Riwaya Nzuri Ya Kusisimua:Mapenzi Ya Kweri Sio Ya Kweri

RIWAYA TZ

New Member
Sep 21, 2021
1
0
FULL STORY

Author:KerlimKerl

Mwaka:2021



Tuna muona mdada akiwa amelala pamoja na mpenzi wake ndege ikielekea kwenda Northland.


MWANZO WA *****



"Machungwa mazur hay sijui nipatie, kata kuanzia chini ya kitovu cha chungwa kitovu kuja juu"-Story yetu ina anzia hapa tuna msikia kijana mmoja Gelnad ambae alikuwa ana nunua machungwa lakin alikuw amekwazwa kidogo na kitu ambacho atuwez kukielewa wala jua,

"Bab vp njoo twende-ili sikika sauti ya kike ambay ilikuwa iki tokea kwenye gar alikuwa amekaaa na mwenye sauti iyo alikuwa ni Elsa Alimuita Gelnad ili waondoke Gelnad ali piga hatua mpaka pale kwenye gar "Nakuj bebi nipe kama sekund sw"-Gelnad "Wat seriously una fanya nn hap cha maana icho"-Elsa,

Bas Gelnad alirudi mpaka maeneo ya sehemu ile aliy kuwa akinunua machungwa "Umerudi baba na malizia kumenya ss hvy nipe dakik"-aliongea bb yule muuza machungwa "Sw mama aina shida mke wangu msumbuf hatar"-Gelnad aliongea huku aki tabasam kidog mala hatua zili sikika "WEE BB UNA MTONGOZ UYU KIJANA AU?"-Elsa aliongea kwa kufoka "!hapan ni samehe nime na malizia ss hvy dada"-aliongea bibi yule uku akiwa na hofu "Em nipe icho kisu hapa Aliongea na kuchukua kisu sw nipe hapa shingap na hichi kisu, Aya hii apa elf ishilin nunua kisu kingin"-Elsa "Wewe umstaili uyu kijana"-aliongea yule bibi "nani anae mstaili ss wewe au? hahahahahahahah bibi kichaa wewe"-Elsa alizidi kuongea huku Gelnad aki muongalia "hey Elsa unafanya nn?"-Gelnad aliogea na kumvuta Elsa mpaka kwenye gar na kufungulia Mlango aka ingia na Gelnad akarudi kwa yule mbibi Yule bibi ali mshika Gelnad uso "Gelnad achana nae ata ku ua uyu aku staili wewe wala penzi lako" Gelnad alirudi nyuma na kuacha yale matunda pale kwenye meza ya yule bibi na kuelekea kweny gar alipo geuka nyuma bibi yule alianza kulia Gelnad alirud kwa yule bibi na kumpa pesa "Nsamehe bb"-Gelnad,

Bas alipo rudi kwenye gar wali anza safar "Uja fanya kitu kizur ume nisikia Elsa "beb ni kitu kidg tu jamn una feli wp"-Elsa "Sw tuachane na ayo"-Gelnad "Twenzet tule ujue ndo tume fika hapa Northland bado hata atuja fika kwa Rafiki yangu, dah safar ni ndef mno"-Elsa "Sw mgahawa ule"-Gelnad aliongea na kunyoosha kidole kwenye mgahawa,

Wakatoka kwenye gar "dada nsahidie ela ni nunue chakula"-Aliongea ombaomba "ehhhhhh! jamn mbon leo siku yangu imekuwa hvy, Hvy northland mbon kuna ombaomba hvy yule b..."-Elsa "iyapa chukua"-Gelnad aliotoa pesa yak "wewe emleta hapa"-Elsa Ali ichukua kwa kunyakua ombaomba yule ambae alioneka kama mtoto alikimbia Gelnad alikuw akimtazam tu "nn? kwahy leo wee ni mtu mzur na mimi mbaya sindio hhahahahaha mindo jambaz wa kwenye muvi hahajajajaj"-Elsa aliongea na kumkiss Gelnad waka ingia kwenye mgahawa ule na kukaaa kwenye vit "mna kula nn?"-Mfanya kaz "mi nipe maji machupa matatu"-Gelnad "na mimi naomba kuku pamoja na machupa matatu hehe"-Elsa mala kwenye tv ika sikika taarif "leo amepatikana mtu alie potea kwenye jangwa la sahal kwa siku mbili bahati nzur elikopta(ndege) ya ukoz ambay inapita kila siku kwa siku *****(elsa aliongea kwa nguv kumtoa gelnad ili asi sikiliz "tafadhali mji adhali na Jangwa la Sahala watu zaidi ya 5 wame potea eneo i......" "hey bab achana nay ayo mambo kwa kuhusu lile swal bado umechukia tu sindio"-Elsa,

