Hii njia nimeipenda we unakua mzee wa kupostponed kizinga tuuh [emoji23][emoji23]Kuna ka X kangu kametoka kumzalia jamaa mtoto afu kamkimbia, Sasa kwakua eti mimi nilikua nachat nako vizurii tu sasa hivi kananiganda nimpe vijihela sijui zawad za mtoto...
SASA PICHA linaanza kamenitumia msg nimejifungua nikakachunia, kakatuma siku nyingine mtoto anahitaj zawad nikamwambia asubiri 40, iyo 40 imefika piga wee wapi tuma msg wap, siku iyo nikapokea simu yake eti Baba mtoto sasa mbona kimya nikamuambia yani hapa nilipo nimefulia hata dk za kupiga mtandao wa nyumban sina achilia mbali mitandao yoteee.... nikakasikia kamecheka [emoji23][emoji23][emoji23] nami nikakazia bati bati dadesi
mkuu ivi ulishawahi nyatia binti maini akanza kinzinga na lengo hujatimiza.Tabu yote ya nini mpaka ukose amani kisa kuwafurahisha watu? Ukweli ndio utakuweka huru,muambie mtu ukweli..yaani umpange mtu kisa tu unaona aibu kumuambia ukweli? Kama huna sema kweli..acha kona kona hizo ni tabia za kiswahili.
[emoji3] broo katili sana ila nadhani ana namba nyingine ya Siri msiyoifahamu au katawanya mawasiliano kwa kugawa lain ya kiofisi na kifamiliaBro wangu mshahara ukitoka anazima simu wiki mbili.. Anapatikana saa 6-12. Noma sana. Ukipiga napo hapokei.
Aisee hii nayo nimeipenda kiongoziMbingu yangu kuu ukinipiga kizinga nakuelezea matatizo makubwa kuliko ya kwako..
Mfano mzuri kuna aliyenipiga kizinga juzi mtoto wake anaumwa nikamwambia toka asubuhi Niko muhimbili namuuguza wife
Na wakati huo unajaza mafuta full tank [emoji23]Jibu simple tu...Sina pesa.
Hii kitu imemkuta jama yangu mmojaSisahau mshua wangu alivyokuambia ananipa laki3 ya project kila semister..[emoji3][emoji3] Mungu alishanisamehe lakini
Unamzungusha mpaka anachoka mwenyewe[emoji3][emoji3]Hii njia nimeipenda we unakua mzee wa kupostponed kizinga tuuh [emoji23][emoji23]
Hadi anyoshe mikono
[emoji23][emoji23] wazee wa kupostponed kizinga [emoji119]Nione siku mbili tatu hivi...
Hahahah hii nzuri sana kwa wale wanaingia na gia ya "niazime kiasi... nitairejesha"Unamzungusha mpaka anachoka mwenyewe[emoji3][emoji3]
[emoji3516][emoji119] hapo akuna longolongo lazima uso umshuke Kama mbuzi wa albadil[emoji23][emoji23]Njia rahisi ya kukwepa mtu akikupiga mizinga mwambie kuwa unamkopo unadaiwa
Nishampa jina asilo lijua la Amigo. Ni mgumu sana sana. Ila hivo,[emoji3] broo katili sana ila nadhani ana namba nyingine ya Siri msiyoifahamu au katawanya mawasiliano kwa kugawa lain ya kiofisi na kifamilia
Nimekuwa naitumia sana njia hii kuwakwepa ndugu wapiga mizinga ndugu atakufuata anaazima ata laki mambo yake yamekwama ukiampa harudishi lakini vile vile utakuta alichokifanya hakionekana mwisho tena anarudi kuomba tena mambo yameyumba[emoji3516][emoji119] hapo akuna longolongo lazima uso umshuke Kama mbuzi wa albadil[emoji23][emoji23]
Ndo Siri ya utajiri lakiniNishampa jina asilo lijua la Amigo. Ni mgumu sana sana. Ila hivo,
Njia safi sana haina lawama na inalinda pato la mtu mmojammoja.Nimekuwa naitumia sana njia hii kuwakwepa ndugu wapiga mizinga ndugu atakufuata anaazima ata laki mambo yake yamekwama ukiampa harudishi lakini vile vile utakuta alichokifanya hakionekana mwisho tena anarudi kuomba tena mambo yameyumba
Sasa hivi wengi wa hivi nimeshawaambia biashara yangu naiendesha kwa mikopo muda wote nawaza rejesho
[emoji23][emoji23][emoji23] hii mbinu inaitwa koftediJuzi nilikua bar Fulani nakula kitimoto form six. Pembeni yangu amekaa jamaa anaongea na simu kwa sauti na mabinti wawili.
Akawa anasema and I quote ". Niwekee milioni moja, laki tatu na tisini" unquote, mezani kwake Kuna soda za mabinti.
Mara akawaambia, ngoja nikatoe pesa hapo nje. Wakati natoka nilimuona kwenye boxer anapepea sio polepole