Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

Tatizo la wabunge wengi wa ccm ni vihiyo, wao wanafikiria maslahi ya chama tu
Sio wa bunge Tu hata Wana jf kibao
Hawa wanafunzi 7000wanagusa watu wengi Tu wala sio wapinzani peke Yao ila unaona mtu Anatandika uchafu utadhani c mtanzania wala wengine hawajui kinachoendelea
 
Mgogoro wa wanafunzi UDOM na ule wa wahadhiri wao unabeba sura ya kisiasa tena siasa za kuangamiza taifa letu, Nasema haya nikisikitika kwa kinachoendelea katika uwanja wa siasa leo,

Hawa wanafunzi waliofukuzwa UDOM walichaguliwa baada ya kufaulu vizuri(alama A na B) masomo ya sayansi kidato cha nne kutokana agizo la serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete la kuitaka wizara ifanye njia za makusudi kupunguza tatizo la walimu wa sayansi katika shule za sekondari kidato cha 1-4.

Ilianzishwa mpango maalumu (Diploma Special Program) iliyozinduliwa na Rais kwa pesa zilizoombwa bungeni kisheria (bunge liliridhia) kuwasomesha vijana hao kwa gharama za serikali ili wakafundishe O-level katika shule za serikali kisha baadaye wakasome degree. Kazi ya kuwadahili vijana hawa ilifanywa na serikali yenyewe kupitia TCU.

Leo serikali ya chama kilekile na bunge lake lilelile wamekuja na waziri wa chama kilekile wanashindwa kuwalipa malipo wakufunzi wa wanafunzi hao na kupelekea mgomo wa wahariri, hawaishi hapo wanakwenda chuoni na kuwafukuza wanafunzi hao wasio na hatia, wanataka dunia iamini kuwa serikali iliyopita ni nyingine kabisa na haina mazuri iliyoyafanya na ilikua inaongozwa wajinga! Katika bunge lilelile na spika wa chama kilekile wanazuia hoja binafsi ya Mbunge wa upinzani anayetaka bunge lijadili mgogoro huu na kunusuru hatari inayowakumba watoto wetu hapo UDOM, na zaidi mbunge huyo ananyanyuliwa mzobemzobe na polisi na kutupwa nje ya lango la Bunge

Leo ni vijana hao hao kama wangeamua kwenda kidato cha tano wangemaliza form six mwaka jana lakini walijitolea na pamoja na kufaulu kwa division one na two zao kusaidia taifa. Leo wanafukuzwa kwa mabomu na mbwa wa polisi.

Unapowaondoa wanafunzi 7,802 ndani ya saa 24 sijui hii serikali ya CCM inawaza nini....

Ili waondoke wote hapo yanahitajika mabasi zaidi ya 150 ambayo ni karibu nusu ya mabasi yote yanayoondoka Ubungo kwa siku 1 kwenda nchi nzima, Haujafikiria watalala wapi...watakula wapi...

Na: Yericko Nyerere
Maelezo yako kukubaliana nayo nahitaji upande wa serikali niwaskie pia kwenye hili jambo. Isije ikawa mwamba ngoma, kwani na wanasiasa hii ni opportunity.
 
Sio wa bunge Tu hata Wana jf kibao
Hawa wanafunzi 7000wanagusa watu wengi Tu wala sio wapinzani peke Yao ila unaona mtu Anatandika uchafu utadhani c mtanzania wala wengine hawajui kinachoendelea
Ni kweli kabisa mkuu watu wa ccm laana ya utesaji na unyanyasaji wa wananchi itaendelea kuwatafuna
 
Pumbafu na wewe nakujumlisha na Kukupuuza km serikali yako inavyoendesha mambo kipuuz
Cement bei ni 10000
Watoto wetu wanasoma bure
Huduma za afya zimeimprove
Mapato ya tra ni trillions per month
Ujenzi Wa flyover umeanza.

Kwenu nyinyi nyumbu huku ni kuongoza mambo kipuuzi??

Ukawa itawachukua miaka 1000 kuingia ikulu kwa sababu inaonyesha hawajui watanzania wanataka nini.