Gelnad aligeuza sula akutaka kumuangalia uson, ilo swal nini? tuendeleee kufatilia story yet baada ya muda Elsa alisema ame shiba baada ya kunyofoa mnofu wa nyama kidogo na kuacha nyama nzima nzima "bab ndo umekul nn hv"-Gelnad "twenzetu"-Elsa,

Gelnad alimuomba muhudumu amfungie chakula kil baada ya kufungiw walitoka na alipo muona yule omba omba alimpa chakula kile waka panda na kuanza safar walisafil kwa umbali mrefu "baby naomba tu pumzike kwanza unaonaje"-Gelnad "beb una nitaka au unitak"-Elsa "hapan mi siku penda kula kwenye migahawa na taka nkalie kwa mama"-Gelnad "hahahahahha mtoto wa mama,tume fika una muda mwingi wa kukaa nae"-Elsa "sw !"-Gelnad aliongea na kushangaaa bahada ya kuona ona kwenye simu yak Gps(muongozo wa simu unao kuonyesha unapo taka kwenda) unafeli kuonyesha "babi bora tuondoke kwanza kesho tuta kuja huku we mwenyew unaona Gps aioneshi pakwenda"-Gelnad "bebi marafiki zangu wana ni ngojea alafu una sema nn"-Elsa aliongea na kuwasha Gps ya kwenye gari ambay ili kuwa inaonyesha "Unaona iyapo"-Elsa aliongea waka zidi kwenda ili kuwa ni majila ya saa kumi jioni "umechukia kisa yale mambo ya juzi sindio"-Elsa "ujui tu ulivyo ni vunja moyo wangu bc tu"-Gelnad aliongea na kunyamaza bc walizidi kuongea kumbe na GPS ika feli bila wao kujua wali safir mpak majir ya saa kumi na mbili waka sima misha gar awakujua walipo Gelnad aliwasha taa ya gar na kutoka nje "mlima ule twende tu upande labda tuta weza kupata mabarabara"-Elsa "Lakin bab tukizidi kwenda mbali sindo tuta potea"-Gelnad "sawa ngoja niende mwenyew"-Elsa aliongea na kukimbia mala Gelnad alimshika na kumuonesha ishala ya kunyamaza lilipita bonge la joka pembeni yao Kisha lilipo pita walitembea mpaka juu ya mlima ule ili kuwa saa moja lakini awa kuweza kuona chochote mala Elsa alifungua beg lake na kutoa simu "nenda pale niku pige picha"-Elsa Gelnad alienda aka Elsa aka mpiga picha kisha waka piga selfie "mbona una fulaa Selfie gan hiii ume uzunika siku nikiwa tayar nta kwambia ila sio xx usiwe wa kununa"-Elsa,

waka tembea kurudi kwenye gar na begi la Elsa lili onekana pale chini likiwa lime sahau lika pale mliman awa kuweza kujua njia walitembea kwa dakika 30 lakin ndo walizidi kupotea "tupumzike hapa kesho tuta tafuta njia"-Gelnad,

