Waombaji ni wengi .. TB Joshua kiboko!

Waombaji ni wengi .. TB Joshua kiboko!

Hapana! Siwezi wahusisha wa huko maana hapo Golden Rose huku maombi yanaendelea na biashara inaendelea...Yani ni kama hayo maombi yahamasisha biashara hiyo..
Swala la mtu kuacha dhambi ni lake binafsi na Mungu wake haisaidii kumpayukia mwenye moyo wa jiwe abadilike wakati hayupo tayari na wakati service inaendelea conference hall hata lobby hall hawasikii kinachoendelea. Itakua nje ya jengo huko mrina?
 
Ktk masuala ya imani tusikaririshane jamani kila mwenye imani yake atapokea sawa na imani yake Ufunuo 3:11 pia Ufunuo 3:19-22 iweje umpondee Mtumishi wa Mungu wakati hata Mungu anamheshimu? Tuacheni kukariri jamani imani ni zaidi ya mtaji na pia imani ina nguvu kwa yule aliyeamua kuamini
 
Habari waungwana!
Leo asubuhi nimebahatika kumtembelea Muombaji ambaye ni mwanafunzi wa TB Joshua. Niliwapeleka mambinti 2 kwa ajili ya kuombewa. Maajabu niliyoyaona sijawahi kuona tangu nimezaliwa.
Binti wa kwanza aliongea maneno mengi lakini alipojitambua hakujua nini kilikuwa kinaendelea. Katika baadhi ya maneno alosema ni hivi "sitaki asome ndiyo maana nilimwibia madaftari yake usiku, wakati wa vipindi nitakuwa namficha chooni"

Huyo binti nilipomuuliza kama kweli madaftari yake yalipotea akasema kweli yaliibiwa ...

Nikamuuliza kuhusu bibi yake .. akasema ni kweli bibi yake ni mchawi hadi wana kijiji walishataka kumchomea nyumba akakimbilia mjini kwa watoto wake ...

Swali: Hivi wachawi ni kwa nini huwa wanapenda kurudisha maendeleo ya watu wao wa karibu nyuma?
Kwa faida ya wale watakaotaka kwenda kuombewa: Mwombaji huyo yuko Kiseke jijini Mwanza, ila anafanya maombi Fly Park Hotel kila Jumatano na Jumapili. Sikuwahi kuhudhuria Fly Park, natarajia kuanza kwenda wiki hii! Hakika nimeuona mkono wa Bwana kupitia kwa mwanafunzi wa TB Joshua kwa jina anaitwa Zelamula.

Hizo hadithi za kichawi zimekusaidiaje kuusogelea ufalme wa Mungu au ndo zimekutoa kwenye msitari na kuanza kuwapa utukufu wanadamu kwa kufichua wachawi? Hao wanatofauti gani na akina maji marefu au akina toboa tobo?
 
Acha kutumia jina LA Tbjoshua ili update watu ,tbjoshua hana huduma wala mwanafunzi aliyempa eneo LA kufanyia huduma ,,huduma yake inapatikana Lagos Nigeria ikotun igbe,acha ulagai ,,,mimi ni mmoja ya wainjilist wake na ,hakuna kitu kama hicho ,,acha ulagai ,hell and heaven is there cjui unataka uingie wapi wapi,,,,
Naona mmeshaanza kugombea kondoo tayari.
 
Rafiki yangu alinipeleka kwenye kanisa mchungaji ni Mnigeria unaweza kulipata online linaitwa VPA church. Yule pastor wakati ananishika mkono ilikuwa kama short ya umeme imenipata, baada ya hapo alinieleza kwa kifupi yanayojiri kwenye maisha yangu. Hakuwa na mengi zaidi funga na kusali yatakwisha. Yalipoanza kufunguka wala sikuamini. Siwezi kusema uchawi upo/haupo lakini ninachoelewa ninamhitaji Yesu katika maisha yangu.
nimependa comment yako,naimani kwenye kuabudu jua hautaenda tena
 
Habari waungwana!
Leo asubuhi nimebahatika kumtembelea Muombaji ambaye ni mwanafunzi wa TB Joshua. Niliwapeleka mambinti 2 kwa ajili ya kuombewa. Maajabu niliyoyaona sijawahi kuona tangu nimezaliwa.
Binti wa kwanza aliongea maneno mengi lakini alipojitambua hakujua nini kilikuwa kinaendelea. Katika baadhi ya maneno alosema ni hivi "sitaki asome ndiyo maana nilimwibia madaftari yake usiku, wakati wa vipindi nitakuwa namficha chooni"

Huyo binti nilipomuuliza kama kweli madaftari yake yalipotea akasema kweli yaliibiwa ...