Watanzania wanataka maendeleo na siyo zomeazomea( ujinga mtupu)
 
Kwa bahati mbaya nyie mnaojifanya mna hoja, nyingi ya hoja zenu ni za kulamisha na zinasonga mbele kwa nguvu ya dola. Matokeo yake kila siku ni ahadi tamu tamu kwa wananchi ila matokeo ni ya kutafuta kwa tochi.
Kwa taarifa yako watoto wetu wanasoma bure.
 
ndug
Serikali hii hii ilitoa masaa 24 kwa wanafunzi wote wa St Joseph Arusha na Songea, hivi wale walifikaje makwao? Au wale walikuwa wanachuo na hawa ni wanafunzi. Wanaambiwa Lukuvi atakuja na tamko la serikali jioni ya kikao hiki hawataki wasaidiwaje?
ndugu, hali ya watanzania wengi ni ya chini sana hata kusomesha watoto bila ya mikopo ni vigumu : kama st joseph waltimuliwa ndaya 24 hrs yalikuwa ni makosa nasi vizuri kutumia referenci yenye makosa
 
Mgogoro wa wanafunzi UDOM na ule wa wahadhiri wao unabeba sura ya kisiasa tena siasa za kuangamiza taifa letu, Nasema haya nikisikitika kwa kinachoendelea katika uwanja wa siasa leo,

Hawa wanafunzi waliofukuzwa UDOM walichaguliwa baada ya kufaulu vizuri(alama A na B) masomo ya sayansi kidato cha nne kutokana agizo la serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete la kuitaka wizara ifanye njia za makusudi kupunguza tatizo la walimu wa sayansi katika shule za sekondari kidato cha 1-4.

Ilianzishwa mpango maalumu (Diploma Special Program) iliyozinduliwa na Rais kwa pesa zilizoombwa bungeni kisheria (bunge liliridhia) kuwasomesha vijana hao kwa gharama za serikali ili wakafundishe O-level katika shule za serikali kisha baadaye wakasome degree. Kazi ya kuwadahili vijana hawa ilifanywa na serikali yenyewe kupitia TCU.

Leo serikali ya chama kilekile na bunge lake lilelile wamekuja na waziri wa chama kilekile wanashindwa kuwalipa malipo wakufunzi wa wanafunzi hao na kupelekea mgomo wa wahariri, hawaishi hapo wanakwenda chuoni na kuwafukuza wanafunzi hao wasio na hatia, wanataka dunia iamini kuwa serikali iliyopita ni nyingine kabisa na haina mazuri iliyoyafanya na ilikua inaongozwa wajinga! Katika bunge lilelile na spika wa chama kilekile wanazuia hoja binafsi ya Mbunge wa upinzani anayetaka bunge lijadili mgogoro huu na kunusuru hatari inayowakumba watoto wetu hapo UDOM, na zaidi mbunge huyo ananyanyuliwa mzobemzobe na polisi na kutupwa nje ya lango la Bunge

Leo ni vijana hao hao kama wangeamua kwenda kidato cha tano wangemaliza form six mwaka jana lakini walijitolea na pamoja na kufaulu kwa division one na two zao kusaidia taifa. Leo wanafukuzwa kwa mabomu na mbwa wa polisi.

Unapowaondoa wanafunzi 7,802 ndani ya saa 24 sijui hii serikali ya CCM inawaza nini....

Ili waondoke wote hapo yanahitajika mabasi zaidi ya 150 ambayo ni karibu nusu ya mabasi yote yanayoondoka Ubungo kwa siku 1 kwenda nchi nzima, Haujafikiria watalala wapi...watakula wapi...

