Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

Black nyeti

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
673
Reaction score
1,089
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando.

Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama
1. ursa net vpn
2. biddinet vpn
3. ommanova vpn
4. geo tunnel vpn
Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo ambazo zenyewe zipo kwa mitandao ya Vodacom, Airtel, halotel lakin baadhi ya VPN hazipo tena play store zimetolewa kwa sababu isiyo julikana lakini kwa sisi wenye nazo bado tunadunda tu kifua mbele.
 
𝕜𝕦𝕨𝕒𝕫𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕞𝕓𝕒 𝕦𝕥𝕦𝕞𝕚𝕖 𝕧𝕡𝕟 𝕚𝕝𝕚 𝕦𝕡𝕒𝕥𝕖 𝕓𝕒𝕟𝕕𝕠 𝕝𝕒 𝕓𝕦𝕣𝕖 𝕙𝕚𝕚 𝕟𝕒𝕪𝕠 𝕟𝕚 𝕕𝕒𝕝𝕚𝕝𝕚 𝕪𝕒 𝕦𝕞𝕒𝕤𝕚𝕜𝕚𝕟𝕚.
𝕍𝕡𝕟 𝕟𝕚 𝕞𝕒𝕒𝕝𝕦𝕞𝕦 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕔𝕙𝕒 𝕦𝕥𝕒𝕞𝕓𝕦𝕝𝕚𝕤𝕙𝕠 𝕨𝕒𝕜𝕠, 𝕜𝕦𝕒𝕟𝕘𝕒𝕝𝕚𝕒 𝕤𝕚𝕥𝕖 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕫𝕠 𝕫𝕚𝕞𝕖𝕫𝕦𝕚𝕨𝕒.
𝕊𝕒𝕤𝕒 𝕜𝕦𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕧𝕡𝕟 𝕚𝕜𝕦𝕡𝕖 𝕓𝕒𝕟𝕕𝕠 𝕝𝕒 𝕓𝕦𝕣𝕖 𝕙𝕚𝕝𝕠 𝕟𝕚 𝕥𝕒𝕥𝕚𝕫𝕠
 
Tulia wewe, Dio wote tunapesa
 
𝕜𝕦𝕨𝕒𝕫𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕞𝕓𝕒 𝕦𝕥𝕦𝕞𝕚𝕖 𝕧𝕡𝕟 𝕚𝕝𝕚 𝕦𝕡𝕒𝕥𝕖 𝕓𝕒𝕟𝕕𝕠 𝕝𝕒 𝕓𝕦𝕣𝕖 𝕙𝕚𝕚 𝕟𝕒𝕪𝕠 𝕟𝕚 𝕕𝕒𝕝𝕚𝕝𝕚 𝕪𝕒 𝕦𝕞𝕒𝕤𝕚𝕜𝕚𝕟𝕚.
𝕍𝕡𝕟 𝕟𝕚 𝕞𝕒𝕒𝕝𝕦𝕞𝕦 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕔𝕙𝕒 𝕦𝕥𝕒𝕞𝕓𝕦𝕝𝕚𝕤𝕙𝕠 𝕨𝕒𝕜𝕠, 𝕜𝕦𝕒𝕟𝕘𝕒𝕝𝕚𝕒 𝕤𝕚𝕥𝕖 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕫𝕠 𝕫𝕚𝕞𝕖𝕫𝕦𝕚𝕨𝕒.
𝕊𝕒𝕤𝕒 𝕜𝕦𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕧𝕡𝕟 𝕚𝕜𝕦𝕡𝕖 𝕓𝕒𝕟𝕕𝕠 𝕝𝕒 𝕓𝕦𝕣𝕖 𝕙𝕚𝕝𝕠 𝕟𝕚 𝕥𝕒𝕥𝕚𝕫𝕠
Hii ni akili ya mjinga bora ungeuliza kwanza ..wewe ni sampuri za wale watu wapumbavu ambao wakipanga chumba au kujenga saa hiyo hiyo wanawaona wasio na nyumba wapumbavu...kwanza mtukuwa masikini siyo uhalifu mbili mtukuwa tajiri aimaanishi ni mtakatifu...inawezekana huyo tajiri ndiyo sababu za huyo masikini kuwa masikini kwa sababu utajiri wake unatokana na dhuruma ...sasa kuhusu vpn kuwa na uwezo wa bando wa bure ilitusahidia sana japo ni slow mb ...unakuta bando limeisha ila unazo hela kwenye accaunt zenye kuitaji net hapo ndipo vpn inakuokoa
 
