Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,095
- Thread starter
- #161
Hatimae nimefanikiwa kukwepa kizinga kwa binti mrembo anayefanya kazi bank ya NMB
Binti ni mashalah nasubutu kusema kidogo tuuh anampita mamaJ
Huyu alianda mazingira ya kutaka nimwone weekend hii tena jumapili kuchekecha ubongu kumbe ni tarehe 14
Kumbuka anafahamu kuwa mimi hata anialike wapi mi huwa mtu wa kulipa garama zote.
Ikumbukwe alijua lazima nitakuwa vizuri mfukoni kwani ndio tawi langu pendwa kutoa cash na nimezuru juzi tuh maneo hayo
Huyu sija mrembesha nimemwambia Sina muda nafikiria bishara zinavyo nichanganya plus marejesho this weekend nakua mtu ndani na familia tuh
Tujikinge na vizinga vya valentine day wapendwa
Nguvu yangu nguvu yako kutokomeza VIZINGA