Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,095
- Thread starter
- #61
Siku zote mwanamke ameumbwa kula pesa ya mwanaume. Ila kutoa utamu ni hiari yangu...aidha nikukimbie au nikuhurumie.Kwanin unakula vya watu halafu kulipa hutaki,huu nao ni utapeli kama Mr.Kuku inabidi dipipiii aingilie kati
AsanteWanawake wa jf mna mabalaa haya nenda kakojoe
Mkoba!!!
Hahahaahaaaaa umeuwaaa mkuuKuna mishe nimefanya mwanangu jana tu bado nipo vibaya hiyo kwa msela
Kwa demu mpenda hela sorry nimebadilishiwa masharti na mganga siruhusiwi kuhonga hela,bora kuonekana mchawi




Nzuri hiyoMbinu bora kabisa na ambayo haijawahi kuniangusha juzi jana na leo ni kuwa mkweli na kukwepa kutoa promise za uongo.
Uwezo wa kusema Yes or No bila aibu wala kupepesa macho na kutoa sababu za maamuzi hayo is the way to go
Mkuu, kuna mwingine anasema "sina hela" na ni kweli hana seriouslyUnajibu tu sina hela, basi. Ukijibu hivyo atajua una hela ila hutaki kumpa
Uko tayari kubeba lawama Sioyan skusikiii kabsa babu ntakuchek nkikaa sehem poaanshakutoka apo







Siku hz siyo hiari tena ..Labda umzidi ujanja ..mtoaji helaSiku zote mwanamke ameumbwa kula pesa ya mwanaume. Ila kutoa utamu ni hiari yangu...aidha nikukimbie au nikuhurumie.
Ndo hapo tukiwazidi ujanja mnakuwa mshaliwaSiku hz siyo hiari tena ..Labda umzidi ujanja ..mtoaji hela





doh! Dada aliona aibu Sana lakini muhuni alikua serious Juzi nilikua bar Fulani nakula kitimoto form six. Pembeni yangu amekaa jamaa anaongea na simu kwa sauti na mabinti wawili.
Akawa anasema and I quote ". Niwekee milioni moja, laki tatu na tisini" unquote, mezani kwake Kuna soda za mabinti.
Mara akawaambia, ngoja nikatoe pesa hapo nje. Wakati natoka nilimuona kwenye boxer anapepea sio polepole