Nikamuuliza kuhusu bibi yake .. akasema ni kweli bibi yake ni mchawi hadi wana kijiji walishataka kumchomea nyumba akakimbilia mjini kwa watoto wake ...

Swali: Hivi wachawi ni kwa nini huwa wanapenda kurudisha maendeleo ya watu wao wa karibu nyuma?
Kwa faida ya wale watakaotaka kwenda kuombewa: Mwombaji huyo yuko Kiseke jijini Mwanza, ila anafanya maombi Fly Park Hotel kila Jumatano na Jumapili. Sikuwahi kuhudhuria Fly Park, natarajia kuanza kwenda wiki hii! Hakika nimeuona mkono wa Bwana kupitia kwa mwanafunzi wa TB Joshua kwa jina anaitwa Zelamula.
Mkuu umelipia JF hili tangazo mods kuna hela yenu huku
Halafu uyu baba mbona mnapenda kumzushia jamani kila siku kwenye tv yake emmanuel tv anakataa hizi fraud kwa nn hamsikii kila siku matangazo yanapita tuna yaona ni uongo mkubwa na mtalipwa na Mungu kwa kumsingizia prophet
 
Rafiki yangu alinipeleka kwenye kanisa mchungaji ni Mnigeria unaweza kulipata online linaitwa VPA church. Yule pastor wakati ananishika mkono ilikuwa kama short ya umeme imenipata, baada ya hapo alinieleza kwa kifupi yanayojiri kwenye maisha yangu. Hakuwa na mengi zaidi funga na kusali yatakwisha. Yalipoanza kufunguka wala sikuamini. Siwezi kusema uchawi upo/haupo lakini ninachoelewa ninamhitaji Yesu katika maisha yangu.
Kama unataka uone miujiza basi unijibu,na kama utapuuza basi usijilaumu.
 
Ebu wakati mwingine muwe na aibu na utapeli huu. TB Joshua hana mwanafunzi na ulisitumie jina la TB Joshua kutapeli. Jina linaloponya ni la Yesu pekee. Huduma za hotelini ni za kitapeli tu.
Ulijuaje kama huduma za hotelini ni za kitapeli? au uliwahi kuliwa nini?
 
Ndio maana mnaishia kuwapachika mimba wake na mabinti za watu..

Kwahiyo hata guest House maombi yanafanyika...hahahaga...

Huyo siyo Mungu ni pepo belzebuli..

Jinga kabisa .
Huo ni mtazamo wako tu! Mi siko huko na wala mi sio mwombaji; ila nimeshuhudia kile nilichojionea kwa macho yangu!
 
Wewe ndo jinga kabisa....
Unamzuia mwenzako kusema yeye ni Mwanafunzi wa TB Joshua angali wewe unajinasibu ati wewe ni Muinjilisti wake....

Jinga kabisa...

Afadhali umenisaidia kumjibu! Big up!
Binafsi nimeishaweka mambo wazi, mimi siombei watu, na wala sijawahi hata kwenda huko Nigeria na wala TB J sikuwahi kumuona live tofauti na kwenye TV,
 
Acha kutumia jina LA Tbjoshua ili update watu ,tbjoshua hana huduma wala mwanafunzi aliyempa eneo LA kufanyia huduma ,,huduma yake inapatikana Lagos Nigeria ikotun igbe,acha ulagai ,,,mimi ni mmoja ya wainjilist wake na ,hakuna kitu kama hicho ,,acha ulagai ,hell and heaven is there cjui unataka uingie wapi wapi,,,,
...mkuu wewe upo Nigeria au unafanyia wapi uinjilisti wako..? maana na wewe unajiita mwinjilisti wa Tb Joshua....
 
Ktk masuala ya imani tusikaririshane jamani kila mwenye imani yake atapokea sawa na imani yake Ufunuo 3:11 pia Ufunuo 3:19-22 iweje umpondee Mtumishi wa Mungu wakati hata Mungu anamheshimu? Tuacheni kukariri jamani imani ni zaidi ya mtaji na pia imani ina nguvu kwa yule aliyeamua kuamini
Heshima kwako Madam Principle
 
Jibu swali maombi yanafanyiwa hotelini...??
...yap, makanisa meengi yameanza huduma kwa kutumia conference rooms za hotel kubwa, kwani kunatatizo kutumia kumbi za mahoteli....
 
Swadakta!
 
Back
Top Bottom