Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

Hakika nimeamini vijana wa kitanzania hatujitambui tunashindwa kweli kutofautisha siasa na jambo la muhimu kama hili!. Tunashindwa kuonyesha uchungu kabisa kwa wadogo zetu.
Vichwa vingi vya vijana wa lumumba ni vitupu kwani kwao chama ni zaidi ya chochote na wana roho mbaya sana kuliko hata nyoka mwenye sumu kali
 
Tatizo la wabunge wengi wa ccm ni vihiyo, wao wanafikiria maslahi ya chama tu

Mbali na wabunge hawa wa ccm kuwa vihiyo, pia ni wanafiki, lakini zaidi ya yote wanajua kuwa usipokubaliana na maamuzi ya chama, ubunge utaota nyasi baada ya kwisha miaka mitano ya ubunge.
 
Kifaurongo said:
Serikali hii hii ilitoa masaa 24 kwa wanafunzi wote wa St Joseph Arusha na Songea, hivi wale walifikaje makwao? Au wale walikuwa wanachuo na hawa ni wanafunzi. Wanaambiwa Lukuvi atakuja na tamko la serikali jioni ya kikao hiki hawataki wasaidiwaje?
UUnafahamu kwamba hawa watato wamemaliza tuu form four majuzi ndo wakawashawishi waje kuuchukuwa hiyo course? Jiulize ikiwa std seven wanamaliza wakiwa na 14 yrs wana miaka mingapi sasa? Utawalinganisha wa na wa degree program? Unaweza kweli kumfukuza na kuwaacha warande rande mtaani?
 
Mbali na wabunge hawa wa ccm kuwa vihiyo, pia ni wanafiki, lakini zaidi ya yote wanajua kuwa usipokubaliana na maamuzi ya chama, ubunge utaota nyasi baada ya kwisha miaka mitano ya ubunge.
Na hilo ndio lina endelea kulitafuna bunge na taifa letu maana hakuna mbunge wa ccm anaye ingia bungeni kwa kujitegemea, ndio maana utawasikia wabunge wengine wanaingiza mipasho bungeni ili mradi tu kuwafurahisha watawala wao
 
Mimi siyo CDM wala CCM ila siwezi kuvumilia mambo yanavyofanywa ya kunyanyasa na kudhalilisha km yalivyofanywa leo.Nikikumbuka msoto wa chuoni pale boom likikata natamani kulia,tulikua tunashindia mkate na maji tu ila leo wanafunzi na vijana wenzetu wanafanyia uhuni kama huu...yaani hapa hamna cha LUMUMBA wala UFIPA we have to join to fight against this humilation.Haiwezekani Spika atoe maamuzi ya hovyo hivi na waziri wa elimu atoe majibu ya marahisi hivyo..Haiwezekani kabisa.Huyu Naibu spika atakua amesoma kwa shule za juu hajui uchungu na machungu ya vyuoni,pia atakua hana mtoto anayesomea shule za serikali ndio maana hana ubinadam ndani ya nafsi yake.Vijana wote tulaani kabisa maamuzi ya Naibu spika,haki lazima itendeke


Kwa hiyo tukusaidaeje sasa?​
 
..... wacha waisome namba heee... ccm mbele kwa mbele....
 
Back
Top Bottom