Walila pale chini usiku kipindi wame lala n'nge ali mng'ata Elsa bila kujua Siku ya kwanza ikapita Ahsubui Gelnad alimuamsha Elsa lakini alikuwa amelala tu kutokana na sumu ya N'nge Geldan alimuasha lakini akuwez kuamka "Elsaaaa amka bas"-Gelnad alilia sana na kumbena Elsa mgongoni akiwa amechoka mdomo wake ulikauka kutokana na njaa kali aliyo kuwa naya bc alitembea kwa muda mrefu mpaka saa saba uku aki chomoa manyasi na kula wadudu wa chini kisha baada ya kula vitu hvy na kulizika Alibeba Elsa mpaka kweny Sehemu ya tambalale ambapo kulikuw na kimvuli bila kuona alijikuta ana anguka na kujiumiza mguuu bac aliji vuruta mpaka pale kwenye eneo ilo akiwa ame mbeba Elsa alimuwek Elsa pale kwenye eneo lile 'Nakupenda Elsa' aliongea moyoni na kuokota fimbo na kuanza safar ya kutafuta gar, mara kama baada ya lisaa Elsa aliamka naku fumbua macho alikuwa amechoka sana mdomo wake ulikuwa na kiu na kuanza kumtafuta Gelnad baada ya lisaaa Gelnad alirudi pale alipo kuwa akumuona Elsa Siku ya pili Elsa alimtafuta Gelnad sana Na Gelnad nae alikuwa akimtafuta "ELSA UKO WAP?"-Gelnad Alikuwa aki piga mayowe wenda labda ata sikika lakini wap? ndipo alipo ona jeraha lake akilo lipata baada ya kuanguka akiwa amembeba Elsa na kupata amevuja sana damu alivua suruali yake na kuichana na kubakiwa na boxer yenyew na kufunga jeraha lile aliyake ilikuwa ambaya,Alizidi kutembea uku akiburuza fimbo ile alio kuwa ameokota mala aliona kitu alizidi kutembea ndipo aliona begi ambalo begi lile lilikuwa la Elsa jeupe 'AHHHH BEGI EHHHH MUNGU AHSANTE'-aliongea kimoyo na kuchukua chupa ya maji ambayo yalikuwepo kwenye begi lile pamoja na simu ambayo aikuwa na signal(mtandao) baada ya hapo alitembea kwa muda mrefu na kuamua kutengenez bango la msahada kwa kutumia mawe ili ndege ikija ione, mara 'siamini macho yangu'-Gelnad alifurahi baaada ya kuona gar lile Mara lijikuta ana dondoka.

Siku ya tatu "GELNAD UPO WAP BEBI"-Elsa alikuwa akimtafuta machozi na kuanguka jini "dada naomba pesa na njaaa,nsamehe na malizia kumenya machungwa, ehhhhhhhhhh kubali kubal kubal sitaki ahhhhhhhhhhhh hahahahahhahahahahshahhHahahHHahhahahHahahahahahjahHaahahahahahhahahahahHHHhHHHahHHHahhahHHahahahahahahahahahahahhahahahahaa natapika kwanini ahhhhhhhhh mbona ume kula kanyama kadogo hvy kuku wote uyu"-ahhhhhhhhhh Elsa alipiga mayowe kutoka usingizini "hivy nime lala kwa muda gan"-Elsa kuangalia saa ili kuwa saa nne "Maisha yangu yame isha hvy ndo nakufa au"-aliongea na kupeleka kiuno chake chini na kulala kifudi-fudi aka anza kulia 'gelnad kwanini ume nileta uku'-aliongea kimoyo "hahahhahahaha mi chizi nini mi ndo nlie mleta kielele changu twende twende ona sasa aahhhhhhh"-alikuwa akiongea na kucheka na kulia hapo hapo, alipo jigeuza aliona mstali mrefu aka utazama "ehhhhhhhh Gelnad we genius dah una akili sana kumbe ume acha muongoz dah"-aliongea na kufata mtali ule ambao uliachwa na fimbo ya Gelnad,

