Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,614
- 28,751
Laazizi naomba hela eeh'...!!
Say no more laazizi ngoja nifanye yangu 😊
Laazizi naomba hela eeh'...!!
UtaskiaWeka kisa chako na jinsi gani ulivyo fanikiwa kwepa kizinga au kukidhibiti.
Iwe katika mausiamo,bishara hata kwa watoto wakiwa bweni au vyuoni mana nao wameingia kwa kasi.
Nb:Ni kwa faida ya kujikinga kuvunjwa goti.
Na waswahili ndio sisi.Tabu yote ya nini mpaka ukose amani kisa kuwafurahisha watu? Ukweli ndio utakuweka huru,muambie mtu ukweli..yaani umpange mtu kisa tu unaona aibu kumuambia ukweli? Kama huna sema kweli..acha kona kona hizo ni tabia za kiswahili.
Mwamba atakuwa anaishi Kimara bonyokwa au buzaMe nshawai kushuhudia Niko bar ,then pembeni amekaa msela na demu. .wameagiza kitimoto sasa katkati ya story jamaa akamuuliza demu
Vipi tukitoka hapa tunaenda home?
Demu akagoma akasema siku ingine ,bhac yule jamaa akaongea kwa sauti Hiyo kitimoto funga ntaenda kulia nyumbanidoh! Dada aliona aibu Sana lakini muhuni alikua serious
Kuna watu wagumu Sana kwenye Pesa zao
Kuna Uzi humu uliletwa,jamaa amefanya utafiti wake akagundua kuwa wanawake wanapenda pesa zaidi kuliko ng.ono, na bado watu wakabisha.Kuna baadhi ya mbinu huwa zinakuwa ngumu kuchomoka.
Ila mimi ukiniruhusu nikaongee na simu nje ya eneo la tukio...ujue utasubiri mpaka kukuche, labda unisindikize.
Naenda kubeulia ofa zako home kwangu.
Unataka mwazima 35k utamrejeshea nini mkuuNaomba namba yako mkuu


Wengi naona wanazungumzia marejesho ya mikopo bankNaona vidume vingi vinataja vicoba humu..
Kuna vicoba ya wanaume?
GPRS imemnasaMwamba atakuwa anaishi Kimara bonyokwa au buza



Utaskia
Niaje ofisa,namna gani?
Niko na ishu nakimbizana nayo nimepelea sh 50 elfu ,nitoe mzazi keshokutwa nakurefund.
Unajibu
SINA , huu ni ukatili haha

Apo kuvaa ubinadamu nawe ndo unatumia formula ya kumuwahi mpiga kizinga na kumwonyesha nawe unashida vibaya mnooiyo ya mwisho kiboko yani Kama unamleta mgipa kizinga alafu unamkataa tenaNimetoka kukopa sasa hivi hali mbaya ndugu yangu
Nimetuma nyumbani sasa hivi mama anaumwa
Mi mwenyewe nilikuwa nataka nikukope sina kitu sema we umeniwahi
Au zima laini anayoijua kama unazo mbili
Akikupigia simu jifanye kama humskii kata akituma message usiijibu .utaijibu baadae ungeniambia mapema mi hela nishaitumia
Nitaendelea ......



"Friend with benefits"Kiini cha tatizo ni nini???
Kwanini kumekuwa na vizinga vingi kila uchao????
Ni ukata wa pesa au nini....???
Jibu ni: The rate of dependence ratio is high than working population
Ndio...watu tegemezi ni wengi kuliko wazalishaji...
Ukinipiga kizinga kama nawewe nakupigaga au nanufaika na wewe kwa namna yoyote kuna walakini wa kukupa kinyume na hapo ni hola
Quid pro quo....
Economic point of view...
Me nshawai kushuhudia Niko bar ,then pembeni amekaa msela na demu. .wameagiza kitimoto sasa katkati ya story jamaa akamuuliza demu
Vipi tukitoka hapa tunaenda home?
Demu akagoma akasema siku ingine ,bhac yule jamaa akaongea kwa sauti Hiyo kitimoto funga ntaenda kulia nyumbanidoh! Dada aliona aibu Sana lakini muhuni alikua serious
Kuna watu wagumu Sana kwenye Pesa zao



Kuna rafiki yangu analipiwa kodi ya mwezi kazidisha 50k kwahiyo mzee wake analipa zaidi. Bado anadai hana boom wala ada wakati vyote anavyo na hela ya field anayo. Mwishoni anakusanya pesa nyingi ila anazitumia kwa mademu na hana kitu cha maana ukiachana na gadgets kali.Hii kitu imemkuta jama yangu mmoja
Mtoto kamchapa kizinga cha field 800k
Kuhamaki kumbe kijana na boom anapokea kabaki kusikitika bao langu linanipanda kichwani.