Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Hakuna kujifunza "automatically" mkuu, ni lazima mtoto apewe muda wa kujifunza pamoja na support kutoka kwa wazazi. Kama unasema mtoto anaweza kujifunza pasipo kumpa vitabu wala magazeti, je ni wangapi wanamudu gharama za vifaa vya kisasa vya mawasiliano kama smartphones na laptops?...
Adaptation ni kanuni anayotumika kujifuza bila mpango kazi, and no one prepare you to adapt.
Ukiangalia tv hapo hujifunzi automatically .Ukiangalia bunge hujifunzi mambo ya kibunge automatically bila kufunzwa.
Hio simu unayotumia ulipewa kozi ?
 
Back
Top Bottom