Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Kuna kidemu bhana juzi kati kinaliaa liaa shida niliwah piga one time nikapotezea ikabak tu chatin za kawaida

Sasa juzi kinasema nina shida ya laki tatu baba kalazwa MOI nikajajibu sipo vzur sana ila ukija kuleta msosi nishtue tuonane siwez kukosa kitu cha kukupa kama msaad kidog mpka navoandika hapa itakuwa chakula hakijaivaa

Kalitaka kunipiga mzinga pasipo kujua muhimbili ndo mitaa yangu hapaa ngomaa ika fail
Ahhahahah
 
Kuna mshikaji wangu mmoja huwa tunasaidia kwenye hizo mambo, tume-create kbs zile auto reply text tumeiandika "nipigie jifanye unanidai" akitokea tu mtu ninaona huyu uelekeo ni huo namsukumia jamaa text ananipigia anaanza kunida kwa vitisho na mikwara. Basi mi najibu kinyongeee lkn kumbe ndo nampoteza maboya yule anataka kunipiga vizinga.
Hahahah hii mbinu nzuri mkuu
Niliwahi tumia pahali nakuniletea matokeo chanya
 
kudadeki hii ni mbinu ya karne sema tu inabidi uwe mtu wa machale sana
Mbinu kiboko kuliko zote ni kumuwahi mpiga kizinga kabla hajakupiga. Yaani ile unapokea simu yake tu unamuuliza kulikoni mbona ulikuwa hupatikani? Akianza kujitetea unamkatiza kwa kumwambia nilikuwa nakutafuta nikukope. Au unaanza kumlilia shida kabla hajasema zake hadi anaishiwa pozi.
 
Back
Top Bottom