na apata ardhi bila masharti!
Me mlamba via2,wewe unalambwa nin mpaka ukawa fish,sema usifanywe mjinga na sio usimamie watanzania while wewe mtutsi mjinga..,maendeleo ya nchi yako palepale hata kama Pk atajipendekezaSiyowewe uliyesema waasi wote wanyang'anywe silaha kule DRC, swali likaja hapa kwetu tanzania, wale wanaopiga risasi mapadri, kuuwa shehe kule zanzibar, kumwagia tindikali mashekhe kule Arusha na zanzibar, kulipuwa mabomu kwenye mikusanyiko ya kisiasa na kutesa watanzania kama vile kibanda na ulimboka mmefikia wapi kiasi kwamba sasa Tanzania ni safi hata mkrupuke kuenda DRC? au Kuitaka vita na Kagame? Msitufanye watanzania wajinga sawa we mlamba viatu wa magogoni! kama huna majibu bora kukaa kimya acha uzezeta.
Kagame hajagombana na Tanzania wamepishana maneno na JK, na wamemwomba Museveni awapatinishe, aidha maelekezo ya UN, Waziri Membe aliyatolea ufafanuzi mzuri tu ni kuhakikisha hakuna movement ya M23 au RPF kati ya mpaka wa Rwanda na DRC na Marekani walitaka wapeleke drones kwa ajili ya uchunguzi wa military movement across the border sasa wewe unaposema waishambulie Rwanda na waishie Kigali ni kwa maelekezo ya nani? Bila shaka wewe umezaliwa baada ya vita ya Tanzania na Uganda na sidhani kama JKT ulipitia, usingetoa mapendekezo haya, or else watu mnatumika kutaka ku divert attention yetu ya 2015 msingizie kuna vita msogeze mbele uchaguzi hatutaki na hatupigani na mtu!
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!
Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.
Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.
Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?
Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.
Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.
We kweli kilaza nikushawishi kwani nakuomba mchango wa harusi,siko hapa kukusanya maoni wewe kama unafikir nipo kukushawishi imekula kwako,muda ukifika utajua umepangiwa kuokota kuni,kupiga kwata au kubeba masufuria,wengine mnavipaji humu..
Manyerere, nilikuwa napenda sana kusoma makala yako Rai, na nilikuwa nakuona mwandishi mahiri sana, nilikupenda, ila leo ume-ni disappoint, najua hapa utapata kudos nyingi kwasababu ya aina ya watu wanaojadili mijadala hapa, lakini sikutegemea kuwa mwandishi wa hadhi yako achochee vita na nchi jirani, hii haipo duniani mwandishi wa habari kuchochea vita waziwazi, fanya utafiti. Kisha unakuja na himaya ideology, hii nimeifanyia utafiti na nita-post walaka original ambao umekuwa ukitumiwa kueneza hii campaign
@Manyerere Jackton nenda na wewe ukafe kishujaa! mnaniboa sana wabongo mnavyochochea huu ugomvi! ndugu zetu wanakufa, eti mnasema wamekufa kishujaa, kishujaa? "kishujaa my ass" kwanini na wewe usiende ukafe kishujaa!
@Manyerere Jackton nenda na wewe ukafe kishujaa! mnaniboa sana wabongo mnavyochochea huu ugomvi! ndugu zetu wanakufa, eti mnasema wamekufa kishujaa, kishujaa? "kishujaa my ass" kwanini na wewe usiende ukafe kishujaa!
Manyerere Jackton ni kichaaa,,,,, huwezi kuzungumza ubaguzi wa waziwazi namna hii halafu ukaendelea kujiita muandishi wa habari. This is pathetic, poor you, unaendeshwa na jazba na mihemko badala ya thinking. Hihi sio zama za ubaguzi wa kikabila, inaelekea ukiwamaliza waTusi utatugeukia wabena. Shame on you broda.Tumeanza kuwatambua watutsi humu JF. Tujadili mada, kejeli na matusi tuviweke pembeni.
@Manyerere Jackton nenda na wewe ukafe kishujaa! mnaniboa sana wabongo mnavyochochea huu ugomvi! ndugu zetu wanakufa, eti mnasema wamekufa kishujaa, kishujaa? "kishujaa my ass" kwanini na wewe usiende ukafe kishujaa!
Manyerere Jackton ni kichaaa,,,,, huwezi kuzungumza ubaguzi wa waziwazi namna hii halafu ukaendelea kujiita muandishi wa habari. This is pathetic, poor you, unaendeshwa na jazba na mihemko badala ya thinking. Hihi sio zama za ubaguzi wa kikabila, inaelekea ukiwamaliza waTusi utatugeukia wabena. Shame on you broda.
manyerere lazima utakuwa mwehu wewe,na sijui kwanini Jf wamekuachia umwage sumu zako humu na mnaomshangilia nina wasiwasi na kama vichwa vyenu ni vizima na nyie.