Huwa siziamini sana VPN za free zina mambo mengi..
kuna NordVPN wako vizuri na price yao iko chini, basic ni usd 59 kwa mwaka.
Unalipia vpn ili ugundue nini sibora utengeneze yako tu kwa hiyo pesa ...vpn ni ka apk kadogo sana unaweza kukaunda hata kwa muongozo wa gpt ...apk nyingi za bure zina makando kando ya SPY ndiyo sababu ya kuwa na MB KUBWA SANA
 
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando.

Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama
1. ursa net vpn
2. biddinet vpn
3. ommanova vpn
4. geo tunnel vpn
Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo ambazo zenyewe zipo kwa mitandao ya Vodacom, Airtel, halotel lakin baadhi ya VPN hazipo tena play store zimetolewa kwa sababu isiyo julikana lakini kwa sisi wenye nazo bado tunadunda tu kifua mbele.
Hebu tusaidie wengine namna ya kuitumia VPN nimeidownload tabu ni naitumiaJe kwenye ile mitandao iliyobanwa kama X

Kama hutajali nipe jibu inbox. Lakini kama si tabu unaweza kujibu pia humu kwa wote.
 
Hii ni akili ya mjinga bora ungeuliza kwanza ..wewe ni sampuri za wale watu wapumbavu ambao wakipanga chumba au kujenga saa hiyo hiyo wanawaona wasio na nyumba wapumbavu...kwanza mtukuwa masikini siyo uhalifu mbili mtukuwa tajiri aimaanishi ni mtakatifu...inawezekana huyo tajiri ndiyo sababu za huyo masikini kuwa masikini kwa sababu utajiri wake unatokana na dhuruma ...sasa kuhusu vpn kuwa na uwezo wa bando wa bure ilitusahidia sana japo ni slow mb ...unakuta bando limeisha ila unazo hela kwenye accaunt zenye kuitaji net hapo ndioo vpn inakuokoa
𝕞𝕚𝕞𝕚 𝕡𝕚𝕒 𝕟𝕚 𝕞𝕒𝕤𝕚𝕜𝕚𝕟𝕚 𝕞𝕜𝕦𝕦, 𝕜𝕨𝕒𝕙𝕚𝕪𝕠 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕒𝕟𝕕𝕚𝕜𝕒 𝕦𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕞𝕔𝕙𝕦𝕟𝕘𝕦.
ℍ𝕦𝕨𝕖𝕫𝕚 𝕜𝕦𝕞𝕜𝕦𝕥𝕒 𝕥𝕒𝕛𝕚𝕣𝕚 𝕒𝕟𝕒𝕥𝕦𝕞𝕚𝕒 𝕧𝕡𝕟 𝕖𝕥𝕚 𝕒𝕡𝕒𝕥𝕖 𝕓𝕒𝕟𝕕𝕠 𝕝𝕒 𝕓𝕦𝕣𝕖.
𝕒𝕜𝕚𝕝𝕚 𝕙𝕚𝕫𝕚 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕫𝕠 𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕞𝕒𝕤𝕚𝕜𝕚𝕟𝕚
 
Unalipia vpn ili ugundue nini sibora utengeneze yako tu kwa hiyo pesa ...vpn ni ka apk kadogo sana unaweza kukaunda hata kwa muongozo wa gpt ...apk nyingi za bure zina makando kando ya SPY ndiyo sababu ya kuwa na MB KUBWA SANA
Situmii VPN kwa maana ya kuacces free internet. nalipia kwa ulinzi wa data zangu niwapo mtandaon hasa ktk kpnd hk ambacho wakosoaji tunaonekana waharifu.
 
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando.

Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama
1. ursa net vpn
2. biddinet vpn
3. ommanova vpn
4. geo tunnel vpn
Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo ambazo zenyewe zipo kwa mitandao ya Vodacom, Airtel, halotel lakin baadhi ya VPN hazipo tena play store zimetolewa kwa sababu isiyo julikana lakini kwa sisi wenye nazo bado tunadunda tu kifua mbele.
Kuna faini mil.5 na kifungo au vyote kutumia VPN bila Kibali.
 
Back
Top Bottom