Na: Yericko Nyerere
Mzee wa upotoshaji upo kazini. Sio kutoa lawama kwa serikali wakulaumiwa ni wahadhiri ambao wanataka kujitajirisha kwa hii program. Wao wnataka milioni mia tisa wakati program ilipangiwa milioni mia mbili. Hivyo mjadala unaendelea. Wahadhiri na baadhi ya wapumbavu wameanza kuwatumia hawa watoto kufanya maandamano na fujo ili kuishinikiza serikali ikubaliane na wahadhiri katika hali isiyo ya utulivu.
Serikali imeusoma mchezo na kuamua kuwaondoa hao wanafunzi ambao walitaka kutumika kama ngao au chombo cha kuwezesha madai ya kinyonyaji. Hawa watoto wamelipwa pesa zao za mkopo za muhula huu waliokuwa wanaanza.
Sasa tukio hili litaifanya serkali kuangalia njia mbadala kama kuendeleza majadiliano na wahadhiri ama kuitoa hii progamu pale UDOM na kuipeleka kwingine.
Nyie wanafiki wa chadema mlidhani hii serikali ya kubembelezana, mkaamua kuvamia tukio kama kawaida yenu; nyie ni watu wa kuvizia mizoga na kuibebea bango, safari hii yupo kiboko yenu ni kuwatoa njee ya bunge mwende kulewa.
 
Lakini kumbuka maamuzi yoyote katika vyuo au elimu ya juu huzingatia usalama wa watu na mali za taasisi. Katika hali ya mgomo wa muda mrefu wa Wahadhiri wa UDOM usitaraji walitegemea uamuzi huu wa serikali walitegemea serikali kuja na jibu la kulipwa fedha za ziada kwa kazi hii mpya (za ziada kwa sababu tayari wana mshahara kama wahadhiri wa chuo kikuu) Unapowaondoa wanafunzi maana yake unafuta ndoto zao za kuendelea kuichuna serikali. unawaondoa wanafunzi masaa 24 kuepuka uchochezi unaoweza kufanywa kuwaingiza wanafunzi kwenye ugomvi usiowahusu.
 
Ww kweli ni katili serikali inaweza kutengeneza program bila ya kuyaangalia haya yote inayosema na unafurahia watoto kukaa mwezi mzima bila ya yakufundishwa au kwasababu sio watoto wako au buku saba inakutia upofu
Mzee wa upotoshaji upo kazini. Sio kutoa lawama kwa serikali wakulaumiwa ni wahadhiri ambao wanataka kujitajirisha kwa hii program. Wao wnataka milioni mia tisa wakati program ilipangiwa milioni mia mbili. Hivyo mjadala unaendelea. Wahadhiri na baadhi ya wapumbavu wameanza kuwatumia hawa watoto kufanya maandamano na fujo ili kuishinikiza serikali ikubaliane na wahadhiri katika hali isiyo ya utulivu.
Serikali imeusoma mchezo na kuamua kuwaondoa hao wanafunzi ambao walitaka kutumika kama ngao au chombo cha kuwezesha madai ya kinyonyaji. Hawa watoto wamelipwa pesa zao za mkopo za muhula huu waliokuwa wanaanza.
Sasa tukio hili litaifanya serkali kuangalia njia mbadala kama kuendeleza majadiliano na wahadhiri ama kuitoa hii progamu pale UDOM na kuipeleka kwingine.
Nyie wanafiki wa chadema mlidhani hii serikali ya kubembelezana, mkaamua kuvamia tukio kama kawaida yenu; nyie ni watu wa kuvizia mizoga na kuibebea bango, safari hii yupo kiboko yenu ni kuwatoa njee ya bunge mwende kulewa.
 
Hizi sarakasi za serikali ya majipu naona zimezidi sasa! Ngoja Tuone mwisho wake
 
Mgogoro wa wanafunzi UDOM na ule wa wahadhiri wao unabeba sura ya kisiasa tena siasa za kuangamiza taifa letu, Nasema haya nikisikitika kwa kinachoendelea katika uwanja wa siasa leo,

Hawa wanafunzi waliofukuzwa UDOM walichaguliwa baada ya kufaulu vizuri(alama A na B) masomo ya sayansi kidato cha nne kutokana agizo la serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete la kuitaka wizara ifanye njia za makusudi kupunguza tatizo la walimu wa sayansi katika shule za sekondari kidato cha 1-4.

Ilianzishwa mpango maalumu (Diploma Special Program) iliyozinduliwa na Rais kwa pesa zilizoombwa bungeni kisheria (bunge liliridhia) kuwasomesha vijana hao kwa gharama za serikali ili wakafundishe O-level katika shule za serikali kisha baadaye wakasome degree. Kazi ya kuwadahili vijana hawa ilifanywa na serikali yenyewe kupitia TCU.

