Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.

Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.

Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.

Sasa mjinga kama huyu wa kutembea na trends umpe nchi aifanyie nini?

Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend

Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.

Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba.

Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.

Kwa ujinga huu hamtapata hata mtaa mmoja wa kuuongoza
 
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend kama Matahira vile.
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba. Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.

dah?,
hii hoja ni kama kupiga rungu la kichwa chenye mshono bila huruma halafu mchana kweupe kabisa :pedroP:
 
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Hao uliowaona wakipongezana ulifanya sensa ukajua ni wapinzani au ni uchawa tu unakusukuma kuwaita wapinzani? Shughulikieni sababu zinazowafanya raia wawachukie viongozi, na sio kuwabatiza wanaohoji utekaji, mauaji, ufiraji, wizi wa rasilimali za taifa n.k. kuwa ni wapinzani.
 
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend kama Matahira vile.
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba. Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.
Kwa ujinga huu hamtapata hata mtaa mmoja wa kuuongoza
Kuna yule mpuuzi wa Arusha ambae(Lema) hadi aandikiwe cha kupost na Malisa na kenge Twaha ndio wanaongoza kusambaza ushuzi mitandaoni.
 
jina tu linakukosesha uhalali wa kukemea lolote ukiwa neutral, awamu hii ikiisha unabadili tena ID, kua chawa ni kazi kweli kweli
 
Kwasasa chama Dola CCM kinapambana na watanzania Wananchi wa kawaida kabisa wengine hata vyama hawana. Kuingiza upinzani wakati upinzani nchii hii hakuna ni kutaka kukwepa uwajibikaji. Labda useme Wananchi wanaoipinga serikali haramu hapo kidogo unaweza kueleweka. Ukweli Huwa haujifichi na ukilazimisha sanaa kuukwepesha utadhalilika hili ni angalizo tu nawapa Wana CCM wenzangu.
 
Hao uliowaona wakipongezana ulifanya sensa ukajua ni wapinzani au ni uchawa tu unakusukuma kuwaita wapinzani? Shughulikieni sababu zinazowafanya raia wawachukie viongozi, na sio kuwabatiza wanaohoji utekaji, mauaji, ufiraji, wizi wa rasilimali za taifa n.k. kuwa ni wapinzani.
Kupitia mitandao ya kijamii walionyesha dhahiri jinsi walivyo na akili ndogo.
 
Kwasasa chama Dola CCM kinapambana na watanzania Wananchi wa kawaida kabisa wengine hata vyama hawana. Kuingiza upinzani wakati upinzani nchii hii hakuna ni kutaka kukwepa uwajibikaji. Labda useme Wananchi wanaoipinga serikali haramu hapo kidogo unaweza kueleweka. Ukweli Huwa haujifichi na ukilazimisha sanaa kuukwepesha utadhalilika hili ni angalizo tu nawapa Wana CCM wenzangu.
Watanzania wa wapi,tunawekana tu kwenye mikumbo?
 
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.
Sasa mjinga kama huyu wa kutembea na trends umpe nchi aifanyie nini?
Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend kama Matahira vile.
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba. Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.
Kwa ujinga huu hamtapata hata mtaa mmoja wa kuuongoza
Mama watoto mtarajiwa mambo? Siku nikiweka ndani na kula utakacho huu ujinga utaanza ujutia.

BI MKUBWA amekupa baraka zote, lengo muhimu ni moja tu tukupe furaha na utwongezee familia na uwe mwana familia
 
Kwasasa chama Dola CCM kinapambana na watanzania Wananchi wa kawaida kabisa wengine hata vyama hawana. Kuingiza upinzani wakati upinzani nchii hii hakuna ni kutaka kukwepa uwajibikaji. Labda useme Wananchi wanaoipinga serikali haramu hapo kidogo unaweza kueleweka. Ukweli Huwa haujifichi na ukilazimisha sanaa kuukwepesha utadhalilika hili ni angalizo tu nawapa Wana CCM wenzangu.
Wanaozusha kifo cha samia ni genz ila yeye anasema ni kina Lema
 
Back
Top Bottom