"achana nae unamenya chungwa kata kuanzia chini ya kitovu cha chungwa kitovu kuja juu DAMU DAMU DAMU DAMU AHHHHHH"-Gelnad aliamka mwili wake ulikuwa ume ishiwa damu aka amka pale chini na kuelekea kwenye gari kwa kukimbia Alipanda gari na kuwasha lika waka "ehhhhhhhh afadhali"-alifurahi sana na kulizima "itabidi ni mtafute kwanza Elsa siwezi kumuacha aliangalia Jeraha lilikuwa baya sana aka geuka kuangalia nyuma ya gar makopo yote sita yalikuwa ayana maji bac alishusha boxer chini na kujoa kwenye vichupa yale na zaidi ya vitatu sababu vilikuwa vidogo bc akitoka kwenda kumtafut Elsa akiwa amebeba begi mgongoni na vichupa vile Baada ya masaa alirudi kwenye gari lile vichupa vile vilikuwa mime isha tumbo lili muuma kutokana na kunywa mkojo wake na alikuwa na kiu sana baada ya kunywa mkojo bc aliamka baada ya muda tumbo lili muuma sana alitoka kwenye gari na kufungua sehemu ya maji ya kupooza gari ikichemka ambapo kulikuwa na maji alikunywa maji yale mpak yaka bakia kidogo aliyake Gelnad ili kuwa mbaya sana "ina bidi ni mtafute"aliongea na kuendelea kumtafuta alitembea kwa muda mrefu uku damu iki mtoka alifika sehemu na kuanguka kutokana na hali yake siku ika pita

SIKU YA NNE Elsa alitembea mpaka aka fika sehemu ambapo aliona njia mbili moja ina elekea juu nyingine chini aka amua kufata ya juu ambapo ili mchukua mpaka saa kumi na mbili jioni akafika ili kuwa ni juuu ya mlima ule 'uta kuwa Gelnad alikuja ukujuuu akarudia chini'-Elsa alikuwa na njaaa sana na hali mbaya pia bc alitembea mpaka saa tano usiku ndipo alijigonga kweny kitu asicho kijua kuangalia vizur ulikuwa ni muhili wa Gelnad "ehhhhhh Gegegegel"-alimshika Gelnad ambae akuwa na nguvu baada ya kupoteza damu "amka we mjinga usinifie mimi plzz nakupenda Gel wangu"-alikuw akimpiga mala aka tingishika "Gel umeamka"-Elsa alikuwa akimuangalia uku machozi yaki mtoka bc alimbeba na kuanza safari ya mkumrudisha kipindi wapo njiani alianza kuongea "Elsa nta tembea"-aliongea Gelnad akiwa mgongoni "hapan uwezi"-Elsa "mhhh"-gelnad alitabasamu "unajua tupo kwenye kangwa la sahala"-Gelnad "!"-Elsa alioatwa na mshangao mkubwa sana na kusimama "ndio tupo hapa nime ngundua ilo, na hapa wame potea zaidi ya watu wa 5 amepatikana mmoja tu na ambae amekuf siza...."-Gelnad "Usiongeee unapoteza nguvu"-Elsa Walitembea mpaka waka fika "mungu mungu"-Elsa alitamka neno mungu kwa furaha kitu ambacho ajawai maishani mwake "ahsante mungu nilijua ulikuwa una nipa mtihani nime jifunza sitarudia ahsante mungu"-Elsa alipiga makelele basi aka fungua mlango na kumuingiza Gelnad aka lala bc aka washa gar "Yeeessssssss" safari ika anza baada ya muda "nooooooo noooooo noooooo"-Elsa ali anza kulia macho yake yalipatwa na kiza gafla mafuta yalikuwa yame kwisha "mungu weee ufai ufai kabix ufai ufai ufai ufai ufai ufai ufai ufai ufai ufai ufai ufai acha kunipima bc nime jifunza"-aliongea na kuanza kupiga gari mala Gelnad alimuita akatoka na kwenda kufungua mlango wa nyuma "ntoe nje Elsa natak kupunga upepo"-Gelnad "hapana pumzika"-Elsa aliongea lakini Gelnad alikuonesha kuwa na anataka kwa msisitizo walitoka mpaka pembezoni mwagar lile"kuna vichupa vya mkojo nime viacha kama vitatu vita kusaidia"-Gelnad "hapana usiongee hvy babi"-Elsa ali lia sana machozi ya kimtoka pamoja na kichwa chake kili kuwa kina mu uma sana "njooo"-Gelnad alimuita Elsa na kumnong'o neza kitu "hapana tuta ondoka hapa salama ume nisikia wewe UME NIELEWA"-Elsa alikuwa na mshangao mkubwa sana kisha aka tulia "Leo ninge kula kwa mama"-Gelnad "mhhh"-Gelnad ali tabasamu "Unakumbuka nilip kutana na wewe?"-Gelnad "ndio"-Elsa ambae machozi yalikuwa yaki chuluzika "Ulini piga kofi"-Gelnad alicheka "ahahhahaha bado una kumbuka ulini chungulia"-Elsa "ili kuwa bahati mbaya ni samehe"-Gelnad "Ata usiseme hvy"-Elsa nae ali tabasamu kidogo Mala uka pita upepo "nime kubali ume nisikia wewe nime kubal kama tukitoka h....."-Elsa alipata mshangao mkubwa sana "Gelnad acha utani wewe"-Elsa alilia sana maana Gelnad alikuwa amekwisha kufa kitambo san "Wewe wewe wew amka bc plzz bebi bebi wangu acha utani bc nakupenda, ata bado atuja fanya mapenz umekufa ahhhh"-alikuwa akilia sana akipiga mabusu ya hovyo mwili wa Gelnad kila sehemu awezapo "amka bac amka weeeee"-Baada ya kulia sana alizimia,

