BBC wana maswali ya kujibu bila kujali walichoeleza kuhusu TB JOSHUA ni ukweli au uzushi

Jamiitrailer

Member
Oct 20, 2019
25
80
Kilichoelezwa na BBC kuhusu tuhuma dhidi ya TB Joshua zinaweza kuwa zina ukweli kwa vile wapo binadamu waliowahi kufanya mambo kama hayo na wengine watafanya.
Lakini tuhuma hizo pia zinaweza kuwa ni za uzushi kwa vile watu wanajua kuzua mambo kwa faida zao....lakini wanaotoa tuhuma wana haki ya kusikilizwa.
Lakini tuhuma zao pia zinatakiwa kuingizwa katika mizani ya kupima dalili za ukweli na uwongo.
Mathalan,BBC wamemuelezea huyo binti wa TB Joshua,anayetoa tuhuma kuhusu baba yake kwamba anasifiwa na waliokuwa wanga wenzie kwamba ni yeye pekee huyo binti ndiye aliyekuwa na ujasiri wa kumkabili baba yake na kumuuliza kwa nini anawanyanyasa. Lakini ni BBC hao hao wanaosema imebidi wafiche utambulisho wa jina halisi la huyo binti na makazi yake kwa vile ana hofia maisha yake.
Hapo ndipo pana walakini,...ina maana BBC hawajiulizi imekuwaje huyo binti aliyekuwa jasiri wa kuweza kumkabili baba yake wakati huo akiwa hai..na asihofie chochote wakati akiendesha maisha yake katika jiji la Lagos kama walivyodai,....eti aje kuwa no hofu leo wakati baba yake keshafariki?
Huo ujasiri wake umetoweka mara baada ya baba yake kufa? Tulitarajia angekuwa na uhuru na kutohofia chochote wakati huu.
Na jambo jingine,kwa nini BBC iwachukue muda mrefu kiasi hicho kama huyo wanayedai ni binti yake alitoa tuhuma hizo mwaka 2019?

BBC wanasema walisubiri watu wengine wajitokeze ili waweke bayana habari kamili.
Hiyo hoja haina mashiko...,kwa vile inakufanya mtu kutamani kujiuliza kwa nini BBC wasimkabili TB Joshua na tuhuma wanazosema ni za binti yake kwanza,..?
Ina maana kama huyo binti angekuwa ni mhanga pekee,BBC wasingejihangaisha kuelezea kadhia yake....yaani kama akinyanyaswa mtu mmoja hakuhesabiwi kuwa kosa hadi wanyanyaswe watu wengi ndipo liwe kosa?
Ina maana kwa mujibu wa BBC..mtu mmoja mwenye ushahidi wa kubakwa au kutotendewa haki na mtu mwenye nguvu au uashawishi hasaidiwi kusikika au kutafutiwa haki hadi wabakwe wengine wawili au zaidi?

Binti mmoja wa TB Joshua anayeitwa Serah Joshua ameolewa na kijana wa Kitanzania . Waandishi wa habari wa kibongo wammuhoji huyu binti awape picha ya upande wa pili wa maisha yalivyokuwa nyumbani kwao.
IMG-20240112-WA0000.jpg
 
Hao manabii wengi ni washirikina tu. Halafu sidhani kwa reputation ya shirika kubwa kama BBC wanaweza ku publish habari kama hizo bila kufanya investigation na kujiridhisha. Hao sio blogu za umbea kwamba ukiwambia kitu haraka tu wameshapost.

Kuna tasnia inaitwa investigative journalism. Inawezekana kwa journalist kutumia hata miaka kadhaa ku reseacrch, kukusanya ushahidi na kuandaa report kuhusiana na issue fulani.

So naona hoja zako hazina mashiko.
 
Nakubaliana na hoja yako kuhusu Manabii, lakini sikubaliani na wewe kuhusu BBC hakuna ulijuwalo.

BBC ni Illuminati media, hakuna cha investigation yoyote, hiyo ni special mission ya BBC.

Tb Joshua ndio Nabii pekee Mwafrica aliyeweza kuwa na matawi ya hekalu lake mpaka ulaya na Urusi na isitoshe wazungu walikuwa wanakwenda kwake Nigeria kupokea muujiza ambao madaktari bingwa wa ulaya wameshinda.

