Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

Ni wanafunzi 7802. Hakua aliyekatiza ndoto zao. wataendelea na masomo baada ya kurekebisha kasoro za BRN. Hizo ndizo garama za mabadiliko. Umesoma taarifa ya serikali?
Taarifa ya serikali imekuja wakati hao vijana wapo dodoma mitaani wakitaabika baada ya kufukuzwa kama wametenda kosa la kijinai, unawapelekea polisi, mbwa watoto wa wenzako!
 
Taarifa ya serikali imekuja wakati hao vijana wapo dodoma mitaani wakitaabika baada ya kufukuzwa kama wametenda kosa la kijinai, unawapelekea polisi, mbwa watoto wa wenzako!
That is how states work all over the world.
 
Wafukuzwe tu maana hamna namna nyingine sasa.

Kazi yao imekuwa kudandia dandia tu hoja.

Hivyo kabisa

Lazima useme hivyo kwa vile hukusoma, huna kijana kijana anayesoma hivyo huwezi kuona athari za kumfukuza kijana chuoni ndani ya saa 24 kwa kosa sio lake, unachojua tuu ni matumizi ya smartphone katika mitandao na kudhani una akili ya kujadili jambo.
Wewe ni mzigo zaidi ya mzigo.
 
Kama tuna ongelea Mti una matatizo unakauka hauna matunda mazuri na hauzalishi sawa sasa basi mara nyingi Tatizo ni Root yake...kule kwenye mizizi ndio kuna problem.
Mfano huu pia unatumika kwenye taasisi au organasation...ukiona idara zote zinayumba , haziwezi kutoa uamuzi wowote au unatoa maamuzi ya kufurahisha bodi ...huku hisa zinaporomoka basi ujue tatizo ni manager..manager aidha hana uwezo au haambiliki hivyo hawa wachini wanaogopa kufanya sahihi wana ogopa kufukuzwa...#hapahofutu

Tuko pamoja mkuu, wachina wanasema "Samaki akianza kuoza, huanzia kichwani"
 
Mbona naona kuna tofauti kati ya SITA na MAKINDA na NDUGAI na huyo mdada. Huyu mdada ndo kila kitu au hii ndo 50/50 waliokuwa wanalilia wamama
 
duh...
who is next ??
nina mashaka hata wanandoa nao kutimuliwa ndoani..
 
Hakika nchi hii ina mhimili mmoja tu nao ni serikali.......mihimili mingine ni kiini macho
 
Tujitahidi kutoa mapendekezo zaidi kuliko kubaki tunalaumu tu.
 
Back
Top Bottom