SIKU YA TANO

Elsa alikuwa amelala na kumuomba mungu yote anayo pitia yawe ndoto Aka amka Mwili wa Gelnad ulikuwa umeanza kutoa harufu bc alikumbuka Gelnad alicho mnong'o neza "ita bidi ule muiliwangu maana uta kufa na njaaa" bc baada ya masaaa chezea njaaa alianza kuukata muili ule kuanzia kitovu kuja juuuuu na kula nyama ile aligeuka na kuwa akama kichaaa na kula muili ule kutokana na stress na maumivu aliy kuwa nayo akuwez kulia alikuwa kama amepata ukichaaa alikula na kunywa mkojo mpaka alipo shiba na kuzimia tena.



"BEBI BEBI BEBI VP WEWE"-Geldon Elsa aliamka na kumuona na kushangaaa "Gelnad!!! nakupenda NAKUPENDA" alimrukia kubusu na kumvua nguo"Bebi una fanya nn ina bidi tuanza kujipanga twende kwa rafiki zako mapema"-Gelnad "hapana twende kwa mama yako kwanza uka pate chakula"Elsa "Sw"-Gelnad alishangaaa na wakaanza kufanya mapenzi.





MWISHO WA *****



IELEWE:Mapenzi Ya Kweri Sio Ya Kweri

VITU ULIVYO MISS NA KUTO VIELEWA AU UME ELEWA VYOTE VINA ELEZEWA NA MAISHA YANAYO ENDELEA KWENYE STORY.

Mzozo:
ungependa kujua kwanini Gelnad kwenye ndoto alikuwa ame kasilika mzozo ulikuwa juzi iliyo pita Elsa alimkataa kipindi alipo mpigie magoti mbele ya uumati mkubwa wawatu na kumwambia “Will U marry me ELSA WANGU” na Elsa kukataa na hiii aikutokea kwenye ndoto tu bali na kwenye maisha ya kwer

VITU ULIVYO MISS:
huuu mwisho unaonesha aya yote yalikuwa ni ndoto ya Elsa kama onyo kwa tabia yake,napia unawez kujiuliz alipata wap kisu alipo kuwa akimkata Gelnad icho kisu alikinunua kwa bibi yule pia namba sita imetumika kama kiwakilishi cha Story yetu jina la story lina maneno sita,siku ya sita kwenye ndoto ndo siku Elsa ana amka ambayo ni masaa 6 ambaya Elsa alikuwa akiota kwenye safar ya kwenye ndege ndo muda alio kuwa akiota,Napia kwenye ndoto wamekufa watu sita pamoja na gelnad akijumuishwa pia na makopo ya maji yapo sita

MAISHA YANAYO ENDELEA:
Elsa alijifunza kuwa mwema alimpenda mmewe maana walifunga ndoa

MWISHO WA PILI:
Elsa alipo zimia alijikuta hospital akiwa amefungwa pingu siku ya SITA na kuachiwa baada ya kugundulika kuwa aja fanya mauwaj ya Gelnad
20210920_221753.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom