Wapenda wabeba maboksi

Wapenda wabeba maboksi

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,116
Reaction score
136,852
Kina dada,

Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.

Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
 
Haya wadada mko wapi?Njooni kijiwe chenu hiki!
 
Kina dada,

Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.

Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.

Nahitaji sifa zifuatazo kwa mbeba boxi huyo;
Mweusi,Mfupi,baunsa,mikono shupavu...anaenukia jasho la kazi..awe na afro ili nipate kuhesabu nywele zake akiwa anataka kupata usingizi...
 
Kloro anazo hizo sifa zote. Kimo chake ni 5'2, ana bonge la fro, kajazia....ushindwe wewe tu.
 
Mi nasubiri nione kwanza wangapi watapata na wafurahie kabla na mimi nilete ombi langu. Alafu mi sina shida akiwa mbeba maboxi, awe tu ile race ya kutoa matatizo ya wanawake wa kitanzania. lol
 
Kloro anazo hizo sifa zote. Kimo chake ni 5'2, ana bonge la fro, kajazia....ushindwe wewe tu.

Mmmh,una uhakika kuwa na yeye anatafuta lakini,usije kuwa unanilengesha sehemu ambayo tayar watu washaweka kambi....Nataka nimsikie mwenyeweeeee akija humu..sitaki kufukuzwa na kichupi mkononi mie..
 
Nahitaji sifa zifuatazo kwa mbeba boxi huyo;
Mweusi,Mfupi,baunsa,mikono shupavu...anaenukia jasho la kazi..awe na afro ili nipate kuhesabu nywele zake akiwa anataka kupata usingizi...

hahahahahaha! Lol.
 
Haya wadada changamkieni wabeba MABOSKI!!
 
Hii JF hii.......!!!

Ngoja nimtafutie green card mjukuu wangu ajiunge na mheshimiwa Rais!!

Hope ma deal ya Cameron hayaruhusiwi????

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom