Waombaji ni wengi .. TB Joshua kiboko!

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Habari waungwana!
Leo asubuhi nimebahatika kumtembelea Muombaji ambaye ni mwanafunzi wa TB Joshua. Niliwapeleka mambinti 2 kwa ajili ya kuombewa. Maajabu niliyoyaona sijawahi kuona tangu nimezaliwa.
Binti wa kwanza aliongea maneno mengi lakini alipojitambua hakujua nini kilikuwa kinaendelea. Katika baadhi ya maneno alosema ni hivi "sitaki asome ndiyo maana nilimwibia madaftari yake usiku, wakati wa vipindi nitakuwa namficha chooni"

Huyo binti nilipomuuliza kama kweli madaftari yake yalipotea akasema kweli yaliibiwa ...

Nikamuuliza kuhusu bibi yake .. akasema ni kweli bibi yake ni mchawi hadi wana kijiji walishataka kumchomea nyumba akakimbilia mjini kwa watoto wake ...

Swali: Hivi wachawi ni kwa nini huwa wanapenda kurudisha maendeleo ya watu wao wa karibu nyuma?
Kwa faida ya wale watakaotaka kwenda kuombewa: Mwombaji huyo yuko Kiseke jijini Mwanza, ila anafanya maombi Fly Park Hotel kila Jumatano na Jumapili. Sikuwahi kuhudhuria Fly Park, natarajia kuanza kwenda wiki hii! Hakika nimeuona mkono wa Bwana kupitia kwa mwanafunzi wa TB Joshua kwa jina anaitwa Zelamula.
 
Mkuu inabid ulipie hili tangazo
 
Rafiki yangu alinipeleka kwenye kanisa mchungaji ni Mnigeria unaweza kulipata online linaitwa VPA church. Yule pastor wakati ananishika mkono ilikuwa kama short ya umeme imenipata, baada ya hapo alinieleza kwa kifupi yanayojiri kwenye maisha yangu. Hakuwa na mengi zaidi funga na kusali yatakwisha. Yalipoanza kufunguka wala sikuamini. Siwezi kusema uchawi upo/haupo lakini ninachoelewa ninamhitaji Yesu katika maisha yangu.
 
Habari waungwana!
Leo asubuhi nimebahatika kumtembelea Muombaji ambaye ni mwanafunzi wa TB Joshua. Niliwapeleka mambinti 2 kwa ajili ya kuombewa. Maajabu niliyoyaona sijawahi kuona tangu nimezaliwa.
Binti wa kwanza aliongea maneno mengi lakini alipojitambua hakujua nini kilikuwa kinaendelea. Katika baadhi ya maneno alosema ni hivi "sitaki asome ndiyo maana nilimwibia madaftari yake usiku, wakati wa vipindi nitakuwa namficha chooni"

Huyo binti nilipomuuliza kama kweli madaftari yake yalipotea akasema kweli yaliibiwa ...

Nikamuuliza kuhusu bibi yake .. akasema ni kweli bibi yake ni mchawi hadi wana kijiji walishataka kumchomea nyumba akakimbilia mjini kwa watoto wake ...

Swali: Hivi wachawi ni kwa nini huwa wanapenda kurudisha maendeleo ya watu wao wa karibu nyuma?
Kwa faida ya wale watakaotaka kwenda kuombewa: Mwombaji huyo yuko Kiseke jijini Mwanza, ila anafanya maombi Fly Park Hotel kila Jumatano na Jumapili. Sikuwahi kuhudhuria Fly Park, natarajia kuanza kwenda wiki hii! Hakika nimeuona mkono wa Bwana kupitia kwa mwanafunzi wa TB Joshua kwa jina anaitwa Zelamula.

Ninaomba uniambie nini baada ya hapo kuhusu hao watoto.
 
Rafiki yangu alinipeleka kwenye kanisa mchungaji ni Mnigeria unaweza kulipata online linaitwa VPA church. Yule pastor wakati ananishika mkono ilikuwa kama short ya umeme imenipata, baada ya hapo kwa kifupi yanayojiri kwenye maisha yangu. Hakuwa na mengi zaidi funga na kusali yatakwisha. Yalipanza kufunguka wala sikuamini. Siwezi kusema uchawi upo/haupo lakini ninachoelewa ninamhitaji Yesu katika maisha yangu.

Kama unamwamini Mungu wa Biblia unapashwa kuwa mkweli na mwelewa.

Biblia inasemaje kuhusu wachawi wapo ama hawapo? Unashindwaje kusema unachokifahamu?
 
Acha kutumia jina LA Tbjoshua ili update watu ,tbjoshua hana huduma wala mwanafunzi aliyempa eneo LA kufanyia huduma ,,huduma yake inapatikana Lagos Nigeria ikotun igbe,acha ulagai ,,,mimi ni mmoja ya wainjilist wake na ,hakuna kitu kama hicho ,,acha ulagai ,hell and heaven is there cjui unataka uingie wapi wapi,,,,
 
Wewe Unamzuia mwenzako kusema yeye ni Mwanafunzi wa TB Joshua angali wewe unajinasibu ati wewe ni Muinjilisti wake....
 
Back
Top Bottom