Hiki ndicho kiliwakela hawa Illuminati Mwafrica kuwa na ushawishi na kuaminika mpaka ulaya.

Sasa hawataki hilo lijirudie tena, hizi ni project Maalum ili msiwaamini hao Manabii wakati kuna ukweli wapo wanaotumiwa na Mungu kweli kama wewe ni mtu wa Imani za kidini.

Msisahau BBC ni shirika la Uingereza, dini rasmi ya Uingereza ni Anglican na mkuu wao ni mfalme Charles na wao ndio wa Kwanza kuwatambuwa mashoga na ndoa za jinsia moja, mnaingizwa mkenge na nyinyi mnajaa.
 
Mkuu umenipinga na kuandika unayoyadhani kuwa ni kweli bila hata ushahidi basi.
 
Hao manabii wengi ni washirikina tu. Halafu sidhani kwa reputation ya shirika kubwa kama BBC wanaweza ku publish habari kama hizo bila kufanya investigation na kujiridhisha. Hao sio blogu za umbea kwamba ukiwambia kitu haraka tu wameshapost.

Kuna tasnia inaitwa investigative journalism. Inawezekana kwa journalist kutumia hata miaka kadhaa ku reseacrch, kukusanya ushahidi na kuandaa report kuhusiana na issue fulani.

So naona hoja zako hazina mashiko.
Long before “fake news” had a name, the BBC was a master of fake news, in fact fake news of the most dangerous, the most vicious consequences, casting nations, not just individuals, into direct calamities.

Source: Click link Ujiridhishe.
 
Nakubaliana na hoja yako kuhusu Manabii, lakini sikubaliani na wewe kuhusu BBC hakuna ulijuwalo.

BBC ni Illuminati media, hakuna cha investigation yoyote, hiyo ni special mission ya BBC.

Tb Joshua ndio Nabii pekee Mwafrica aliyeweza kuwa na matawi ya hekalu lake mpaka ulaya na Urusi na isitoshe wazungu walikuwa wanakwenda kwake Nigeria kupokea muujiza ambao madaktari bingwa wa ulaya wameshinda.

Hiki ndicho kiliwakela hawa Illuminati Mwafrica kuwa na ushawishi na kuaminika mpaka ulaya.

Sasa hawataki hilo lijirudie tena, hizi ni project Maalum ili msiwaamini hao Manabii wakati kuna ukweli wapo wanaotumiwa na Mungu kweli kama wewe ni mtu wa Imani za kidini.

Msisahau BBC ni shirika la Uingereza, dini rasmi ya Uingereza ni Anglican na mkuu wao ni mfalme Charles na wao ndio wa Kwanza kuwatambuwa mashoga na ndoa za jinsia moja, mnaingizwa mkenge na nyinyi mnajaa.
Jidanganye zaidi
 
Watajijua wenyewe,kwanza manabii wenyewe wa mchongo t

Watajijua wenyewe,kwanza manabii wenyewe wa mchongo tu
Dini anaeikubali muumba wa ardhi na mbingu ni uislam tu..ukiristo na uyahudi haukubaliki.

“… Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema Yangu, na Nimekupendeleeni Uislamu uwe Dini yenu…” [Quran 5:3]

“Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitakubaliwa kwake…” [Quran 3:83]
 
😳
 
Wanaojiita manabii wote matapeli

Huku kwenu tz kuna mch mmoja alimfufua mtu.....
Na ukiona nchi kuna makanisa mengi ya wanabii jua hiyo nchi imejaa watu wpmbv na wjng

Ova
Umeenda kwenye kuattack na sio kujibu hoja. U mwepesi sana. Utapeli haufanywi na manabii peke yake hata mitaani wapo na utapeli wa mtu mmoja kama unavyoota sio justification ya kisema manabii ni matapeli.

Kile kinachoitwa report ya uchunguzi ya BBC kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukifuatilia. Ni uongo na uzushi wa hali ya juu na kina gaps nyingi sana. Hakuna scientific wala police wala medical wala embassy evidence. Ule ni ubuyu wa Mange tu.
 
