Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.
Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.
Siyo kweli bongo ni kama mtoni,kweli??
Inawezekana wabongo kwetu kuwa na hela nyingi bank ndio mafanikio.
Bongo na mtoni haviwezi kulingana hata siku moja.
Mtu anagari la milioni 80 lakini anakaa foleni masaa mawili kila siku kwenda na kurudi kutoka Tegeta mpaka posta ukimuuliza atakwambia nayeye anaishi km mtoni.
Watoto wa Obama wanakwenda shule ambazo mmarekani wa kawaida anaweza kwenda,hapa kwetu mtoto wa ktz anasoma shule hajui maabara inafananaje wkt mtoto wa kiongozi anasoma shule ya mil 5 kwa mwaka, wkt mwalimu serikalini analipwa laki 2 kwa mwezi.
Hizo ni chache acha Afya,Umeme,maji n.k ila mtz anakwambia kuna watu wanaishi.km mtoni kwa sababu wana mishahara au income kubwa ambayo haisaidii bila mazingira kwa ujumla wake kubadilika.
Bora uendelee kubeba boksi hukohuko huku hamna lolote la maana.
Mie sitaki wabeba maboksi...nataka kubeba maboksi..naruhusiwa kukupiemu????Bongo haiko kama Marekani wala Ulaya au nchi ingine yoyote iliyoendelea. Watu huwa wanadanganyana hivyo kujipa faraja tu.
Mie sitaki wabeba maboksi...nataka kubeba maboksi..naruhusiwa kukupiemu????
ndio.
Ndio.
huwa ni movie tosha
huwa nacheka hadi nataka kuzimia
kila mmoja hutaka onekana ni juu zaidi ya wengine
hapo ndo huandaa popcorn na coke ready for the maigizo
tena zile za stejin
ndio.
Ndio.
am siriaz ujue...ngoja nikupiem kabla inbox yako haijajaa.Mie nipo ila siku hizi majukumu yameongezeka ndo maana sionekani.Heeey Zayon dota....hebu rusha hiyo PM nikupe shavu bana. Umeadimika sana wewe siku hizi.
Umekunya mara ngapi?
am siriaz ujue...ngoja nikupiem kabla inbox yako haijajaa.Mie nipo ila siku hizi majukumu yameongezeka ndo maana sionekani.
mara moja na nusu.
Kwa siku unakunya mara ngapi?
mara moja na nusu.
Kwa nini nusu?