Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah! Umenchekesha sana.Bro wangu mshahara ukitoka anazima simu wiki mbili.. Anapatikana saa 6-12. Noma sana. Ukipiga napo hapokei.
Hii mbinu nzuri sana.Mbinu kiboko kuliko zote ni kumuwahi mpiga kizinga kabla hajakupiga. Yaani ile unapokea simu yake tu unamuuliza kulikoni mbona ulikuwa hupatikani? Akianza kujitetea unamkatiza kwa kumwambia nilikuwa nakutafuta nikukope. Au unaanza kumlilia shida kabla hajasema zake hadi anaishiwa pozi.
Yes kaka lazima umzungushe mtu mpaka akome kuja tena siku ya pili.Unamzungusha mpaka anachoka mwenyewe[emoji3][emoji3]
Mzee unapiga kaunta attackMbingu yangu kuu ukinipiga kizinga nakuelezea matatizo makubwa kuliko ya kwako..
Mfano mzuri kuna aliyenipiga kizinga juzi mtoto wake anaumwa nikamwambia toka asubuhi Niko muhimbili namuuguza wife
Hapo list ya mahitaji inaandikwa mpaka photosynthesis 30,000 hippopotamus 25,000😀Unajibu tu sina hela, basi. Ukijibu hivyo atajua una hela ila hutaki kumpa kwa hiyo kwa ethics za taaluma yao atajiongeza.
Hapo kwa watoto wa bweni/vyuoni kama unazungumzia hawa wa kuwazaa, mzinga haukwepeki. Mzazi ukiwa mkoloni mtoto anakupiga kwenye michango hewa.
Utamu wangu wa pesa uwe wazi.Siku zote mwanamke ameumbwa kula pesa ya mwanaume. Ila kutoa utamu ni hiari yangu...aidha nikukimbie au nikuhurumie.
Tatizo hawa wenzetu hawana ubinadamu hata kidogo...Kama unayo pesa mpe tu mtu na kama hauna mwambie sina. Shida hazina mwenyewe mkuu.
Acha tu mkuu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah! Umenchekesha sana.
Nilimjibu dada mmoja dry kuwa we hupigi simu bila kuwa na shida ya pesa alimaindi balaaKabisa. Hii mbinu inafaa sana kwa wale watu ambao ni marufuku kukupigia simu kukusalimia hadi awe tatizo linalohitaji msaada wako.
Si unataka utamu, lazima upambane kuupata kaka.Utamu wangu wa pesa uwe wazi.
Ila utamu wako uwe hiari..
Beeeh
Magu anahitaji nchi ya win win situation.
#YNWA
Sisi tunapenda sana pesa...asikwambie mtuKuna Uzi humu uliletwa,jamaa amefanya utafiti wake akagundua kuwa wanawake wanapenda pesa zaidi kuliko ng.ono, na bado watu wakabisha.
[emoji3][emoji3] lakini Sasa Kama hauna mgonjwa??Mbingu yangu kuu ukinipiga kizinga nakuelezea matatizo makubwa kuliko ya kwako..
Mfano mzuri kuna aliyenipiga kizinga juzi mtoto wake anaumwa nikamwambia toka asubuhi Niko muhimbili namuuguza wife