Kilichoelezwa na BBC kuhusu tuhuma dhidi ya TB Joshua zinaweza kuwa zina ukweli kwa vile wapo binadamu waliowahi kufanya mambo kama hayo na wengine watafanya.
Lakini tuhuma hizo pia zinaweza kuwa ni za uzushi kwa vile watu wanajua kuzua mambo kwa faida zao....lakini wanaotoa tuhuma wana haki ya kusikilizwa.
Lakini tuhuma zao pia zinatakiwa kuingizwa katika mizani ya kupima dalili za ukweli na uwongo.
Mathalan,BBC wamemuelezea huyo binti wa TB Joshua,anayetoa tuhuma kuhusu baba yake kwamba anasifiwa na waliokuwa wanga wenzie kwamba ni yeye pekee huyo binti ndiye aliyekuwa na ujasiri wa kumkabili baba yake na kumuuliza kwa nini anawanyanyasa. Lakini ni BBC hao hao wanaosema imebidi wafiche utambulisho wa jina halisi la huyo binti na makazi yake kwa vile ana hofia maisha yake.
Hapo ndipo pana walakini,...ina maana BBC hawajiulizi imekuwaje huyo binti aliyekuwa jasiri wa kuweza kumkabili baba yake wakati huo akiwa hai..na asihofie chochote wakati akiendesha maisha yake katika jiji la Lagos kama walivyodai,....eti aje kuwa no hofu leo wakati baba yake keshafariki?
Huo ujasiri wake umetoweka mara baada ya baba yake kufa? Tulitarajia angekuwa na uhuru na kutohofia chochote wakati huu.
Na jambo jingine,kwa nini BBC iwachukue muda mrefu kiasi hicho kama huyo wanayedai ni binti yake alitoa tuhuma hizo mwaka 2019?

BBC wanasema walisubiri watu wengine wajitokeze ili waweke bayana habari kamili.
Hiyo hoja haina mashiko...,kwa vile inakufanya mtu kutamani kujiuliza kwa nini BBC wasimkabili TB Joshua na tuhuma wanazosema ni za binti yake kwanza,..?
Ina maana kama huyo binti angekuwa ni mhanga pekee,BBC wasingejihangaisha kuelezea kadhia yake....yaani kama akinyanyaswa mtu mmoja hakuhesabiwi kuwa kosa hadi wanyanyaswe watu wengi ndipo liwe kosa?
Ina maana kwa mujibu wa BBC..mtu mmoja mwenye ushahidi wa kubakwa au kutotendewa haki na mtu mwenye nguvu au uashawishi hasaidiwi kusikika au kutafutiwa haki hadi wabakwe wengine wawili au zaidi?

Binti mmoja wa TB Joshua anayeitwa Serah Joshua ameolewa na kijana wa Kitanzania . Waandishi wa habari wa kibongo wammuhoji huyu binti awape picha ya upande wa pili wa maisha yalivyokuwa nyumbani kwao.View attachment 2869195
Unataka kumtetea Joshua?! Sikuwahi kumwamini huyu mtu nilijua ni tapeli tangu nilipomwona tv 2010. Ndio hao akina Mwamposa, Geo Davie na wengine wengi.
 
....nini BBC iwachukue muda mrefu kiasi hicho kama huyo wanayedai ni binti yake alitoa tuhuma hizo mwaka 2019?
Jambo la kwanza ninalowaza....ni wahusika wa masuala ulinzi na usalama wafikirie kuanza mara moja uchunguzi rasmi wa kifo cha TB Joshu na watu wa awali kuwaohoji wawe viongozi na wale walioshiriki kuandaa makala hii ya video ya shiirika hilo la utangazaji la UK.

Zipo sababu kadhaa za kwa nini naliwaza hili.
 
Yule alishaukwaa hukuona mabadiliko ya lips zake na ngoz
 
Kwani mwisho wa utafiti au uchunguzi ni lini? Mtoa mada anawapangia wachunguzi mwanzo na mwisho wa kufanya uchunguzi. Unataka kumtetea TB Joshua alieshundwa kutabiri kudondoka kwa hekalu lake (nyumba) ila akatabiri kuanguka kwa ndege?
Wale ni kundi la vampire wanaotakatisha damu ya watu kwa kuaribu mifumo ya vyombo vya usafiri alafu waseme walitabiri hiyo ajali.
 
Back
Top Bottom