Leo serikali ya chama kilekile na bunge lake lilelile wamekuja na waziri wa chama kilekile wanashindwa kuwalipa malipo wakufunzi wa wanafunzi hao na kupelekea mgomo wa wahariri, hawaishi hapo wanakwenda chuoni na kuwafukuza wanafunzi hao wasio na hatia, wanataka dunia iamini kuwa serikali iliyopita ni nyingine kabisa na haina mazuri iliyoyafanya na ilikua inaongozwa wajinga! Katika bunge lilelile na spika wa chama kilekile wanazuia hoja binafsi ya Mbunge wa upinzani anayetaka bunge lijadili mgogoro huu na kunusuru hatari inayowakumba watoto wetu hapo UDOM, na zaidi mbunge huyo ananyanyuliwa mzobemzobe na polisi na kutupwa nje ya lango la Bunge

Leo ni vijana hao hao kama wangeamua kwenda kidato cha tano wangemaliza form six mwaka jana lakini walijitolea na pamoja na kufaulu kwa division one na two zao kusaidia taifa. Leo wanafukuzwa kwa mabomu na mbwa wa polisi.

Unapowaondoa wanafunzi 7,802 ndani ya saa 24 sijui hii serikali ya CCM inawaza nini....

Ili waondoke wote hapo yanahitajika mabasi zaidi ya 150 ambayo ni karibu nusu ya mabasi yote yanayoondoka Ubungo kwa siku 1 kwenda nchi nzima, Haujafikiria watalala wapi...watakula wapi...

Na: Yericko Nyerere

Na ungeongeza wabunge waliochaguliwa na wananchi wale wale wa nchi ile ile wa wenye watoto hao ambao bado boom lao wanalo lakini wanadai hawana nauli. Wanafunzu waliokuwa kila siku wanajiuza na wabunge kwenda kununua lakini eti leo ni malaika. Mbona kwa Dr Ulimboka hamkusema kitu? Roho ngapi zipo hatarini mpaka leo kwa mambo ambayo hayajarekeishwa? Na bado....., tutaelewa tu,mbona mnazunguka sana?
 
Ww kweli ni katili serikali inaweza kutengeneza program bila ya kuyaangalia haya yote inayosema na unafurahia watoto kukaa mwezi mzima bila ya yakufundishwa au kwasababu sio watoto wako au buku saba inakutia upofu
Mbona nilichoandika kinaeleweka? Wakati wanafunzi wakija chuoni wahadhiri walikuwa hawajagoma. Baada ya kuanza kufundisha, wahadhiri waliamua kudai kiasi hicho cha fedha tofauti na makadirio ya serikali kama nilivyoandika. Mjadala na wahadhiri umekuwa ukiendelea karibu miezi mitatu sasa. Baada ya kuona watoto wameanza kutumiwa na wanasiasa na wao wakaitika huo ujinga wa wanasiasa wa upinzani, serikali imeamua kuwaondoa chuoni.
Huenda na hii program ikawa ndio mwisho wake kama wahadhiri wataendelea na hujuma hii. Nikutake uwe unasoma na kuelewa. Serikali imevumilia karibu miezi mitatu.
Kama wewe na wenzio mnauchungu na hawa vijana toweni lawama kwa wahadhiri kwani wameshindwa kuwafundisha wadogo wao kwa tamaa ya pesa
 
Godfrey-K, kuna watu wa kupuuzwa humu jamnvini. Huyu Mwasita ni mmoja wao.

Mtu ambaye antoa hoja za maudhi katika kipindi ambacho vijana zaidi ya 7000 wanasimamishwa masomo bila sababu za msingi ni wa kupuuzwa na kuhurumiwa. Kwa bahati mbaya hata wengi wa wawakilishi wetu ni kama huyu kihio. Msamehe bure.
Huyo mwasita yeye anachojali ni kuhakikisha anapata buku zake 7 kutoka lumumba, na huo ni ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom