Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,734
- 27,098
- Thread starter
- #321
As-salamu alaykumKwa nia njema kabisa, kama una uwezo wa kutowa towa tu bila kuhukumu. Mwache mpiga "mizinga" ajihukumu mwenyewe.
Kama huwezi kutowa jisemee wazi tu na kwa nia njema kuwa huwezi, bila kutowa sababu nyingi za kujenga hoja ya kutokuweza. Mradi uwe ni kweli ni huwezi ili nafsi yako isikusute. Hakuna kitu kibaya kama kusutwa na nafsi yako.
amakwahakika waislamu kupeana nasaha nijambo la heri