Usiombe hii mbinu uitumie alafu unaka usafiri ata ambacho uwezi move your shoulder "visse"Kuna hela naisikilizia.![]()


Hahahah umeamua kuiweka kikatili kabisaSiku hizi huwa najibu tu sina, sitaki kuanza kusumbuana na kutoa ahadi za uongo
Kuna baadhi ya mbinu huwa zinakuwa ngumu kuchomoka.
Ila mimi ukiniruhusu nikaongee na simu nje ya eneo la tukio...ujue utasubiri mpaka kukuche, labda unisindikize.
Naenda kubeulia ofa zako home kwangu.


Mbinu kiboko kuliko zote ni kumuwahi mpiga kizinga kabla hajakupiga. Yaani ile unapokea simu yake tu unamuuliza kulikoni mbona ulikuwa hupatikani? Akianza kujitetea unamkatiza kwa kumwambia nilikuwa nakutafuta nikukope. Au unaanza kumlilia shida kabla hajasema zake hadi anaishiwa pozi.
humpi chance ya kupumua sio kiongozi
humpi chance ya kupumua sio kiongozi
![]()
Tupe uzoefu kidogo mzee wa bomaKizinga ana kwa ana au Cha kwenye simu?
Sinaga mbinu kamili, ila kila mbinu ntakayokuja nayo huwa na matokeo chanya
Hii hainaga maswali mawiliMwanangu mimi mwenyewe sina maisha.
Kuna mishe nimefanya mwanangu jana tu bado nipo vibaya hiyo kwa msela
Kwa demu mpenda hela sorry nimebadilishiwa masharti na mganga siruhusiwi kuhonga hela,bora kuonekana mchawi
apo kwa mademu mkuu inaelekea huna mjadala nao chifKwanin unakula vya watu halafu kulipa hutaki,huu nao ni utapeli kama Mr.Kuku inabidi dipipiii aingilie katiKuna baadhi ya mbinu huwa zinakuwa ngumu kuchomoka.
Ila mimi ukiniruhusu nikaongee na simu nje ya eneo la tukio...ujue utasubiri mpaka kukuche, labda unisindikize.
Naenda kubeulia ofa zako home kwangu.
Kuna mishe naiskilizia ikitiki ntakucheki
Io kesho utasubir sana
Nahakikisha ninakua na mkoba wako sambambaKuna baadhi ya mbinu huwa zinakuwa ngumu kuchomoka.
Ila mimi ukiniruhusu nikaongee na simu nje ya eneo la tukio...ujue utasubiri mpaka kukuche, labda unisindikize.
Naenda kubeulia ofa zako home kwangu.
Wanawake wa jf mna mabalaa haya nenda kakojoeWanawake tunaruhusiwa kushiriki au tukakojoe tulale?